mi
ssasa sikia, tusipoteze muda kubishana. wewe somesha watoto wako kayumba, watafanikiwa tu. ila mimi nimesoma kayumba nikilinganisha masomo niliyokuwa nasoma nikiwa primary na wanayosoma au uelewa wa watoto wa siku hizi wa primary wanaosoma english medium, ninacho cha kujifunza. pia, pamoja na kusoma kayumba, naamini ningesoma english medium kuna baadhi ya hustles nilizozifanya zingefanikiwa kwepesi zaidi kuliko nilivyokuwa kayumba kwasababu imenikuchua muda mrefu kucope. kiingereza nimeenda kukijulia ulaya na marekani, pamoja na kwamba university degree ya kwanza nilisomea bongolala.