Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Sawa mkuu.....
Na huu wingi unapimwa na nini..🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu.....
Huduma, kipato.Sawa mkuu.....
Na huu wingi unapimwa na nini..[emoji848]
ni kama Mwamba amepania kuijaza pekeakeMungu hakuagiza dunia ijazwe na mtu mmoja.
Mimi ninao 8 na wote wapo njema. Hakuna alie enda shule na kidumu cha maji wala ufagio.
Kwakweli,zaa watoto ni baraka.Mimi ninao 8 na wote wapo njema. Hakuna alie enda shule na kidumu cha maji wala ufagio.
Wapo ambao wapo vyuo na maisha yanaenda, nashkuri Allah wote wana afya njema Alhamdulillah.
Lakini chakunishangaza hata wao wamewahi kuniuliza kwamba "eti baba, kwanini ulituzaa wengi hivi??"
Niliwahibu kwamba, watoto ni baraka, na nikawashauri wasije wakazaa watoto wanao zidi uwezo wa kuwahudumia...[emoji4]
Tayari tumefika mwisho mkuu...😂😂
Thubiri wajukuu was uzazi was mpango[emoji16]Tayari tumefika mwisho mkuu...[emoji23][emoji23]
Alafu kuna lishangazi nimeliona humu limeanza kuambatana na kijana wangu....🤣
kwa hiyo na bakhresa akiwa na watoto 15 ni kujitafutia matatizo? maana hujui kipato cha masoud kipanya ni kiasi gani.Kiuchumi, watoto watatu ada 6M, msosi 5M total 11M, mshahara 700k kichwa kinawaka moto, hapo hujaweka ukiwa nao 5 au 15 kama KP
Kwenye wake nyomi hapo ndipo nimemnawa aiseeee....😜Masoud kipanya ni mkubwa yupo 50+ halafu ana wake nyomi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hautakiAlafu kuna lishangazi nimeliona humu limeanza kuambatana na kijana wangu....[emoji1787]
Dogo katia tangazo la kutafuta mchuchu, minampimia tu...[emoji12]
Mzee baba nilikuwa nakutafuta😁😁😁 hapo hata nyumba lazima iwe kubwa kabisa ya kuwatosha watoto wako. Mzee watoto nane sio kazi ndogo kuwalea, chakula sio issue, hapo kazi ni kuwapeleka kupata maarifa ya dunia.Mkuu, mimi sioni ubaya wa kua na watoto wengi. Kikubwa ni kutafuta hela tu nahayo mengine yatakaa sawa kabisa....😊😊
Mkuu, vijana wanapata maarifa quality bila khiyana. Na hata sijawahi ona nyasi za njia ya maliwato zikikauka....🤗Mzee baba nilikuwa nakutafuta😁😁😁 hapo hata nyumba lazima iwe kubwa kabisa ya kuwatosha watoto wako. Mzee watoto nane sio kazi ndogo kuwalea, chakula sio issue, hapo kazi ni kuwapeleka kupata maarifa ya dunia.
kwa mshahara wa 1m kwa mwezi wengine chini ya Hapo kweli nakubaliana na weweYan zama hizi kuwa na watoto zaidi ya watatu ni kujitafutia matatizo
Matatizo gani?Yan zama hizi kuwa na watoto zaidi ya watatu ni kujitafutia matatizo
Sasa unafikiri masood ana kipato cha laki 7?Kiuchumi, watoto watatu ada 6M, msosi 5M total 11M, mshahara 700k kichwa kinawaka moto, hapo hujaweka ukiwa nao 5 au 15 kama KP