NEEMA KUU: Bwawa la Nyerere kuzalisha umeme wenye thamani sawa na 50% ya makusanyo ya TRA nchi nzima, (Trillion 12 kwa mwaka)

Hapo ndipo wajanja wanapiga na kugawana pesa kwenye masandarusi !
 
Kwa mentality au tuseme mtindo wa kufikiri wa waswahili wanasema 'ukipata kitumie ukikosa kijutie' hivyo hao kina januari maharage na mfadhili wao na watoto wao inaelekea wako kupiga dili za kufa mtu.
And at the end of the day we all will perish one day !🙏
 
Atakuja symbion Mzungu wa marekani mambo yatakuwa supa !! 😅😅🙏
 
Wrong and highly inflated calculations.
 
Andiko linalotoa mwanga ila halina facts zinazoeleweka.
 

Analysis yako haijakaa kisomi sana. Ungeonekana umefanya uchambuzi wa maana kama ungeonyesha operation costs za kuzalisha megawatts 2110.
 
Issue si kuzalishwa kwa umeme mwingi, bali ni kwa kiasi gani Watanzania watapunguziwa bei za umeme?
 
Good analysis.
Ila kwa faida zaidi naomba udadavue pia
gharama za mradi mpaka mwisho,
Production costs,
Payback Period ya hiyo project ili tuweze pia kufanya prediction ya lini tutaanza kupata faida...
 
Inaweza karibia huko......
Ila factor moja ya working hrs per day umeisahau ( mashine haziwezi fanya kazi 24/hr).
Lets say ni 12hrs.
Kama hesabu zako zingine zitakuwa sawa means itakuwa Trillion 6 ( 25%).
Ambayo sio mbaya pia.

Mkuu kwenye uzalishaji hasa umeme lazima kuna Backup ,mashine zinaweza kuungurumisha 24/7 bila kuchoka...yaani kama friji inavyofanya kazi na thermostat......Yaani kwa lugha rahisi ni kwamba mashine 10(mfano tu) wanaziweka ila zinarun 6 kuproduce 2100MW then wanapumzisha 4 then zinatake over nne nyingine na hiyo wanaset Auto based na Timer Configurations.
 
Mtoa mada umedadavua vizuri sana ila sasa hujaweka expenses za kuendeshea hilo bwawa, tuwekee pia na gharama ya kuzalisha hiyo megawatt na risk associated na setback kama ukame n.k, kosa kubwa la wabongo wengi ni kuangalia kitakachopatikana pengine ukute uendeshaji una gharama zaid kuliko kitakachopatikana.
 
Analysis yako haijakaa kisomi sana. Ungeonekana umefanya uchambuzi wa maana kama ungeonyesha operation costs za kuzalisha megawatts 2110.
Sijasema kwamba hiyo ni faida, bali tuamani ya oesa utakayolipa sokoni hapa Tanganyika endapo unataka kununua huo umeme, kodi ya majengo nk. included
 
Good analysis.
Ila kwa faida zaidi naomba udadavue pia
gharama za mradi mpaka mwisho,
Production costs,
Payback Period ya hiyo project ili tuweze pia kufanya prediction ya lini tutaanza kupata faida...
Sasa kama mradi haujazidi trillion 12 its obvious baada ya mwaka mkopo wote utakuwa umelipwa
 
Hujahusisha loses, maintenance cost, initial cost etc.

Lini tuta-break even?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…