NEEMA KUU: Bwawa la Nyerere kuzalisha umeme wenye thamani sawa na 50% ya makusanyo ya TRA nchi nzima, (Trillion 12 kwa mwaka)

Kwa makato hayo TANESCO katika elfu 20 yao ni 78% ambayo ni tsh 16,393.5

Bei ya unit 16,393.5/56.1 = 292.2

Market Unit price (292.2) = unit cost of production + profit margin.

Kwa hivyo umeme unaweza kuwa umezalishwa labda 250 per unit cost. Hiyo ni average cost of production maana wanavyanzo vingi vyenye costs tofauti.

Faida ya TANESCO hapo labda ni tsh 42.2 tu per unit na yenyewe ina profit tax ya 30%, wanabaki na tsh 29.4 profit after tax.

Ujinga sasa ni baada ya bwawa la Nyerere kuisha na kukizi mahitaji ya nchi; wameingia mikataba ya umeme ambayo ina unit costs za juu kwa manunuzi ya umeme ambayo hawana shida nayo. Wakati mwaka huu kwenye statement yao wamelipa karibu tsh 250 billion kwa sababu ya kununua umeme + na hayo malipo ya mbeleni waliojiongezea kwa mikataba isiyo na lazima na kujipunguzia mapato.

At the same time wao wenyewe kulipa madeni yao awawezi, revenue bado ndogo sana na other income imejaa magumashi tupu labda 40% of that is acceptable mengine ni utunzi hawana hiyo income in accordance with revenue recognition rules za IFRS.

Walau Maharage is honest and has good intentions na shirika, ila financial advisors hana na apunguze deal za waliomweka hapo Makamba na ‘bi tozo’ ndio chaka lao la kupiga hapo.
Hapo ndipo wajanja wanapiga na kugawana pesa kwenye masandarusi !
 
Kwa mentality au tuseme mtindo wa kufikiri wa waswahili wanasema 'ukipata kitumie ukikosa kijutie' hivyo hao kina januari maharage na mfadhili wao na watoto wao inaelekea wako kupiga dili za kufa mtu.
And at the end of the day we all will perish one day !🙏
 
Hii ni taarifa nzuri kabisa, kwamba, Sasa kwa miezi 12 tunafanya mara 12, hivyo tutapata Trillion 12 kwa mwaka, ambayo ni 50% ya makusanyo yote ya TRA kwa mwaka mzima! Hakika 🙄uchumi unakuwa🤫 na ukijumulisha na zile $7billioni alizozidai Mh. January Makamba(Waziri) kuwa zitaingia kwenye Uchumi, basi afueni.

Sibishi. Ila, yote hayo yatageuka kuwa ni sufuri pale Mdubai atakapokuja kuendesha TANESCO?

Kwa lugha nyingine, mkae kuvurugwa Kisaikilojia, apparently, tena!
Atakuja symbion Mzungu wa marekani mambo yatakuwa supa !! 😅😅🙏
 
Kabla ya yote turudi darasani kidogo, maana sitaki tuanze kuulizana maswali obvious , mara sijui source ni ipi, nk. haya twende kazi.

Unit moja ya umeme hapa Tanganyika inauzwa kwa wastani wa shs. 600/=. Unit moja ya umeme ni kitu wanaita Kilowatthour (KWh). Kilowatthour ni nini hasa? Kilo inamaanisha ‘Maelfu’ (thousands , 000), Watt ni neno linalowakilisha kiwango cha nguvu (power), in this case ni nguvu ya umeme. Sasa hour ni lisaa (dakika 60).

Kwa mantiki hiyo, Unit moja ya umeme (1KWh), ni kipimo cha kiasi cha umeme ambacho kama utautumia kufanya kazi inayohitaji ‘power’ (nguvu) ya watts 1000 , basi unit hiyo itaisha baada ya lisaa limoja (dakika 60).

Haya sasa, tuliza akili halafu twende taretibu. Bwawa la Nyerere linatajwa kuweza kuzalisha Megawatt 2100. Hii inamaanisha nini?

Mega ni neno linalomaanisha millions (000,000), hivyo kwa tafsiri rahisi kabisa, bwawa hili linauwezo wa kuzalisha nguvu (power) ya umeme ya Watts ‘MILLION 2100’ , tukitaka kuiweka kati Kilowatts, tunagawanya hiyo namba kwa ‘1000’ , ambapo tunapata kwamba hilo bwawa linazalisha umeme wenye nguvu ya KILOWatts MILLION 2.1.

Hadi hapo tupo pamoja naamini, maana wewe unaesoma hapa naamini unaakili walau za kuemdea chooni, hivyo lazima hadi hapo umenielewa. Sasa basi , tubadilishe hicho kiwango kuwa ‘Killowatt hour’ (KWh) ambayo ndio unit moja ya umeme sasa.

Mashine za kufua umeme huo wa 2.1 million Kilowatts, zikizalisha umeme kwa muda lisaa limoja, maana yake tumezalisha Unit za umeme zipatazo Million 2.1 , yaani 2.1 million Kwh.

Unit moja ya umeme hapa Tanganyika ni 600/=; sasa kwa unit milioni 2.1, unapata milioni 1,260 ; ambayo ni bilioni 1.26 kwa lisaa. Hivyo basi kwa masaa 24 (siku 1), mitambo inazalisha umeme wenye thamani ya shillingi bilioni 30.24; kwa mwezi ni mara 30 ya hiyo, ambayo tunapata wastani wa Trillion 1 kwa mwezi.

Sasa kwa miezi 12 tunafanya mara 12, hivyo tunapata Trillion 12 kwa mwaka, ambayo ni 50% ya makusanyo yote ya TRA kwa mwaka mzima.

Sasa cha ajabu, huo umeme utauzwa nje, na bado watoto kule kondoa wataendelea kukalia vumbi darasani kwa ukosefu wa fedha za kununulia madawati, huku kesi za ICSD dhidi ya Tanesco wanazojishtaki wenyewe zikiendelea kupamba moto.

Bishana na data (Hoja), usibishane na mimi.

View attachment 2719181

View attachment 2719190

View attachment 2719193
Wrong and highly inflated calculations.
 
Andiko linalotoa mwanga ila halina facts zinazoeleweka.
 
Analysis yako haijakaa kisomi sana. Ungeonekana umefanya uchambuzi wa maana kama ungeonyesha operation costs za kuzalisha megawatts 2110.
 
Issue si kuzalishwa kwa umeme mwingi, bali ni kwa kiasi gani Watanzania watapunguziwa bei za umeme?
 
Good analysis.
Ila kwa faida zaidi naomba udadavue pia
gharama za mradi mpaka mwisho,
Production costs,
Payback Period ya hiyo project ili tuweze pia kufanya prediction ya lini tutaanza kupata faida...
 
Inaweza karibia huko......
Ila factor moja ya working hrs per day umeisahau ( mashine haziwezi fanya kazi 24/hr).
Lets say ni 12hrs.
Kama hesabu zako zingine zitakuwa sawa means itakuwa Trillion 6 ( 25%).
Ambayo sio mbaya pia.

Mkuu kwenye uzalishaji hasa umeme lazima kuna Backup ,mashine zinaweza kuungurumisha 24/7 bila kuchoka...yaani kama friji inavyofanya kazi na thermostat......Yaani kwa lugha rahisi ni kwamba mashine 10(mfano tu) wanaziweka ila zinarun 6 kuproduce 2100MW then wanapumzisha 4 then zinatake over nne nyingine na hiyo wanaset Auto based na Timer Configurations.
 
IMG_0133.jpg
 
Kabla ya yote turudi darasani kidogo, maana sitaki tuanze kuulizana maswali obvious , mara sijui source ni ipi, nk. haya twende kazi.

Unit moja ya umeme hapa Tanganyika inauzwa kwa wastani wa shs. 600/=. Unit moja ya umeme ni kitu wanaita Kilowatthour (KWh). Kilowatthour ni nini hasa? Kilo inamaanisha ‘Maelfu’ (thousands , 000), Watt ni neno linalowakilisha kiwango cha nguvu (power), in this case ni nguvu ya umeme. Sasa hour ni lisaa (dakika 60).

Kwa mantiki hiyo, Unit moja ya umeme (1KWh), ni kipimo cha kiasi cha umeme ambacho kama utautumia kufanya kazi inayohitaji ‘power’ (nguvu) ya watts 1000 , basi unit hiyo itaisha baada ya lisaa limoja (dakika 60).

Haya sasa, tuliza akili halafu twende taretibu. Bwawa la Nyerere linatajwa kuweza kuzalisha Megawatt 2100. Hii inamaanisha nini?

Mega ni neno linalomaanisha millions (000,000), hivyo kwa tafsiri rahisi kabisa, bwawa hili linauwezo wa kuzalisha nguvu (power) ya umeme ya Watts ‘MILLION 2100’ , tukitaka kuiweka kati Kilowatts, tunagawanya hiyo namba kwa ‘1000’ , ambapo tunapata kwamba hilo bwawa linazalisha umeme wenye nguvu ya KILOWatts MILLION 2.1.

Hadi hapo tupo pamoja naamini, maana wewe unaesoma hapa naamini unaakili walau za kuemdea chooni, hivyo lazima hadi hapo umenielewa. Sasa basi , tubadilishe hicho kiwango kuwa ‘Killowatt hour’ (KWh) ambayo ndio unit moja ya umeme sasa.

Mashine za kufua umeme huo wa 2.1 million Kilowatts, zikizalisha umeme kwa muda lisaa limoja, maana yake tumezalisha Unit za umeme zipatazo Million 2.1 , yaani 2.1 million Kwh.

Unit moja ya umeme hapa Tanganyika ni 600/=; sasa kwa unit milioni 2.1, unapata milioni 1,260 ; ambayo ni bilioni 1.26 kwa lisaa. Hivyo basi kwa masaa 24 (siku 1), mitambo inazalisha umeme wenye thamani ya shillingi bilioni 30.24; kwa mwezi ni mara 30 ya hiyo, ambayo tunapata wastani wa Trillion 1 kwa mwezi.

Sasa kwa miezi 12 tunafanya mara 12, hivyo tunapata Trillion 12 kwa mwaka, ambayo ni 50% ya makusanyo yote ya TRA kwa mwaka mzima.

Sasa cha ajabu, huo umeme utauzwa nje, na bado watoto kule kondoa wataendelea kukalia vumbi darasani kwa ukosefu wa fedha za kununulia madawati, huku kesi za ICSD dhidi ya Tanesco wanazojishtaki wenyewe zikiendelea kupamba moto.

Bishana na data (Hoja), usibishane na mimi.

View attachment 2719181

View attachment 2719190

View attachment 2719193
Mtoa mada umedadavua vizuri sana ila sasa hujaweka expenses za kuendeshea hilo bwawa, tuwekee pia na gharama ya kuzalisha hiyo megawatt na risk associated na setback kama ukame n.k, kosa kubwa la wabongo wengi ni kuangalia kitakachopatikana pengine ukute uendeshaji una gharama zaid kuliko kitakachopatikana.
 
Analysis yako haijakaa kisomi sana. Ungeonekana umefanya uchambuzi wa maana kama ungeonyesha operation costs za kuzalisha megawatts 2110.
Sijasema kwamba hiyo ni faida, bali tuamani ya oesa utakayolipa sokoni hapa Tanganyika endapo unataka kununua huo umeme, kodi ya majengo nk. included
 
Good analysis.
Ila kwa faida zaidi naomba udadavue pia
gharama za mradi mpaka mwisho,
Production costs,
Payback Period ya hiyo project ili tuweze pia kufanya prediction ya lini tutaanza kupata faida...
Sasa kama mradi haujazidi trillion 12 its obvious baada ya mwaka mkopo wote utakuwa umelipwa
 
Kabla ya yote turudi darasani kidogo, maana sitaki tuanze kuulizana maswali obvious , mara sijui source ni ipi, nk. haya twende kazi.

Unit moja ya umeme hapa Tanganyika inauzwa kwa wastani wa shs. 600/=. Unit moja ya umeme ni kitu wanaita Kilowatthour (KWh). Kilowatthour ni nini hasa? Kilo inamaanisha ‘Maelfu’ (thousands , 000), Watt ni neno linalowakilisha kiwango cha nguvu (power), in this case ni nguvu ya umeme. Sasa hour ni lisaa (dakika 60).

Kwa mantiki hiyo, Unit moja ya umeme (1KWh), ni kipimo cha kiasi cha umeme ambacho kama utautumia kufanya kazi inayohitaji ‘power’ (nguvu) ya watts 1000 , basi unit hiyo itaisha baada ya lisaa limoja (dakika 60).

Haya sasa, tuliza akili halafu twende taretibu. Bwawa la Nyerere linatajwa kuweza kuzalisha Megawatt 2100. Hii inamaanisha nini?

Mega ni neno linalomaanisha millions (000,000), hivyo kwa tafsiri rahisi kabisa, bwawa hili linauwezo wa kuzalisha nguvu (power) ya umeme ya Watts ‘MILLION 2100’ , tukitaka kuiweka kati Kilowatts, tunagawanya hiyo namba kwa ‘1000’ , ambapo tunapata kwamba hilo bwawa linazalisha umeme wenye nguvu ya KILOWatts MILLION 2.1.

Hadi hapo tupo pamoja naamini, maana wewe unaesoma hapa naamini unaakili walau za kuemdea chooni, hivyo lazima hadi hapo umenielewa. Sasa basi , tubadilishe hicho kiwango kuwa ‘Killowatt hour’ (KWh) ambayo ndio unit moja ya umeme sasa.

Mashine za kufua umeme huo wa 2.1 million Kilowatts, zikizalisha umeme kwa muda lisaa limoja, maana yake tumezalisha Unit za umeme zipatazo Million 2.1 , yaani 2.1 million Kwh.

Unit moja ya umeme hapa Tanganyika ni 600/=; sasa kwa unit milioni 2.1, unapata milioni 1,260 ; ambayo ni bilioni 1.26 kwa lisaa. Hivyo basi kwa masaa 24 (siku 1), mitambo inazalisha umeme wenye thamani ya shillingi bilioni 30.24; kwa mwezi ni mara 30 ya hiyo, ambayo tunapata wastani wa Trillion 1 kwa mwezi.

Sasa kwa miezi 12 tunafanya mara 12, hivyo tunapata Trillion 12 kwa mwaka, ambayo ni 50% ya makusanyo yote ya TRA kwa mwaka mzima.

Sasa cha ajabu, huo umeme utauzwa nje, na bado watoto kule kondoa wataendelea kukalia vumbi darasani kwa ukosefu wa fedha za kununulia madawati, huku kesi za ICSD dhidi ya Tanesco wanazojishtaki wenyewe zikiendelea kupamba moto.

Bishana na data (Hoja), usibishane na mimi.

View attachment 2719181

View attachment 2719190

View attachment 2719193
Hujahusisha loses, maintenance cost, initial cost etc.

Lini tuta-break even?
 
Back
Top Bottom