NEEMA KUU: Bwawa la Nyerere kuzalisha umeme wenye thamani sawa na 50% ya makusanyo ya TRA nchi nzima, (Trillion 12 kwa mwaka)

Kabla ya yote turudi darasani kidogo, maana sitaki tuanze kuulizana maswali obvious , mara sijui source ni ipi, nk. haya twende kazi.

Unit moja ya umeme hapa Tanganyika inauzwa kwa wastani wa shs. 600/=. Unit moja ya umeme ni kitu wanaita Kilowatthour (KWh). Kilowatthour ni nini hasa? Kilo inamaanisha ‘Maelfu’ (thousands , 000), Watt ni neno linalowakilisha kiwango cha nguvu (power), in this case ni nguvu ya umeme. Sasa hour ni lisaa (dakika 60).

Kwa mantiki hiyo, Unit moja ya umeme (1KWh), ni kipimo cha kiasi cha umeme ambacho kama utautumia kufanya kazi inayohitaji ‘power’ (nguvu) ya watts 1000 , basi unit hiyo itaisha baada ya lisaa limoja (dakika 60).

Haya sasa, tuliza akili halafu twende taretibu. Bwawa la Nyerere linatajwa kuweza kuzalisha Megawatt 2100. Hii inamaanisha nini?

Mega ni neno linalomaanisha millions (000,000), hivyo kwa tafsiri rahisi kabisa, bwawa hili linauwezo wa kuzalisha nguvu (power) ya umeme ya Watts ‘MILLION 2100’ , tukitaka kuiweka kati Kilowatts, tunagawanya hiyo namba kwa ‘1000’ , ambapo tunapata kwamba hilo bwawa linazalisha umeme wenye nguvu ya KILOWatts MILLION 2.1.

Hadi hapo tupo pamoja naamini, maana wewe unaesoma hapa naamini unaakili walau za kuemdea chooni, hivyo lazima hadi hapo umenielewa. Sasa basi , tubadilishe hicho kiwango kuwa ‘Killowatt hour’ (KWh) ambayo ndio unit moja ya umeme sasa.

Mashine za kufua umeme huo wa 2.1 million Kilowatts, zikizalisha umeme kwa muda lisaa limoja, maana yake tumezalisha Unit za umeme zipatazo Million 2.1 , yaani 2.1 million Kwh.

Unit moja ya umeme hapa Tanganyika ni 600/=; sasa kwa unit milioni 2.1, unapata milioni 1,260 ; ambayo ni bilioni 1.26 kwa lisaa. Hivyo basi kwa masaa 24 (siku 1), mitambo inazalisha umeme wenye thamani ya shillingi bilioni 30.24; kwa mwezi ni mara 30 ya hiyo, ambayo tunapata wastani wa Trillion 1 kwa mwezi.

Sasa kwa miezi 12 tunafanya mara 12, hivyo tunapata Trillion 12 kwa mwaka, ambayo ni 50% ya makusanyo yote ya TRA kwa mwaka mzima.

Sasa cha ajabu, huo umeme utauzwa nje, na bado watoto kule kondoa wataendelea kukalia vumbi darasani kwa ukosefu wa fedha za kununulia madawati, huku kesi za ICSD dhidi ya Tanesco wanazojishtaki wenyewe zikiendelea kupamba moto.

Bishana na data (Hoja), usibishane na mimi.

View attachment 2719181

View attachment 2719190

View attachment 2719193

=========================

([emoji1621] na mwandishi wetu wa Dar Es Salaam)

Msemaji Mkuu wa serikali bwana Mobhare Matinyi ni aina ya mtu anayelitia aibu sana hili taifa kwa maneno yake ya kitoto kwenye mambo muhimu na siriazi.

Matinyi hajui chochote kinachoendelea Bwawa la Nyerere ndiyo maana anajiumauma kuongea kama mtoto anayejifunza kuongea.

Sisi tunarudia na kusema MAJARIBIO YA KUWASHA UMEME BWAWA LA NYERERE YAMEBUMA na chanzo ni mitambo mibovu iliyonunuliwa na January Makamba na Maharage Chande. Tutarudia sentensi hiyo zaidi ya mara milioni tano kwa kuwa tuna uhakika na kilichotokea na jinsi TANESCO inavyohaha kurekebisha tatizo hilo.

Matinyi hujui mambo mengi sana yanayotokea kwenye ujenzi wa hili bwana. Pengine ni kwa kuwa mgeni kwenye hii kazi au unalishwa maneno lakini nilitegemea mtu aliyekulia TISS kwa miaka mingi kiasi chako asingeweza kuongea mambo ya ajabu kiasi hiki. Kachero gani anakuwa hivi? Hivi nyie watu mnapewaje hizi kazi lakini?

Ndugu msemaji wa serikali una taarifa kuwa watanzania walikufa kwa kuangukiwa na crane kwenye huu ujenzi mwaka jana? Ndugu msemaji wa serikali una taarifa kuwa kingo la bwawa zinabomoka kiasi kwamba ikabidi kampuni nyingine za wachina kufanya hiyo kazi baada ya mkandarasi wa sasa kutokuwa na uwezo huo? Ndugu mwandishi unajua kuwa Arab Contractors wana sub contract kazi baada ya kukwama na kuzidiwa na wanafanya haya bila kufuata mkataba ulichosema? Ndugu msemaji wa serikali unataka twende huko? Ndugu msemaji unataka tuhoji hela wanayolipwa sub contractors imeithinishwa na nani? Unataka hilo?

Nakushauri usijiingize kwenye mambo ya kufanya siasa kwenye mambo muhimu kwenye hili taifa kwa sababu hatutakubali huu ujinga.

Huna unachokijua una hiyari ya kukaa kimya au nenda kafanye homework yako ndiyo uje kuongea na watanzania siyo unaleta blah blah hapa.

Narudia tena MAJARIBIO YA MITAMBO YA UMEME BWAWA LA NYERERE YAMEBUMA na hili bwawa ni maada mengine tunayojitengenezea. IPO siku tutakusanyika mahali kuimba wimbo wa taifa huku maelfu ya watanzania wakiwa wamepokonywa uhai kwa sababu ya hili bwawa! Kama kingo za bwawa zinapasuka hatuwezi kusema bwawa hili ni salama!

#KigogoMediaUpdates

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Sasa tupe mwanga, mitambo imeshindwaje kufua umeme, maana hii ni serious issue..
 
Hivi bado kuna watu mnachukua taarifa kutoka kwa Kigogo?
 
Kabla ya yote turudi darasani kidogo, maana sitaki tuanze kuulizana maswali obvious , mara sijui source ni ipi, nk. haya twende kazi.

Unit moja ya umeme hapa Tanganyika inauzwa kwa wastani wa shs. 600/=. Unit moja ya umeme ni kitu wanaita Kilowatthour (KWh). Kilowatthour ni nini hasa? Kilo inamaanisha ‘Maelfu’ (thousands , 000), Watt ni neno linalowakilisha kiwango cha nguvu (power), in this case ni nguvu ya umeme. Sasa hour ni lisaa (dakika 60).

Kwa mantiki hiyo, Unit moja ya umeme (1KWh), ni kipimo cha kiasi cha umeme ambacho kama utautumia kufanya kazi inayohitaji ‘power’ (nguvu) ya watts 1000 , basi unit hiyo itaisha baada ya lisaa limoja (dakika 60).

Haya sasa, tuliza akili halafu twende taretibu. Bwawa la Nyerere linatajwa kuweza kuzalisha Megawatt 2100. Hii inamaanisha nini?

Mega ni neno linalomaanisha millions (000,000), hivyo kwa tafsiri rahisi kabisa, bwawa hili linauwezo wa kuzalisha nguvu (power) ya umeme ya Watts ‘MILLION 2100’ , tukitaka kuiweka kati Kilowatts, tunagawanya hiyo namba kwa ‘1000’ , ambapo tunapata kwamba hilo bwawa linazalisha umeme wenye nguvu ya KILOWatts MILLION 2.1.

Hadi hapo tupo pamoja naamini, maana wewe unaesoma hapa naamini unaakili walau za kuemdea chooni, hivyo lazima hadi hapo umenielewa. Sasa basi , tubadilishe hicho kiwango kuwa ‘Killowatt hour’ (KWh) ambayo ndio unit moja ya umeme sasa.

Mashine za kufua umeme huo wa 2.1 million Kilowatts, zikizalisha umeme kwa muda lisaa limoja, maana yake tumezalisha Unit za umeme zipatazo Million 2.1 , yaani 2.1 million Kwh.

Unit moja ya umeme hapa Tanganyika ni 600/=; sasa kwa unit milioni 2.1, unapata milioni 1,260 ; ambayo ni bilioni 1.26 kwa lisaa. Hivyo basi kwa masaa 24 (siku 1), mitambo inazalisha umeme wenye thamani ya shillingi bilioni 30.24; kwa mwezi ni mara 30 ya hiyo, ambayo tunapata wastani wa Trillion 1 kwa mwezi.

Sasa kwa miezi 12 tunafanya mara 12, hivyo tunapata Trillion 12 kwa mwaka, ambayo ni 50% ya makusanyo yote ya TRA kwa mwaka mzima.

Sasa cha ajabu, huo umeme utauzwa nje, na bado watoto kule kondoa wataendelea kukalia vumbi darasani kwa ukosefu wa fedha za kununulia madawati, huku kesi za ICSD dhidi ya Tanesco wanazojishtaki wenyewe zikiendelea kupamba moto.

Bishana na data (Hoja), usibishane na mimi.

View attachment 2719181

View attachment 2719190

View attachment 2719193

=========================

Tumeshindwakwingi tu
  1. Madini tumeshindwa uranium, gold, diamond etc
  2. Gas tumeshindwa
  3. Utalii tumeshindwa
  4. Bandari tumeshindwa
  5. Uvuvi hoi
  6. Kilimo kwa chakula tunaagiza ngano mchele toka nje
  7. Kilimo biashara hadi leo tumeshindwa kuexport mazao mengi tu
  8. Usafirishaji angani, majini na reli hovyo kabisa
L.eo blabla za umeme ambao tulishaambiwa bwawa lina nyufa kabla halijaisha, umeme tulionao Tanesco wameshindwa kuuhudumia kila kukicha kasoro
 
Hospitalini pia mambo ndivyo sivyo waja wazito kazi wanayo ! Rejea yaliyotokea Kabuku Handeni na Kahama tena juzi juzi !
Tunaunda Tume ngoja tuone !!
 
Kabla ya yote turudi darasani kidogo, maana sitaki tuanze kuulizana maswali obvious , mara sijui source ni ipi, nk. haya twende kazi.

Unit moja ya umeme hapa Tanganyika inauzwa kwa wastani wa shs. 600/=. Unit moja ya umeme ni kitu wanaita Kilowatthour (KWh). Kilowatthour ni nini hasa? Kilo inamaanisha ‘Maelfu’ (thousands , 000), Watt ni neno linalowakilisha kiwango cha nguvu (power), in this case ni nguvu ya umeme. Sasa hour ni lisaa (dakika 60).

Kwa mantiki hiyo, Unit moja ya umeme (1KWh), ni kipimo cha kiasi cha umeme ambacho kama utautumia kufanya kazi inayohitaji ‘power’ (nguvu) ya watts 1000 , basi unit hiyo itaisha baada ya lisaa limoja (dakika 60).

Haya sasa, tuliza akili halafu twende taretibu. Bwawa la Nyerere linatajwa kuweza kuzalisha Megawatt 2100. Hii inamaanisha nini?

Mega ni neno linalomaanisha millions (000,000), hivyo kwa tafsiri rahisi kabisa, bwawa hili linauwezo wa kuzalisha nguvu (power) ya umeme ya Watts ‘MILLION 2100’ , tukitaka kuiweka kati Kilowatts, tunagawanya hiyo namba kwa ‘1000’ , ambapo tunapata kwamba hilo bwawa linazalisha umeme wenye nguvu ya KILOWatts MILLION 2.1.

Hadi hapo tupo pamoja naamini, maana wewe unaesoma hapa naamini unaakili walau za kuemdea chooni, hivyo lazima hadi hapo umenielewa. Sasa basi , tubadilishe hicho kiwango kuwa ‘Killowatt hour’ (KWh) ambayo ndio unit moja ya umeme sasa.

Mashine za kufua umeme huo wa 2.1 million Kilowatts, zikizalisha umeme kwa muda lisaa limoja, maana yake tumezalisha Unit za umeme zipatazo Million 2.1 , yaani 2.1 million Kwh.

Unit moja ya umeme hapa Tanganyika ni 600/=; sasa kwa unit milioni 2.1, unapata milioni 1,260 ; ambayo ni bilioni 1.26 kwa lisaa. Hivyo basi kwa masaa 24 (siku 1), mitambo inazalisha umeme wenye thamani ya shillingi bilioni 30.24; kwa mwezi ni mara 30 ya hiyo, ambayo tunapata wastani wa Trillion 1 kwa mwezi.

Sasa kwa miezi 12 tunafanya mara 12, hivyo tunapata Trillion 12 kwa mwaka, ambayo ni 50% ya makusanyo yote ya TRA kwa mwaka mzima.

Sasa cha ajabu, huo umeme utauzwa nje, na bado watoto kule kondoa wataendelea kukalia vumbi darasani kwa ukosefu wa fedha za kununulia madawati, huku kesi za ICSD dhidi ya Tanesco wanazojishtaki wenyewe zikiendelea kupamba moto.

Bishana na data (Hoja), usibishane na mimi.

View attachment 2719181

View attachment 2719190

View attachment 2719193

=========================

Wewe unayeshabikia haya matakwimu nadhani utakuwa ni mgeni wa hawa ccm.

Kumbuka jinsi walivyo ipamba gesi ya Mtwara mpaka wakasema kwa wingi wa gesi ile mkoa wa Mtwara utakuwa kama Dubai.

Wasema kuwa Tanzania sasa tatizo la umeme basi litabakia historia.

Leo hii kiko wapi mzee?
Nakuhakikishia kabisa kuwa hata hilo bwawa litakuja na litatuwacha kama taifa kwenye giza kama kawa.
 
Gesi ya Mtwara walituaminisha hivyo hivyo.
Umeonaeeeeeee ?
Hiyo miradi watu wanaianzisha makusudi ili kupiga noti tu na ikikamilika wanaikwamisha makusudi na hataimaye kuimaliza kabisa.
 
Back
Top Bottom