NEEMA KUU: Bwawa la Nyerere kuzalisha umeme wenye thamani sawa na 50% ya makusanyo ya TRA nchi nzima, (Trillion 12 kwa mwaka)

Kwanza uwezo wa kuzalisha kinadharia ni jambo moja na uzalishaji halisi ni jingine.
Pili kuzalisha ni jambo moja na kusafirisha, kusambaza hata kuuza ni jingine.
Kuna nyakati mazao huzalishwa na kushindikana kufika sokoni hadi kuharibika.
Lazima kuonesha mipango kuanzia uzalishaji, usafirishaji, usambazaji na wateja watakaonunua.
 
Sawa, ila hiyo ndio picha halisi, + / - a few kwa hizo factors mbali mbali
 
JPM angesikiliza maneno ya mabepari bwana halingejengwa. Hongera jembe la Tz, zawadi tuliyopokonywa, sio Mungu ila ni mchezo wa dunia. RiP JPM.
Na kama ndio angekuwa huyu mama dhaifu kama JK, hilo bwawa tungebaki nalo ndotoni, JPM alikuwa ni zawadi kwetu..,
 
Mabepari wanataka siku zote tuwe ombaomba ili watuwekee masharti yao !!
Shusha thamani ya pesa yenu kisha legeza masharti kwa wawekezaji !
Baada ya hapo wanawatuma watu wao kuja kuwekeza kwa namna wanavyotaka wao !!
Kazi kweli kweli !
 
Yeah , masharti ya misaada yao ni ya ajabu hasa, mengine utaambiwa wanaume wafumuane marinda, mambo ya ajabu!
 
Na kama ndio angekuwa huyu mama dhaifu kama JK, hilo bwawa tungebaki nalo ndotoni, JPM alikuwa ni zawadi kwetu..,
Kabisa !
Mama anajitahidi sana ila tu mapapa upanga yanamlia taiming sana !
Nchi ya upigaji sana hii !
Watu walijifunza kupiga kutoka kwa yule mpenda kula Bata !!
 
Nakuhakikishia watakwambia gharama za uendeshaji ni kubwa kuliko mapato hivyo mradi unaendeshwa kwa hasara. Kama huniamini ngoja uone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…