FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #161
Wanasema mwezi wa nneSii ndo hii imefika na Nimeona.line mpya maeneo kingolwila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasema mwezi wa nneSii ndo hii imefika na Nimeona.line mpya maeneo kingolwila
Kwanza uwezo wa kuzalisha kinadharia ni jambo moja na uzalishaji halisi ni jingine.Kabla ya yote turudi darasani kidogo, maana sitaki tuanze kuulizana maswali obvious , mara sijui source ni ipi, nk. haya twende kazi.
Unit moja ya umeme hapa Tanganyika inauzwa kwa wastani wa shs. 600/=. Unit moja ya umeme ni kitu wanaita Kilowatthour (KWh). Kilowatthour ni nini hasa? Kilo inamaanisha ‘Maelfu’ (thousands , 000), Watt ni neno linalowakilisha kiwango cha nguvu (power), in this case ni nguvu ya umeme. Sasa hour ni lisaa (dakika 60).
Kwa mantiki hiyo, Unit moja ya umeme (1KWh), ni kipimo cha kiasi cha umeme ambacho kama utautumia kufanya kazi inayohitaji ‘power’ (nguvu) ya watts 1000 , basi unit hiyo itaisha baada ya lisaa limoja (dakika 60).
Haya sasa, tuliza akili halafu twende taretibu. Bwawa la Nyerere linatajwa kuweza kuzalisha Megawatt 2100. Hii inamaanisha nini?
Mega ni neno linalomaanisha millions (000,000), hivyo kwa tafsiri rahisi kabisa, bwawa hili linauwezo wa kuzalisha nguvu (power) ya umeme ya Watts ‘MILLION 2100’ , tukitaka kuiweka kati Kilowatts, tunagawanya hiyo namba kwa ‘1000’ , ambapo tunapata kwamba hilo bwawa linazalisha umeme wenye nguvu ya KILOWatts MILLION 2.1.
Hadi hapo tupo pamoja naamini, maana wewe unaesoma hapa naamini unaakili walau za kuemdea chooni, hivyo lazima hadi hapo umenielewa. Sasa basi , tubadilishe hicho kiwango kuwa ‘Killowatt hour’ (KWh) ambayo ndio unit moja ya umeme sasa.
Mashine za kufua umeme huo wa 2.1 million Kilowatts, zikizalisha umeme kwa muda lisaa limoja, maana yake tumezalisha Unit za umeme zipatazo Million 2.1 , yaani 2.1 million Kwh.
Unit moja ya umeme hapa Tanganyika ni 600/=; sasa kwa unit milioni 2.1, unapata milioni 1,260 ; ambayo ni bilioni 1.26 kwa lisaa. Hivyo basi kwa masaa 24 (siku 1), mitambo inazalisha umeme wenye thamani ya shillingi bilioni 30.24; kwa mwezi ni mara 30 ya hiyo, ambayo tunapata wastani wa Trillion 1 kwa mwezi.
Sasa kwa miezi 12 tunafanya mara 12, hivyo tunapata Trillion 12 kwa mwaka, ambayo ni 50% ya makusanyo yote ya TRA kwa mwaka mzima.
Sasa cha ajabu, huo umeme utauzwa nje, na bado watoto kule kondoa wataendelea kukalia vumbi darasani kwa ukosefu wa fedha za kununulia madawati, huku kesi za ICSD dhidi ya Tanesco wanazojishtaki wenyewe zikiendelea kupamba moto.
Bishana na data (Hoja), usibishane na mimi.
View attachment 2719181
View attachment 2719190
View attachment 2719193
=========================
Serikali: Tumedhamiria kuzalisha umeme mwingi, ziada tutauza nje ya nchi
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo September 20, 2023 amefungua Kongamano la Tano na Maonesho ya Nishati Tanzania na amesema kwamba Serikali imedhamiria kuwa Mzalishaji mkubwa wa nishati na kuwa na umeme wa kutosha utakaopatikana kwa urahisi na nafuu na ziada itauzwa nje ya Nchi...www.jamiiforums.com

Sawa, ila hiyo ndio picha halisi, + / - a few kwa hizo factors mbali mbaliKwanza uwezo wa kuzalisha kinadharia ni jambo moja na uzalishaji halisi ni jingine.
Pili kuzalisha ni jambo moja na kusafirisha, kusambaza hata kuuza ni jingine.
Kuna nyakati mazao huzalishwa na kushindikana kufika sokoni hadi kuharibika.
Lazima kuonesha mipango kuanzia uzalishaji, usafirishaji, usambazaji na wateja watakaonunua.
Na kama ndio angekuwa huyu mama dhaifu kama JK, hilo bwawa tungebaki nalo ndotoni, JPM alikuwa ni zawadi kwetu..,JPM angesikiliza maneno ya mabepari bwana halingejengwa. Hongera jembe la Tz, zawadi tuliyopokonywa, sio Mungu ila ni mchezo wa dunia. RiP JPM.
Mabepari wanataka siku zote tuwe ombaomba ili watuwekee masharti yao !!JPM angesikiliza maneno ya mabepari bwana halingejengwa. Hongera jembe la Tz, zawadi tuliyopokonywa, sio Mungu ila ni mchezo wa dunia. RiP JPM.
Sisi zaidi huwa tunaangalia kupiga na kula Bata !Ndiyo maana wazungu wanasema hata wakituhamishia ulaya sisi wote na kutuachia kila kitu kule halafu wao wakaja huku, bado tutakuwa waomba misaada
Yeah , masharti ya misaada yao ni ya ajabu hasa, mengine utaambiwa wanaume wafumuane marinda, mambo ya ajabu!Mabepari wanataka siku zote tuwe ombaomba ili watuwekee masharti yao !!
Shusha thamani ya pesa yenu kisha legeza masharti kwa wawekezaji !
Baada ya hapo wanawatuma watu wao kuja kuwekeza kwa namna wanavyotaka wao !!
Kazi kweli kweli !
Kabisa !Na kama ndio angekuwa huyu mama dhaifu kama JK, hilo bwawa tungebaki nalo ndotoni, JPM alikuwa ni zawadi kwetu..,
Nakuhakikishia watakwambia gharama za uendeshaji ni kubwa kuliko mapato hivyo mradi unaendeshwa kwa hasara. Kama huniamini ngoja uone.Kabla ya yote turudi darasani kidogo, maana sitaki tuanze kuulizana maswali obvious , mara sijui source ni ipi, nk. haya twende kazi.
Unit moja ya umeme hapa Tanganyika inauzwa kwa wastani wa shs. 600/=. Unit moja ya umeme ni kitu wanaita Kilowatthour (KWh). Kilowatthour ni nini hasa? Kilo inamaanisha ‘Maelfu’ (thousands , 000), Watt ni neno linalowakilisha kiwango cha nguvu (power), in this case ni nguvu ya umeme. Sasa hour ni lisaa (dakika 60).
Kwa mantiki hiyo, Unit moja ya umeme (1KWh), ni kipimo cha kiasi cha umeme ambacho kama utautumia kufanya kazi inayohitaji ‘power’ (nguvu) ya watts 1000 , basi unit hiyo itaisha baada ya lisaa limoja (dakika 60).
Haya sasa, tuliza akili halafu twende taretibu. Bwawa la Nyerere linatajwa kuweza kuzalisha Megawatt 2100. Hii inamaanisha nini?
Mega ni neno linalomaanisha millions (000,000), hivyo kwa tafsiri rahisi kabisa, bwawa hili linauwezo wa kuzalisha nguvu (power) ya umeme ya Watts ‘MILLION 2100’ , tukitaka kuiweka kati Kilowatts, tunagawanya hiyo namba kwa ‘1000’ , ambapo tunapata kwamba hilo bwawa linazalisha umeme wenye nguvu ya KILOWatts MILLION 2.1.
Hadi hapo tupo pamoja naamini, maana wewe unaesoma hapa naamini unaakili walau za kuemdea chooni, hivyo lazima hadi hapo umenielewa. Sasa basi , tubadilishe hicho kiwango kuwa ‘Killowatt hour’ (KWh) ambayo ndio unit moja ya umeme sasa.
Mashine za kufua umeme huo wa 2.1 million Kilowatts, zikizalisha umeme kwa muda lisaa limoja, maana yake tumezalisha Unit za umeme zipatazo Million 2.1 , yaani 2.1 million Kwh.
Unit moja ya umeme hapa Tanganyika ni 600/=; sasa kwa unit milioni 2.1, unapata milioni 1,260 ; ambayo ni bilioni 1.26 kwa lisaa. Hivyo basi kwa masaa 24 (siku 1), mitambo inazalisha umeme wenye thamani ya shillingi bilioni 30.24; kwa mwezi ni mara 30 ya hiyo, ambayo tunapata wastani wa Trillion 1 kwa mwezi.
Sasa kwa miezi 12 tunafanya mara 12, hivyo tunapata Trillion 12 kwa mwaka, ambayo ni 50% ya makusanyo yote ya TRA kwa mwaka mzima.
Sasa cha ajabu, huo umeme utauzwa nje, na bado watoto kule kondoa wataendelea kukalia vumbi darasani kwa ukosefu wa fedha za kununulia madawati, huku kesi za ICSD dhidi ya Tanesco wanazojishtaki wenyewe zikiendelea kupamba moto.
Bishana na data (Hoja), usibishane na mimi.
View attachment 2719181
View attachment 2719190
View attachment 2719193
=========================
Serikali: Tumedhamiria kuzalisha umeme mwingi, ziada tutauza nje ya nchi
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo September 20, 2023 amefungua Kongamano la Tano na Maonesho ya Nishati Tanzania na amesema kwamba Serikali imedhamiria kuwa Mzalishaji mkubwa wa nishati na kuwa na umeme wa kutosha utakaopatikana kwa urahisi na nafuu na ziada itauzwa nje ya Nchi...www.jamiiforums.com
Hii hatuwezi kukubali aiseeNakuhakikishia watakwambia gharama za uendeshaji ni kubwa kuliko mapato hivyo mradi unaendeshwa kwa hasara. Kama huniamini ngoja uone.