Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
[emoji38][emoji38][emoji38]Kabla ya yote turudi darasani kidogo, maana sitaki tuanze kuulizana maswali obvious , mara sijui source ni ipi, nk. haya twende kazi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38]Kabla ya yote turudi darasani kidogo, maana sitaki tuanze kuulizana maswali obvious , mara sijui source ni ipi, nk. haya twende kazi...
Kwa mentality au tuseme mtindo wa kufikiri wa waswahili wanasema 'ukipata kitumie ukikosa kijutie' hivyo hao kina januari maharage na mfadhili wao na watoto wao inaelekea wako kupiga dili za kufa mtu.Kabla ya yote turudi darasani kidogo, maana sitaki tuanze kuulizana maswali obvious , mara sijui source ni ipi, nk. haya twende kazi...
Toka lini matamanio yakawa uhalisia? Motivational speaker mna mambo sana.Bishana na data
Data hizo hapo, bishana nazo, hizo ni data si matamanioToka lini matamanio yakawa uhalisia? Motivational speaker mna mambo sana.
Mtoa mada ana akili ndogo sana, na muongoKuna haja JamiiForums kuja na Community notes kama ile ya twiter,
Mana si kwa upotoshaji huu,
Unit ya umeme wa tanesco ni KW sio KwH,
Bei ya umeme wa Tanesco sio 600/unit ni 350/unit tena kwa viwandani ni 120/unit
Na sio kweli kiwa KW inaisha ndani ya saa moja, bali matumizi ndo yataamua
Inshort uzi wako una uongo sana, ila kwa kuwa unaikandia serikali mods wataiacha, sema kuna haja ya kuwa na facts checker aisee
Jamaa anamacho ya kihuniKabla ya yote turudi darasani kidogo, maana sitaki tuanze kuulizana maswali obvious , mara sijui source ni ipi, nk. haya twende kazi.
Unit moja ya umeme hapa Tanganyika inauzwa kwa wastani wa shs. 600/=. Unit moja ya umeme ni kitu wanaita Kilowatthour (KWh). Kilowatthour ni nini hasa? Kilo inamaanisha ‘Maelfu’ (thousands , 000), Watt ni neno linalowakilisha kiwango cha nguvu (power), in this case ni nguvu ya umeme. Sasa hour ni lisaa (dakika 60)...
Kwamba ukizalisha Mw2,115 utauza zote? Hizi story ndio tuliletewa kuhusu bomba la gas. Ukiangalia uhalisia wake kwa sasa na zile porojo unabaki kucheka tu.Data hizo hapo, bishana nazo, hizo ni data si matamanio
Ndio hivyo utasikia yule bibi eti serikali haifanyi biasharaIla utasikia wanapewa warabu waliendeshe maana watanzania ni wezi mno
Hii ni bei ya Petroli au ni umeme? Hujui ulichoandika hapa!Kabla ya yote turudi darasani kidogo, maana sitaki tuanze kuulizana maswali obvious , mara sijui source ni ipi, nk. haya twende kazi.
Unit moja ya umeme hapa Tanganyika inauzwa kwa wastani wa shs. 600/=. Unit moja ya umeme ni kitu wanaita Kilowatthour (KWh). Kilowatthour ni nini hasa? ...
Duuh! Umekula nini leo? Ndoto unayoiota inaonyesha haupo sayari hii ya dunia huenda mwenzetu uko Mars!Kabla ya yote turudi darasani kidogo, maana sitaki tuanze kuulizana maswali obvious , mara sijui source ni ipi, nk. haya twende kazi.
Unit moja ya umeme hapa Tanganyika inauzwa kwa wastani wa shs. 600/=. Unit moja ya umeme ni kitu wanaita Kilowatthour (KWh)...
Hesabu za kilaymanKabla ya yote turudi darasani kidogo, maana sitaki tuanze kuulizana maswali obvious , mara sijui source ni ipi, nk. haya twende kazi.
Unit moja ya umeme hapa Tanganyika inauzwa kwa wastani wa shs. 600/=. Unit moja ya umeme ni kitu wanaita Kilowatthour (KWh). Kilowatthour ni nini hasa?...
Duuu, hapo uliposema unit ya Tanesco ni KW sio Kwh ndio nikajua kichwani hamna kitu...,Kuna haja JamiiForums kuja na Community notes kama ile ya twiter,
Mana si kwa upotoshaji huu,
Unit ya umeme wa tanesco ni KW sio KwH,
Bei ya umeme wa Tanesco sio 600/unit ni 350/unit tena kwa viwandani ni 120/unit
Na sio kweli kiwa KW inaisha ndani ya saa moja, bali matumizi ndo yataamua
Inshort uzi wako una uongo sana, ila kwa kuwa unaikandia serikali mods wataiacha, sema kuna haja ya kuwa na facts checker aisee
Ndio maana tukasema bei ishuke ili watu wapikie umeme hadi vijijini huko na umeme uishe, au ukizalisha na zisipotumika unaenda kuhifadhi kwenye battery kama za magari?Kwamba ukizalisha Mw2,115 utauza zote? Hizi story ndio tuliletewa kuhusu bomba la gas. Ukiangalia uhalisia wake kwa sasa na zile porojo unabaki kucheka tu.
Petroli ya 600/= unanunua wapi na sisi twende?Hii ni bei ya Petroli au ni umeme? Hujui ulichoandika hapa!
Bishana na data, usibishane na mimiDuuh! Umekula nini leo? Ndoto unayoiota inaonyesha haupo sayari hii ya dunia huenda mwenzetu uko Mars!
sijasema kwamba hiyo pesa ni faida, nimesema kwamba ni thamani tu ya umeme utakaozalishwa nje ya ule ambao tunazalisha sasa hivi.Hesabu za kilayman
1. Unit sio Tsh 600 ni kama 300 na kitu
2. Huwezi piga mahesabu ya thamani ya kitu kwa kuangalia bei ya Retail, mpaka Hio unit unauziwa 300 imepigiwa mahesabu ya Nguzo, Mishahara ya Tanesco, mitambo ya kusafirishia, na gharama nyengine.