NEEMA KUU: Bwawa la Nyerere kuzalisha umeme wenye thamani sawa na 50% ya makusanyo ya TRA nchi nzima, (Trillion 12 kwa mwaka)

NEEMA KUU: Bwawa la Nyerere kuzalisha umeme wenye thamani sawa na 50% ya makusanyo ya TRA nchi nzima, (Trillion 12 kwa mwaka)

Kabla ya yote turudi darasani kidogo, maana sitaki tuanze kuulizana maswali obvious , mara sijui source ni ipi, nk. haya twende kazi...
Kwa mentality au tuseme mtindo wa kufikiri wa waswahili wanasema 'ukipata kitumie ukikosa kijutie' hivyo hao kina januari maharage na mfadhili wao na watoto wao inaelekea wako kupiga dili za kufa mtu.
 
Kuna haja JamiiForums kuja na Community notes kama ile ya twiter,
Mana si kwa upotoshaji huu,

Unit ya umeme wa tanesco ni KW sio KwH,

Bei ya umeme wa Tanesco sio 600/unit ni 350/unit tena kwa viwandani ni 120/unit

Na sio kweli kiwa KW inaisha ndani ya saa moja, bali matumizi ndo yataamua

Inshort uzi wako una uongo sana, ila kwa kuwa unaikandia serikali mods wataiacha, sema kuna haja ya kuwa na facts checker aisee
 
Mtoa mada ana akili ndogo sana, na muongo
 
Kabla ya yote turudi darasani kidogo, maana sitaki tuanze kuulizana maswali obvious , mara sijui source ni ipi, nk. haya twende kazi.

Unit moja ya umeme hapa Tanganyika inauzwa kwa wastani wa shs. 600/=. Unit moja ya umeme ni kitu wanaita Kilowatthour (KWh). Kilowatthour ni nini hasa? Kilo inamaanisha ‘Maelfu’ (thousands , 000), Watt ni neno linalowakilisha kiwango cha nguvu (power), in this case ni nguvu ya umeme. Sasa hour ni lisaa (dakika 60)...
Jamaa anamacho ya kihuni
 
Kabla ya yote turudi darasani kidogo, maana sitaki tuanze kuulizana maswali obvious , mara sijui source ni ipi, nk. haya twende kazi.

Unit moja ya umeme hapa Tanganyika inauzwa kwa wastani wa shs. 600/=. Unit moja ya umeme ni kitu wanaita Kilowatthour (KWh). Kilowatthour ni nini hasa? ...
Hii ni bei ya Petroli au ni umeme? Hujui ulichoandika hapa!
 
Kabla ya yote turudi darasani kidogo, maana sitaki tuanze kuulizana maswali obvious , mara sijui source ni ipi, nk. haya twende kazi.

Unit moja ya umeme hapa Tanganyika inauzwa kwa wastani wa shs. 600/=. Unit moja ya umeme ni kitu wanaita Kilowatthour (KWh)...
Duuh! Umekula nini leo? Ndoto unayoiota inaonyesha haupo sayari hii ya dunia huenda mwenzetu uko Mars!
 
Kabla ya yote turudi darasani kidogo, maana sitaki tuanze kuulizana maswali obvious , mara sijui source ni ipi, nk. haya twende kazi.

Unit moja ya umeme hapa Tanganyika inauzwa kwa wastani wa shs. 600/=. Unit moja ya umeme ni kitu wanaita Kilowatthour (KWh). Kilowatthour ni nini hasa?...
Hesabu za kilayman

1. Unit sio Tsh 600 ni kama 300 na kitu.

2. Huwezi piga mahesabu ya thamani ya kitu kwa kuangalia bei ya Retail, mpaka Hio unit unauziwa 300 imepigiwa mahesabu ya Nguzo, Mishahara ya Tanesco, mitambo ya kusafirishia, na gharama nyengine.
 
Kuna haja JamiiForums kuja na Community notes kama ile ya twiter,
Mana si kwa upotoshaji huu,

Unit ya umeme wa tanesco ni KW sio KwH,

Bei ya umeme wa Tanesco sio 600/unit ni 350/unit tena kwa viwandani ni 120/unit

Na sio kweli kiwa KW inaisha ndani ya saa moja, bali matumizi ndo yataamua

Inshort uzi wako una uongo sana, ila kwa kuwa unaikandia serikali mods wataiacha, sema kuna haja ya kuwa na facts checker aisee
Duuu, hapo uliposema unit ya Tanesco ni KW sio Kwh ndio nikajua kichwani hamna kitu...,

934FE417-AFF9-4254-9862-3173CB52940D.jpeg

Halafu nani kasema unit moja inaisha ndani ya lisaa? Hivi umesoma nilichoandika kuhusu definition ya Kwh au umekurupuka tu? Nimesema kama utatumia 1000watts kwa muda wa lisaa basi kama huo umeme ni unit moja unaisha, as per definition ya Kwh!

Kuhusu bei hebu weka risiti ya mwisho uliyonunua umeme, tuone kila uniti wamekata how much
 
Kwamba ukizalisha Mw2,115 utauza zote? Hizi story ndio tuliletewa kuhusu bomba la gas. Ukiangalia uhalisia wake kwa sasa na zile porojo unabaki kucheka tu.
Ndio maana tukasema bei ishuke ili watu wapikie umeme hadi vijijini huko na umeme uishe, au ukizalisha na zisipotumika unaenda kuhifadhi kwenye battery kama za magari?
Wao walichoona ni kwenda kuuza nje na kupiga pesa na akina Abdul
 
Hesabu za kilayman
1. Unit sio Tsh 600 ni kama 300 na kitu
2. Huwezi piga mahesabu ya thamani ya kitu kwa kuangalia bei ya Retail, mpaka Hio unit unauziwa 300 imepigiwa mahesabu ya Nguzo, Mishahara ya Tanesco, mitambo ya kusafirishia, na gharama nyengine.
sijasema kwamba hiyo pesa ni faida, nimesema kwamba ni thamani tu ya umeme utakaozalishwa nje ya ule ambao tunazalisha sasa hivi.

Weka risiti ya mwisho uliyonunua umeme, tuone bei uliyokatwa
 
Back
Top Bottom