Neema Swai: Sifungi ndoa na Mrema

Hii pia ni habari ? Neema Swai tayari umeshafunguliwa Dunia kazi kwako,kuitumia fursa. Heko !!!
 
Umeongea nae kaburini?!!!

Mjomba una kipaji cha kuongea na wafu.......

Wapi unaposoma nimeongea na awaye yote kaburini?

Au huwajui waliokuwa wakalia kiti bunge la katiba?

Au kunitafutia kesi?
 
Kaandaliwa mpaka kipindi
Asitambe sana akifika 30+ atamtafuta mrema na atakua hayupo tena
 
Sitta hataki katiba mpya? Au kunitafutia kesi?
Unabadilikabadilika kama kinyonga mpwa....ama ndio mafunzo ya wiki 2/2 uliyoyapata kule ujerumani kwa msaada wa CDU kilichoshindwa vibaya uchaguzi na kwa pia kwa msaada wa karibu wa huyu boss wenu wa kimataifa hapa chini ?!!!

ZAMA HIZI MABINTI WANAPENDA KUITWA WAJANE
Huyu sio mwenyewe.
Kuna tabia inachipua watu kujifanya wanajua zaidi kwa kurusha picha za watu wasio husika.
Mfano kuna dada Mrwanda alirushwa sana mitandaoni eti ni mchumba wa Sabaya.
Mchuma wa Mrema ni Halima sio Neema
 
Kwani shujaa wako aliyepokea posho akikalia kiti kwenye bunge la katiba, kabadilika kwa mafunzo ya CNDD/FDD?
 
BWAGA PICHA ya Halima kuondoa utata basi
 
Kwani shujaa wako aliyepokea posho akikalia kiti kwenye bunge la katiba, kabadilika kwa mafunzo ya CNDD/FDD?
Lini CNDD/FDD ikataka "kusimika" viongozi Tanzania?!!

Kwa nguvu na uwezo gani walionao?!!

Lini CNNDD-FDD ilipata kuitawala Tanzania ?!!!

Lini viongozi wa CCM waliomba hifadhi ya kisiasa huko kwa akina CNNDD-FDD?!!
 
CNDD/FDD hutoa uzoefu wa ubakaji katiba na kubakia madarakani ikibidi kinyume cha utaratibu, ambao ni kivutio kwa madikteta.

Wewe ulikuwa hulijui hilo au kwa vile wewe ni mnufaika?
 
Aah ngoja tusubirie ndoa yenyewe tutamfahamu mhusika
 
Kwa mawazo kama haya, labda ndiyo maana hata aliyekuwa mwenyekiti wa bunge la katiba na akachukua posho, leo hajui kama watanzania wanataka katiba mpya.

Yumkini mawazo yake, yako huko huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…