MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Embu Neema anitafute kwa haraka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😳😳😳🤣🤣Mrema ametumwa kututoa kwenye agenda ya Katiba Mpya.
Mrema ametumwa kututoa kwenye agenda ya Katiba Mpya.
TrueMrema ametumwa kututoa kwenye agenda ya Katiba Mpya.
Mdanganywe mara ngapi ?!!! 😳😳🤣🤣Hatudanganyiki!
Umeongea nae kaburini?!!!
Mjomba una kipaji cha kuongea na wafu.......
Amefufuka mzee wetu hayati Samuel Sitta?!!!Wapi unaposoma nimeongea na awaye yote kaburini?
Au huwajui waliokuwa wakalia kiti bunge la katiba?
Amefufuka mzee wetu hayati Samuel Sitta?!!!
Unabadilikabadilika kama kinyonga mpwa....ama ndio mafunzo ya wiki 2/2 uliyoyapata kule ujerumani kwa msaada wa CDU kilichoshindwa vibaya uchaguzi na kwa pia kwa msaada wa karibu wa huyu boss wenu wa kimataifa hapa chini ?!!!Sitta hataki katiba mpya? Au kunitafutia kesi?
Huyu sio mwenyewe.ZAMA HIZI MABINTI WANAPENDA KUITWA WAJANE
Huyu siyeAmekataa
Unabadilikabadilika kama kinyonga mpwa....ama ndio mafunzo ya wiki 2/2 uliyoyapata kule ujerumani kwa msaada wa CDU kilichoshindwa vibaya uchaguzi na kwa pia kwa msaada wa karibu wa huyu boss wenu wa kimataifa hapa chini ?!!!
View attachment 2161721
BWAGA PICHA ya Halima kuondoa utata basiHuyu sio mwenyewe.
Kuna tabia inachipua watu kujifanya wanajua zaidi kwa kurusha picha za watu wasio husika.
Mfano kuna dada Mrwanda alirushwa sana mitandaoni eti ni mchumba wa Sabaya.
Mchuma wa Mrema ni Halima sio Neema
Lini CNDD/FDD ikataka "kusimika" viongozi Tanzania?!!Kwani shujaa wako aliyepokea posho akikalia kiti kwenye bunge la katiba, kabadilika kwa mafunzo ya CNDD/FDD?
Lini CNDD/FDD ikataka "kusimika" viongozi Tanzania?!!
Kwa nguvu na uwezo gani walionao?!!
Lini CNNDD-FDD ilipata kuitawala Tanzania ?!!!
Lini viongozi wa CCM waliomba hifadhi ya kisiasa huko kwa akina CNNDD-FDD?!!
Neema neema kweliKumbe Neema mwenyewe MTU eeh
Kwa mawazo kama haya, labda ndiyo maana hata aliyekuwa mwenyekiti wa bunge la katiba na akachukua posho, leo hajui kama watanzania wanataka katiba mpya.
Yumkini mawazo yake, yako huko huko?