- Thread starter
- #21
Ah
SanteHongera sana kijana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SanteHongera sana kijana
Anawake wa dar mtanifilisiTajiri njoo dar nikuonyeshe chimbo la bia tamu
Uko bush bia za moto afu chungu njoo Tz ilipo ule upepo wa bahari 😜
Lishi we fukua tu mkuuNimeacha kazi rasmi, naenda kwenye umachinga
Tarehe ya leo itabaki kwenye kumbukumbu zangu kuwa tarehe ya mwisho kuwepo kazini. Aisee, baada ya kuchoka na uvivu uliokithiri leo natangaza rasmi kuacha kazi wakuu. Kwasasa nitakuwa napatikana Mbezi Mwisho stendi ya Magufuli kama machinga mdogo tu wa earphones, redio na vitu vingine vidogo...www.jamiiforums.com
Poa, wewe ni mwanamke au mwanaume? Vipi ulipata mume?Haija
Lishi we fukua tu mkuu
Njoo bana 😜Nyie w
Anawake wa dar mtanifilisi
u na kaunta nimevaa tshirt nyeupe mkkuuMKUU mimi nipo hapa kwa wauza matunda karibu na supermarket ya godenbecca nakula matunda hapa bija kwahiyo nikupandie kwa juu au upo kwa chini mkuu tuambizane
nakuja pm mkuu serious aiseePm mkuu
Duh! Hapa jukwaani Kuna vituko kweli [emoji2]
Dah umaskini mbaya sana. Yani million 15 tu ndo inafanya marinda yako kulia mbwata? Only 15 million madaf equivalent to 7000 USD. Yani nyie 99% mna shida na mnakera sana.Hakika riziki haupigi hodi kabisa, inakuja mbio mbio kabisa ila hii inakuja ukiwa na jitihada haiji tu eti upo zenu maskani kwenye kijiwe cha bangi unategemea utapa riziki? Hilo sahau kabisa aisee,nyie endeleeni tu kuvuta bangi na kupiga majungu, chuki na kuwasema vibaya waliofanikiwa
Nikuambie kitu pesa ipo kwenye kilimo naendelea kuwasanua ila kama kawaida mkiendelea na majungu mtajua wenyewe baada ya kupambana kununua mazao na kulima zao la mpunga nikaenda kupeleka sokoni kwa maana Kahama nikiwa na gunia zangu 167 za mpunga, basi bwana nikapeleka kahama na kila gunia nikauza 90,000 sikutaka kuuza kwa kilo niliona nitachelewa kwa sababu shambani nimeacha mahindi yangu, choroko, kunde na mengineyo.
Nikafika zangu pale Kagongwa Kahama kwenye maghala ya mpunga ile kufika tu nikakuta na tajiri mmoja mnyarwanda tukahesabu magunia na akaangalia sample na akaridhika nazo akanikatia cash zaidi ya milioni 15 zangu nikachomoka, hapa nilipo nipo miguu juu bijampora nakula bia.
Wenyeji wa Kahama karibu hapa bar ya Bijampora naangalia mechi huku nashushia bia na mtoto wa kinyarwanda karibuni.
Kilimo kinalipa vijana, acheni majungu tokeni maskani huko mkapambane! 😀😀😀😀
Kupata mil 15 haiwezi kuonyesha kama kilimo kina lipa bila ya kutoa data.Hakika riziki haupigi hodi kabisa, inakuja mbio mbio kabisa ila hii inakuja ukiwa na jitihada haiji tu eti upo zenu maskani kwenye kijiwe cha bangi unategemea utapa riziki? Hilo sahau kabisa aisee,nyie endeleeni tu kuvuta bangi na kupiga majungu, chuki na kuwasema vibaya waliofanikiwa