Neema zinazidi kunikimbilia, leo nimepata zaidi ya Tsh. 15m baada ya kuuza mpunga wangu

Dah umaskini mbaya sana. Yani million 15 tu ndo inafanya marinda yako kulia mbwata? Only 15 million madaf equivalent to 7000 USD. Yani nyie 99% mna shida na mnakera sana.
Endelea kunyanyua mabox na kuolewa na mababu wa kizungu huko
 
Watu hawataki kumuamini kabisa mpambanaji wamebaki kuamini ni uongo, haijalishi anadanganya au lahasha mpambane vijana acheni kukaa kisolo[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] mnatia aibu ndiyo maana mnaachwa na mademu zenu
Vijana wengi wanaojifanya wanaishi mjini hawaamini kwamba kilimo hakilipi hasa hasa hawa wanaojiona ni wasomi wamekalia kubeba bahasha za kaki that why wasomi wengi na waajiriwa wengi ni maskini na wala.sikatai na mimi nilikuwa nawaza kama.wao
 
Hakika riziki haupigi hodi kabisa, inakuja mbio mbio kabisa ila hii inakuja ukiwa na jitihada haiji tu eti upo zenu maskani kwenye kijiwe cha bangi unategemea utapa riziki? Hilo sahau kabisa aisee,nyie endeleeni tu kuvuta bangi na kupiga majungu, chuki na kuwasema vibaya waliofanikiwa

Nikuambie kitu pesa ipo kwenye kilimo naendelea kuwasanua ila kama kawaida mkiendelea na majungu mtajua wenyewe baada ya kupambana kununua mazao na kulima zao la mpunga nikaenda kupeleka sokoni kwa maana Kahama nikiwa na gunia zangu 167 za mpunga, basi bwana nikapeleka kahama na kila gunia nikauza 90,000 sikutaka kuuza kwa kilo niliona nitachelewa kwa sababu shambani nimeacha mahindi yangu, choroko, kunde na mengineyo.

Nikafika zangu pale Kagongwa Kahama kwenye maghala ya mpunga ile kufika tu nikakuta na tajiri mmoja mnyarwanda tukahesabu magunia na akaangalia sample na akaridhika nazo akanikatia cash zaidi ya milioni 15 zangu nikachomoka, hapa nilipo nipo miguu juu bijampora nakula bia.

Wenyeji wa Kahama karibu hapa bar ya Bijampora naangalia mechi huku nashushia bia na mtoto wa kinyarwanda karibuni.

Kilimo kinalipa vijana, acheni majungu tokeni maskani huko mkapambane! 😀😀😀😀
Unaweza ukatuwekea gharama za uzalishaji?
 
Motivesheni Spikaz siyo watu wa kuwaamini hata kidogo. Maneno mengi, vitendo hakuna.
 
Hongera sana Mkuu,Mungu akuzidishie,

Ila baada ya Mungu kukupa hiyo riziki mbona umeenda Bar kulewa na kuchukua Mwanamke badala ya kumshukuru Mungu kwa ibada na kusaidie wasiojiweza ili Mungu azidi kukubariki zaidi?
 
Huyu k.enge ana changamoto ya afya ya akili. 23/10/2023 aliacha kazi awe machinga. 26/10/2023 akaibiwa milioni 5 za kazini kwenye gari Stendi ya Magufuli akimsindikiza wife. 27/10/2023 akaleta uzi kushukuru waliomuombea apone kutoka Milembe hospital alipokuwa amelazwa. Jana siku 10 mbele kauza mahindi gunia 167 Kahama, unadhani Kuna binadamu mzima hapo au ni mtambo mmoja ambao Airtel inasoma Tigo unaleta thread kufurahisha genge!?🤣😆
 
Huu ni wivu kabisa aisee mpaka tunaitana kenge? Aisee hizi ni chuki pro max😀😀😀
 
Kuwa motivate nyie mbwa mnaokaa vijiweni kutwa kujadili simba na yanga
Ukijiona unaweza kuwa-motivate mbwa, jua na wewe ni mbwa mwenzao. By the way, JF baadhi tunatumia fake IDs na wengine majina yao halisi. Kuna unaowafahamu na usiowafahamu. Labda mbwa na hao unaowafahamu na ndo hao wanaokaa vijiweni maana unawajua walivyo. Kwa sisi usiotujua, kutuita mbwa unakosea sana..!!
 
Huyu k.enge ana changamoto ya afya ya akili. 23/10/2023 aliacha kazi awe machinga. 26/10/2023 akaibiwa milioni 5 za kazini kwenye gari Stendi ya Magufuli akimsindikiza wife. 27/10/2023 akaleta uzi kushukuru waliomuombea apone kutoka Milembe hospital alipokuwa amelazwa. Jana siku 10 mbele kauza mahindi gunia 167 Kahama, unadhani Kuna binadamu mzima hapo au ni mtambo mmoja ambao Airtel inasoma Tigo unaleta thread kufurahisha genge!?🤣😆
Observation nzuri sana..!! Watu kama hawa akina Bilionaire kekeman ni waongo kupindukia..!! Yaani anajiandikia tu nyuzi zisizo na mpangilio..!!
Kwa mtiririko huu, kuna siku atakuja kutuambia amekufa na anaandika akiwa kaburini..!!
 
Hakika riziki haupigi hodi kabisa, inakuja mbio mbio kabisa ila hii inakuja ukiwa na jitihada haiji tu eti upo zenu maskani kwenye kijiwe cha bangi unategemea utapa riziki? Hilo sahau kabisa aisee,nyie endeleeni tu kuvuta bangi na kupiga majungu, chuki na kuwasema vibaya waliofanikiwa

Nikuambie kitu pesa ipo kwenye kilimo naendelea kuwasanua ila kama kawaida mkiendelea na majungu mtajua wenyewe baada ya kupambana kununua mazao na kulima zao la mpunga nikaenda kupeleka sokoni kwa maana Kahama nikiwa na gunia zangu 167 za mpunga, basi bwana nikapeleka kahama na kila gunia nikauza 90,000 sikutaka kuuza kwa kilo niliona nitachelewa kwa sababu shambani nimeacha mahindi yangu, choroko, kunde na mengineyo.

Nikafika zangu pale Kagongwa Kahama kwenye maghala ya mpunga ile kufika tu nikakuta na tajiri mmoja mnyarwanda tukahesabu magunia na akaangalia sample na akaridhika nazo akanikatia cash zaidi ya milioni 15 zangu nikachomoka, hapa nilipo nipo miguu juu bijampora nakula bia.

Wenyeji wa Kahama karibu hapa bar ya Bijampora naangalia mechi huku nashushia bia na mtoto wa kinyarwanda karibuni.

Kilimo kinalipa vijana, acheni majungu tokeni maskani huko mkapambane! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ugoro sio mzuri kwa afya ya akili
 
ukiwa na hela hata kupost huku utumbooo hutakumbuka...toka magetoni ukajiteteee kijana upate mkate.
 
WEKA PICHA,MANA JF IMEINGILIWA NA WAONGO WATU WANADANGANYA MPAKA BASI..HEBU TUWEKEE PICHA YA HUYO MTOTO WA KINYARWANDA AKIWA UCHI,MANA HAMKAWII KU GOOGLE PICHA
 
Back
Top Bottom