Neema zinazidi kunikimbilia, leo nimepata zaidi ya Tsh. 15m baada ya kuuza mpunga wangu

Nyie w
Tajiri njoo dar nikuonyeshe chimbo la bia tamu
Uko bush bia za moto afu chungu njoo Tz ilipo ule upepo wa bahari ๐Ÿ˜œ
Anawake wa dar mtanifilisi
 
 
Haija Lishi we fukua tu mkuu
 
MKUU mimi nipo hapa kwa wauza matunda karibu na supermarket ya godenbecca nakula matunda hapa bija kwahiyo nikupandie kwa juu au upo kwa chini mkuu tuambizane
 
Nipo kariby
MKUU mimi nipo hapa kwa wauza matunda karibu na supermarket ya godenbecca nakula matunda hapa bija kwahiyo nikupandie kwa juu au upo kwa chini mkuu tuambizane
u na kaunta nimevaa tshirt nyeupe mkkuu
 
Agiza na kitimoto kilo NNE najiandaa nakuja hapo bijampora na Bebe!!
 
Dah umaskini mbaya sana. Yani million 15 tu ndo inafanya marinda yako kulia mbwata? Only 15 million madaf equivalent to 7000 USD. Yani nyie 99% mna shida na mnakera sana.
 
Watu hawataki kumuamini kabisa mpambanaji wamebaki kuamini ni uongo, haijalishi anadanganya au lahasha mpambane vijana acheni kukaa kisolo[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] mnatia aibu ndiyo maana mnaachwa na mademu zenu
 
Kupata mil 15 haiwezi kuonyesha kama kilimo kina lipa bila ya kutoa data.

1. Hadi hizo gunia 160 unazifikisha kahama umetumia shs ngapi? Kuanzia kuandaa shamba, mbegu, kulima, palizi, kuvuna kukausha, kupaki kwenye magunia, kukodi gari, vinarua wa kubeba, kushusha etc. Hadi unapata hiyo mil 15. Je wewe umeweka kiasi gani?

2. Je umetumia muda gani kupata hiyo mil 15. ? Kuanzia kuandaa shamba hadi kuuza kwa mnyarwanda ni muda gani umetumia?
3. Chukua mil 15 toa gharama faida ni shs ngapi?

4. Chukua faida gawanya kwa miezi uliyotumia ujue faida ni shs ngapi kwa mwezi?
 
Wewe stori zako hazina hata picha za kupakua mtandaoni. Unashindwa na hilo?
Kuanzia uzi ujao ukitaka tuhamasike na maneno yako weka na picha mkuu. Huoni hata yule God love anachonga na vimbao kabisa.
 
Umeanza vizur Lakin mwisho wa siku Unawaza ngono tu eti bia na mtoto mzuri wa kinyarwanda ndio nini sasa ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
๐Ÿค“๐Ÿค“๐Ÿค“ jamii forum sihami
 
Wenye Hela Wala hawapigi makelele...

Ila matendo yao ndio yanawaonyesha wanazo...

Tafuta Hela zaidi kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ