Endelea kunyanyua mabox na kuolewa na mababu wa kizungu hukoDah umaskini mbaya sana. Yani million 15 tu ndo inafanya marinda yako kulia mbwata? Only 15 million madaf equivalent to 7000 USD. Yani nyie 99% mna shida na mnakera sana.
Hela zipi zinatosha?Wenye Hela Wala hawapigi makelele...
Ila matendo yao ndio yanawaonyesha wanazo...
Tafuta Hela zaidi kijana
Hela ni yangu unanipangia matumizi?Umeanza vizur Lakin mwisho wa siku Unawaza ngono tu eti bia na mtoto mzuri wa kinyarwanda ndio nini sasa 🚮🚮
Vijana wengi wanaojifanya wanaishi mjini hawaamini kwamba kilimo hakilipi hasa hasa hawa wanaojiona ni wasomi wamekalia kubeba bahasha za kaki that why wasomi wengi na waajiriwa wengi ni maskini na wala.sikatai na mimi nilikuwa nawaza kama.waoWatu hawataki kumuamini kabisa mpambanaji wamebaki kuamini ni uongo, haijalishi anadanganya au lahasha mpambane vijana acheni kukaa kisolo[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] mnatia aibu ndiyo maana mnaachwa na mademu zenu
Unaweza ukatuwekea gharama za uzalishaji?Hakika riziki haupigi hodi kabisa, inakuja mbio mbio kabisa ila hii inakuja ukiwa na jitihada haiji tu eti upo zenu maskani kwenye kijiwe cha bangi unategemea utapa riziki? Hilo sahau kabisa aisee,nyie endeleeni tu kuvuta bangi na kupiga majungu, chuki na kuwasema vibaya waliofanikiwa
Nikuambie kitu pesa ipo kwenye kilimo naendelea kuwasanua ila kama kawaida mkiendelea na majungu mtajua wenyewe baada ya kupambana kununua mazao na kulima zao la mpunga nikaenda kupeleka sokoni kwa maana Kahama nikiwa na gunia zangu 167 za mpunga, basi bwana nikapeleka kahama na kila gunia nikauza 90,000 sikutaka kuuza kwa kilo niliona nitachelewa kwa sababu shambani nimeacha mahindi yangu, choroko, kunde na mengineyo.
Nikafika zangu pale Kagongwa Kahama kwenye maghala ya mpunga ile kufika tu nikakuta na tajiri mmoja mnyarwanda tukahesabu magunia na akaangalia sample na akaridhika nazo akanikatia cash zaidi ya milioni 15 zangu nikachomoka, hapa nilipo nipo miguu juu bijampora nakula bia.
Wenyeji wa Kahama karibu hapa bar ya Bijampora naangalia mechi huku nashushia bia na mtoto wa kinyarwanda karibuni.
Kilimo kinalipa vijana, acheni majungu tokeni maskani huko mkapambane! 😀😀😀😀
Ok, hela ni yako, kwanini unatuletea tuijadili?Hela ni yangu unanipangia matumizi?
Kuwa motivate nyie mbwa mnaokaa vijiweni kutwa kujadili simba na yangaOk, hela ni yako, kwanini unatuletea tuijadili?
Na lazima.uniamini?Motivesheni Spikaz siyo watu wa kuwaamini hata kidogo. Maneno mengi, vitendo hakuna.
😀😀Anamiliki jinsia zote 😆😆😆Poa, wewe ni mwanamke au mwanaume? Vipi ulipata mume? View attachment 2808120vp wife wako alifika salama kondoa?View attachment 2808119
Huyu k.enge ana changamoto ya afya ya akili. 23/10/2023 aliacha kazi awe machinga. 26/10/2023 akaibiwa milioni 5 za kazini kwenye gari Stendi ya Magufuli akimsindikiza wife. 27/10/2023 akaleta uzi kushukuru waliomuombea apone kutoka Milembe hospital alipokuwa amelazwa. Jana siku 10 mbele kauza mahindi gunia 167 Kahama, unadhani Kuna binadamu mzima hapo au ni mtambo mmoja ambao Airtel inasoma Tigo unaleta thread kufurahisha genge!?🤣😆Nimeacha kazi rasmi, naenda kwenye umachinga
Tarehe ya leo itabaki kwenye kumbukumbu zangu kuwa tarehe ya mwisho kuwepo kazini. Aisee, baada ya kuchoka na uvivu uliokithiri leo natangaza rasmi kuacha kazi wakuu. Kwasasa nitakuwa napatikana Mbezi Mwisho stendi ya Magufuli kama machinga mdogo tu wa earphones, redio na vitu vingine vidogo...www.jamiiforums.com
Huu ni wivu kabisa aisee mpaka tunaitana kenge? Aisee hizi ni chuki pro max😀😀😀Huyu k.enge ana changamoto ya afya ya akili. 23/10/2023 aliacha kazi awe machinga. 26/10/2023 akaibiwa milioni 5 za kazini kwenye gari Stendi ya Magufuli akimsindikiza wife. 27/10/2023 akaleta uzi kushukuru waliomuombea apone kutoka Milembe hospital alipokuwa amelazwa. Jana siku 10 mbele kauza mahindi gunia 167 Kahama, unadhani Kuna binadamu mzima hapo au ni mtambo mmoja ambao Airtel inasoma Tigo unaleta thread kufurahisha genge!?🤣😆
Ukijiona unaweza kuwa-motivate mbwa, jua na wewe ni mbwa mwenzao. By the way, JF baadhi tunatumia fake IDs na wengine majina yao halisi. Kuna unaowafahamu na usiowafahamu. Labda mbwa na hao unaowafahamu na ndo hao wanaokaa vijiweni maana unawajua walivyo. Kwa sisi usiotujua, kutuita mbwa unakosea sana..!!Kuwa motivate nyie mbwa mnaokaa vijiweni kutwa kujadili simba na yanga
Observation nzuri sana..!! Watu kama hawa akina Bilionaire kekeman ni waongo kupindukia..!! Yaani anajiandikia tu nyuzi zisizo na mpangilio..!!Huyu k.enge ana changamoto ya afya ya akili. 23/10/2023 aliacha kazi awe machinga. 26/10/2023 akaibiwa milioni 5 za kazini kwenye gari Stendi ya Magufuli akimsindikiza wife. 27/10/2023 akaleta uzi kushukuru waliomuombea apone kutoka Milembe hospital alipokuwa amelazwa. Jana siku 10 mbele kauza mahindi gunia 167 Kahama, unadhani Kuna binadamu mzima hapo au ni mtambo mmoja ambao Airtel inasoma Tigo unaleta thread kufurahisha genge!?🤣😆
[emoji23][emoji23]Tajiri njoo dar nikuonyeshe chimbo la bia tamu
Uko bush bia za moto afu chungu njoo Tz ilipo ule upepo wa bahari [emoji12]
Ugoro sio mzuri kwa afya ya akiliHakika riziki haupigi hodi kabisa, inakuja mbio mbio kabisa ila hii inakuja ukiwa na jitihada haiji tu eti upo zenu maskani kwenye kijiwe cha bangi unategemea utapa riziki? Hilo sahau kabisa aisee,nyie endeleeni tu kuvuta bangi na kupiga majungu, chuki na kuwasema vibaya waliofanikiwa
Nikuambie kitu pesa ipo kwenye kilimo naendelea kuwasanua ila kama kawaida mkiendelea na majungu mtajua wenyewe baada ya kupambana kununua mazao na kulima zao la mpunga nikaenda kupeleka sokoni kwa maana Kahama nikiwa na gunia zangu 167 za mpunga, basi bwana nikapeleka kahama na kila gunia nikauza 90,000 sikutaka kuuza kwa kilo niliona nitachelewa kwa sababu shambani nimeacha mahindi yangu, choroko, kunde na mengineyo.
Nikafika zangu pale Kagongwa Kahama kwenye maghala ya mpunga ile kufika tu nikakuta na tajiri mmoja mnyarwanda tukahesabu magunia na akaangalia sample na akaridhika nazo akanikatia cash zaidi ya milioni 15 zangu nikachomoka, hapa nilipo nipo miguu juu bijampora nakula bia.
Wenyeji wa Kahama karibu hapa bar ya Bijampora naangalia mechi huku nashushia bia na mtoto wa kinyarwanda karibuni.
Kilimo kinalipa vijana, acheni majungu tokeni maskani huko mkapambane! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
HahahaEndelea kunyanyua mabox na kuolewa na mababu wa kizungu huko