habari yako ni ya kweli hata Christian Ronaldo anamshobokea mrisho ngasa, na hata mimi nilipofika ulaya kuanzia cabin crews wa kike mpaka wauza maduka ya nguo na super market wote walikuwa wananishobokea kila nikiingia kwenye maduka yao kwa tabasamu bashasha.
ndio maana huwa sina muda wa kulike vibrog uchwara vya wajingawajinga.
Ebu muambie huyo mshamba, halafu watu wananiboa kila habari nikileta humu wanasema warumi ndo kaandika, wanajifanya wajanja kumbe hamna kitu
hakika nimecheeka sana na angalia kwa ndani hii Habari utagundua lengo la hii habari ni kuwakera wasio mpenda Diamond ili waseme.......
Aiseee nimecheka sana na hizi chumvi.
Umeona sasa hao mashabiki maandazi kaja vuluvulu akajua stori imetungwa na Warumi.
Mameneja wa Diamond wameteka media zote .
Kabla Ya Kumnyooshea Mtu Kidole Fanya Karesearch.......Atleast Pitia Pitia Blogs.......Hiyo Habari Imewasilishwa Tu Na Cuzoo.....
Yani watu wanajifanya wajanja hata hawajui kitu, halafu sio mara ya kwanza watu kunishupalia humu kuwa kila habar naandika mimi, yani nina wazimu kuandika kila siku habar humu? Eeh kwa mshahara upi? Nikijisikia kutoa umbea binafsi natoa, na zaman nilikuwa natoa sana habar zangu binafsi humu ila waandish wa habar wakawa wanazichukua na kuziuza so now mwendo wa ku copy na ku paste, nitaleta ubuyu special nikijisikia , ila habar nyingi kwa sasa zinatoka blogs mbali mbal
nimemuona binamu....
Umeona sasa hao mashabiki maandazi kaja vuluvulu akajua stori imetungwa na Warumi.