Nelly, Chris Brown na Kerrueche wamshobokea Diamond

Nelly, Chris Brown na Kerrueche wamshobokea Diamond

Status
Not open for further replies.
habari yako ni ya kweli hata Christian Ronaldo anamshobokea mrisho ngasa, na hata mimi nilipofika ulaya kuanzia cabin crews wa kike mpaka wauza maduka ya nguo na super market wote walikuwa wananishobokea kila nikiingia kwenye maduka yao kwa tabasamu bashasha.

Ahhhaahaha mkuu umemaliza kabisa.
 
hakika nimecheeka sana na angalia kwa ndani hii Habari utagundua lengo la hii habari ni kuwakera wasio mpenda Diamond ili waseme.......

Aiseee nimecheka sana na hizi chumvi.
 
Shortly mwandishi kama huyu alipaswa kukamatwa na kupelekwa Lugalo na apewe adhabu ya kudeki bwalo zima la jeshi kwa leso hadi likauke na kung'aa .....amedhalilisha sana nchi........ngoja nimpigie kamanda Marwa amshughulikie ajifunze uzalendo kijeshi......
 
Ebu muambie huyo mshamba, halafu watu wananiboa kila habari nikileta humu wanasema warumi ndo kaandika, wanajifanya wajanja kumbe hamna kitu

hahaha binamu bana uwe unaweka credit source ya habari.

mi nakuaminia sana mastori yako week hii yote nimehamia huku
 
Last edited by a moderator:
hakika nimecheeka sana na angalia kwa ndani hii Habari utagundua lengo la hii habari ni kuwakera wasio mpenda Diamond ili waseme.......

Aiseee nimecheka sana na hizi chumvi.

Rutta habari hizi zimezagaa sana leo kwenye blogu mbalimbali, nahisi lengo lao ni kumpaisha Diamond lakini response imekuwa hasi.
 
Kabla Ya Kumnyooshea Mtu Kidole Fanya Karesearch.......Atleast Pitia Pitia Blogs.......Hiyo Habari Imewasilishwa Tu Na Cuzoo.....

Yani watu wanajifanya wajanja hata hawajui kitu, halafu sio mara ya kwanza watu kunishupalia humu kuwa kila habar naandika mimi, yani nina wazimu kuandika kila siku habar humu? Eeh kwa mshahara upi? Nikijisikia kutoa umbea binafsi natoa, na zaman nilikuwa natoa sana habar zangu binafsi humu ila waandish wa habar wakawa wanazichukua na kuziuza so now mwendo wa ku copy na ku paste, nitaleta ubuyu special nikijisikia , ila habar nyingi kwa sasa zinatoka blogs mbali mbal
 
tuletee ubuyu mwingine siku nyingi hatujapata ubuyu
 
Umeona sasa hao mashabiki maandazi kaja vuluvulu akajua stori imetungwa na Warumi.

Na kuitwa hater naitwa wengine warumi mchawi kabisa, yani ku post habar humu imekuwa kosa? kila kitu natunga mimi, basi warumi kiboko.
 
Hii ndio inanifanyaga namchukia hata huyu diamond kwa kosa la wafanyakazi wake hawa.

Acha kupiga mayowe acha wayaone wenyewe sio siri mtu anaejinadi hana nafasi kwangu kwa sasa.

Baada ya domo kukosa tuzo nilifurahi maskini ya mungu lakn kumbe hates catalyst ni huyu mwandishi wa uharo huu.

Team haters.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom