Nelson Mandela alihalalisha uporwaji wa Ardhi ya Afrika Kusini kwa Boers halafu anaitwa Baba wa Afrika. Afrika tumerogwa na nani?

Nelson Mandela alihalalisha uporwaji wa Ardhi ya Afrika Kusini kwa Boers halafu anaitwa Baba wa Afrika. Afrika tumerogwa na nani?

Kwa wakati ule alikuwa sahihi kwani hata angekomaa wazungu wakaacha ardhi bado wangeweza kumkwamisha kama yaliyotokea Zimbabwe.
Ila Sasa nadhani ni muda muafaka wa kuwa na mazungumzo ya kitaifa ili wazungu waachie baadhi ya ardhi wapewe weusi japo hii rangi yetu sidhani kama wataifanyia lolote.
Mugabe na Mandela wote ni wapumbavu.Angola na Msumbiji kwani wao waliwezaje? Rhodesia ziliwezaje?

Acheni kutetea wapumbavu nyie.
 
Unasema hivyo sababu unaweza kununua kiwanja dar es sallam au arusha au mwanza ai mikocheni ili mradi pesa yako. Wenzio weusi huko SA hawaruhusu hata kudhuru fukwe za miji wanayoishi makaburu.
Hapa hapa Bongo nenda kajaribu kutembea kwenye fukwe zilizo mbele ya hoteli za kitalii au makazi ya wakubwa uone kama hautavurumushwa. Hivyo hivyo Afrika Kusini kuna gated communities kama zilivyo Kigamboni na unaingia kwa mwaliko.
Na sisi tumewauzia wakoloni?

Amandla...
 
Nasema hivi anaemiliki 80% ya Ardhi huko S.Africa ni nani?
Asilimia 92 ya ardhi Afrika Kusini inamilikiwa na raia wa Afrika ya Kusini. Au ulitaka waanzishe Apartheid yao ambapo mtu asie mweusi hata kama ni raia wa Afrika Kusini asiruhusiwe kumiliki ardhi? Ukifanya hivyo utakuwa una tofauti gani na Kaburu?

Amandla...
 
Mugabe na Mandela wote ni wapumbavu.Angola na Msumbiji kwani wao waliwezaje? Rhodesia ziliwezaje?

Acheni kutetea wapumbavu nyie.
Hayo mataifa yana historia tofauti za utawala.

Walowezi wa Kireno waliondoka kwenye makoloni yao baada ya Uhuru ila huko S.Africa na Zimbabwe hali ilikuwa tofauti.
 
Nyerere alibinafsisha nyumba za wahindi uhindini akazikabidhi kwa Msajili wa Nyumba. Msajili wa Nyumba akawapangisha wale mnowaita wazawa. Hao wazawa wakageuka "wakawauzia" wahindi. Msajili wa Nyumba alishindwa kuzifanyia maintenance ya kawaida ( rangi, miundo mbinu ya maji n.k.) Na sasa mrithi wa Msajili wa Nyumba anashirikiana na wahindi kuzibomoa na kujenga maghorofa ya kifahari. Na sisi tunamsifia kwa kuzipaka rangi ya nje bila kuzikarabati zilizobaki.
Serikali iliwauzia watumishi wake nyumba Masaki. Sasa hivi wengi wamewauzia wahindi, wachina n.k. na wenyewe kurudi kwao na kuwaachia Masaki yao.
Hamna kitu kibaya kama dezo. Unapewa bila kujua namna ya kukiendeleza. Mwisho wake ni kuuza na kununua fremu uswazi.

Amandla...
 
Mugabe na Mandela wote ni wapumbavu.Angola na Msumbiji kwani wao waliwezaje? Rhodesia ziliwezaje?

Acheni kutetea wapumbavu nyie.
Nikikuambia wewe kiazi utasema nimekutusi,hivi hata hujui kuwa Rhodesia ndiyo hiyo Zimbabwe ya Mugabe. Wewe jamaa kilaza sana, unatukana watu kuwaita empty head wakati wewe kichwani umejaza usaha.
 
Asilimia 92 ya ardhi Afrika Kusini I am ilikuwa na raia wa Afrika ya Kusini. Au ulitaka waanzishe Apartheid yao ambapo mtu asie mweusi hata kama ni raia wa Afrika Kusini asiruhusiwe kumiliki ardhi? Ukifanya hivyo utakuwa una tofauti gani na Kaburu?

Amandla...
Mkuu hili somo unalompa huyu kibuyu liko juu sana ya uwezo wake wa utambuzi,yeye amejikita kwenye uchawa tu.
 
Angola na Msumbiji ni mojawapo ya mataifa yenye umaskini uliokithiri na maisha mabovu sana kwa raia wake walio wengi. Tafuta mifano mengine ya maana
Mugabe na Mandela wote ni wapumbavu.Angola na Msumbiji kwani wao waliwezaje? Rhodesia ziliwezaje?

Acheni kutetea wapumbavu nyie.
 
Nikikuambia wewe kiazi utasema nimekutusi,hivi hata hujui kuwa Rhodesia ndiyo hiyo Zimbabwe ya Mugabe. Wewe jamaa kilaza sana, unatukana watu kuwaita empty head wakati wewe kichwani umejaza usaha.
Namaanisha Northern Rhodesia yaani Zambia na Malawi ya Sasa na sio Southern Rhodesia ya Zimbabwe wewe kenge..

Mugabe na Mandela wote ni wapumbavu
 
Angola na Msumbiji ni mojawapo ya mataifa yenye umaskini uliokithiri na maisha mabovu sana kwa raia wake walio wengi. Tafuta mifano mengine ya maana
Ila Wana Ardhi sio manamba kama Wasouth..

Angola iko juu ya Tanzania kwa hiyo usijifariji.
 
Nkrumah alipinduliwa kwa sababu ya udikteta wake, Nyerere katuachia Tanzania tuliyo nayo leo hii.
Mandela anapewa promo sababu aliisamehe mizungu iliyomfunga na kuwapa uhuru wa kuendelea kuitafuna SA.

Hakuna cha ajabu kingine Mandela alifanya na kwenye jukwaa la bara la Africa ndo hajafanya kitu kabisa. Kina Nkurumah na Nyerere whom I believe is the most unsung here of Africa wameifanyia Africa makubwa zaidi kuliko Mandela.

Amandla.
 
Back
Top Bottom