The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
- Thread starter
-
- #61
Mugabe na Mandela wote ni wapumbavu.Angola na Msumbiji kwani wao waliwezaje? Rhodesia ziliwezaje?Kwa wakati ule alikuwa sahihi kwani hata angekomaa wazungu wakaacha ardhi bado wangeweza kumkwamisha kama yaliyotokea Zimbabwe.
Ila Sasa nadhani ni muda muafaka wa kuwa na mazungumzo ya kitaifa ili wazungu waachie baadhi ya ardhi wapewe weusi japo hii rangi yetu sidhani kama wataifanyia lolote.
Mandela alitoa saini ya kuuza ardhi kwa wazungu..
Hadi kesho hakuna Rais aliyethubutu kuirudisha kulingana na masharti yake.
Hapa hapa Bongo nenda kajaribu kutembea kwenye fukwe zilizo mbele ya hoteli za kitalii au makazi ya wakubwa uone kama hautavurumushwa. Hivyo hivyo Afrika Kusini kuna gated communities kama zilivyo Kigamboni na unaingia kwa mwaliko.Unasema hivyo sababu unaweza kununua kiwanja dar es sallam au arusha au mwanza ai mikocheni ili mradi pesa yako. Wenzio weusi huko SA hawaruhusu hata kudhuru fukwe za miji wanayoishi makaburu.
Kwa hiyo 80% ya Ardhi ni ya Waafrika sio?Unaongea vitu vya kufikirika tu.
Asilimia 92 ya ardhi Afrika Kusini inamilikiwa na raia wa Afrika ya Kusini. Au ulitaka waanzishe Apartheid yao ambapo mtu asie mweusi hata kama ni raia wa Afrika Kusini asiruhusiwe kumiliki ardhi? Ukifanya hivyo utakuwa una tofauti gani na Kaburu?Nasema hivi anaemiliki 80% ya Ardhi huko S.Africa ni nani?
Ndio. Au unamaanisha watu weusi?Kwa hiyo 80% ya Ardhi ni ya Waafrika sio?
Wewe umeelewaje? Ma pappets huwa hamkosekaniNdio. Au unamaanisha watu weusi?
Amandla..
Mandela alitoa saini ya kuuza ardhi kwa wazungu..
Hadi kesho hakuna Rais aliyethubutu kuirudisha kulingana na masharti yake.
Usingejibu post yake kwa matusi unaonekana ulivyo mtupu kichwani. Wewe unachoweza ni uchawa tu,akikosolewa Samia lazima utukane.Rotten mind,kuna hoja gani hapo?
Anzisha hiyo mnayoita mada tutakuja kujibu,hapa tuko kwenye mada ya Mandela aliyewauza watu wake Ili atoke jela.
Hayo mataifa yana historia tofauti za utawala.Mugabe na Mandela wote ni wapumbavu.Angola na Msumbiji kwani wao waliwezaje? Rhodesia ziliwezaje?
Acheni kutetea wapumbavu nyie.
Nikikuambia wewe kiazi utasema nimekutusi,hivi hata hujui kuwa Rhodesia ndiyo hiyo Zimbabwe ya Mugabe. Wewe jamaa kilaza sana, unatukana watu kuwaita empty head wakati wewe kichwani umejaza usaha.Mugabe na Mandela wote ni wapumbavu.Angola na Msumbiji kwani wao waliwezaje? Rhodesia ziliwezaje?
Acheni kutetea wapumbavu nyie.
Huwapendi wazungu lakini unajiita jina la kizungu na unadondoshea maneno ya kizungu ili uheshimiwe. Na ni "puppets" sio "pappets".Wewe umeelewaje? Ma pappets huwa hamkosekani
Mkuu hili somo unalompa huyu kibuyu liko juu sana ya uwezo wake wa utambuzi,yeye amejikita kwenye uchawa tu.Asilimia 92 ya ardhi Afrika Kusini I am ilikuwa na raia wa Afrika ya Kusini. Au ulitaka waanzishe Apartheid yao ambapo mtu asie mweusi hata kama ni raia wa Afrika Kusini asiruhusiwe kumiliki ardhi? Ukifanya hivyo utakuwa una tofauti gani na Kaburu?
Amandla...
Hilo sio jina wewe punda,hio ni kanuni ya kiuchumiHuwapendi wazungu lakini unajiita jina la kizungu na unadondoshea maneno ya kizungu ili uheshimiwe. Na ni "puppets" sio "pappets".
Amandla...
Mugabe na Mandela wote ni wapumbavu.Angola na Msumbiji kwani wao waliwezaje? Rhodesia ziliwezaje?
Acheni kutetea wapumbavu nyie.
Namaanisha Northern Rhodesia yaani Zambia na Malawi ya Sasa na sio Southern Rhodesia ya Zimbabwe wewe kenge..Nikikuambia wewe kiazi utasema nimekutusi,hivi hata hujui kuwa Rhodesia ndiyo hiyo Zimbabwe ya Mugabe. Wewe jamaa kilaza sana, unatukana watu kuwaita empty head wakati wewe kichwani umejaza usaha.
Ila Wana Ardhi sio manamba kama Wasouth..Angola na Msumbiji ni mojawapo ya mataifa yenye umaskini uliokithiri na maisha mabovu sana kwa raia wake walio wengi. Tafuta mifano mengine ya maana
Mandela anapewa promo sababu aliisamehe mizungu iliyomfunga na kuwapa uhuru wa kuendelea kuitafuna SA.
Hakuna cha ajabu kingine Mandela alifanya na kwenye jukwaa la bara la Africa ndo hajafanya kitu kabisa. Kina Nkurumah na Nyerere whom I believe is the most unsung here of Africa wameifanyia Africa makubwa zaidi kuliko Mandela.
Amandla.