Nelson Mandela alihalalisha uporwaji wa Ardhi ya Afrika Kusini kwa Boers halafu anaitwa Baba wa Afrika. Afrika tumerogwa na nani?

Hivyo vikao ndio vikafikia kuhalalisha ardhi waliyoporwa wazungu sio? 😆😆😆😆..

Aliambiwa aache harakati aachiwe akagoma,alivyogoma wakampa option ya kuwa Rais ila ardhi kwa wazungu akakubali sasa hapo Cha maana kipi alifanya?

Saizi Wakitaka Ardhi wainunue kwa fedha za umma ndio waigawe kwa wahitaji na Hadi sasa wameweza 20% only out of 80% ya total land,huu si ni wehu?

Angefanya Julius hili ingekuaje?
 
Hizi ndio akili za Malema hizi, wakishamaliza hayo waje waanze kujutia once 1973 Zimbabwe ilikuwa something else nafikiria [emoji1221] wajiangalie vizuri katika ku handle mambo yao.
Malema ni mpuuzi. Ni populist na mambo yakiharibika ( na yataharibika) atawageukia hao hao anaojifanya anawapigania.

Amandla...
 
Sababu mojawapo ya Winnie Mandela kukorofishana na Mandela ni kubadilika kwa msimamo wa huyo mwamba. Baada ya kutoka jela alikuta wanaharakati wenzake wakiongozwa na Winnie walishafikia next level ya kudai uhuru, waliamua hadi kutumia silaha kudai uhuru na sio njia ya diplomasia Mandela aliwakatalia kabisa na kukomalia njia ya upole.

Nadhani jamaa kuna makubaliano aliingia na boers ili waendelee kuishi kwa amani RSA. Ungekuwa uhuru wa kupambana wazungu wasingekuwa na mali hizo hadi leo, walistahili kutaifishwa mizigo yote ikiwemo ardhi maana walijimilikisha wakati wa serikali ya kibaguzi.
 
Wakati mwingine busara na hekima vitawale, wa South wanajeuri ya shibe ndugu yangu, Zimbabwe ile pale wamechukua kila kitu yako wapi sasa?
 
achana naye huyo hakijui anachokibwabwaja🤣🤣🤣🤣
 
I'm saddened with this level of historical thinking you bluff to portray. For this, Africa will in deed, be recolonized in 20-25 years to come. PLO Lumumba said it better.
 
Too harsh...

Miaka 27 gerezani sio kitu kidogo, isitoshe baada yake wamepita marais weusi kama 3, kwanini hawajapigania hiyo ardhi?.....ilikuwa lazima kazi zote azifanye peke yake ?

Kwanini yeye ndiye awe wakubeba lawama ?
Mkuu,
Rais au kiongozi mkubwa wa kwanza ktk nchi ana set precedent nyingi kwa kutoa dira katika maamuzi makubwa ya nchi.

Angalia Uganda, Zambia, Tanzania, Kenya USA na nyinginezo. Mengi ni muendelezo au shaping na reshaping of the early foundations za viongozi wa kwanza. Na kwa hapo, Mandela alikosea. Truth be said. His rainbow state speech brought more harm than good the blacks.
 
Sasa mbona Wazimbabwe tangu enzi za Mugabe mpaka leo wanakimbilia na wamefurika bondeni kwa Madiba??
Soma hayo maelezo. Yanajitosheleza kujibu swali ulilouliza. Mandela na Sankara I choose the latter
 

Mtu mweusi yupo kwa ajili kuendeshwa tu, ukimpa madaraka kamili anaigeuza nchi kuwa shamba lenye ukame. Kubalini ukweli tu, SA inaendelea kusavaiv kiuchumi kwa sababu uwepo wa wazungu kwenye mfomo.
 
I'm saddened with this level of historical thinking you bluff to portray. For this, Africa will in deed, be recolonized in 20-25 years to come. PLO Lumumba said it better.
Gibberish. Absolute gibberish. "You bluff to portray "maana yake nini? Kwa nini mnaipenda hiyo lugha ambayo hamuijui?

Amandla....
 
Ni "Truth be told". Sio "truth be said". Rainbow state speech? More harm than good the blacks?
Lord have mercy.

Amandla...
 
PLO Lumumba is a scam.
I'm saddened with this level of historical thinking you bluff to portray. For this, Africa will in deed, be recolonized in 20-25 years to come. PLO Lumumba said it better.
 
Gibberish. Absolute gibberish. "You bluff to portray "maana yake nini? Kwa nini mnaipenda hiyo lugha ambayo hamuijui?

Amandla....
I see, so you know what I meant to write hahaaaa....take it easy son. Kama imekosewa sahihisha, acha kupapatuka.
 
Kiingereza kibovu ni kibovu tu. No excuses maana haujalazimishwa kukitumia. Au unatumia Google translate?

Amandla...
Oya we acha kutafuta kiki za kitoto. Nilivyosema umekariri namaanisha umekariri hiyo phrase. Hapo hakuna kosa la kisarufi, muundo wala maana. Achana na hii mambo. Tuendelee kujadili ni kwanini kila jamii ya wazungu hao unaowapenda kwa nini kila wakifanya interaction na jamii nyingine hasa weusi. Hao weusi huishia ulevi, kukosa ardhi, kuwa watumwa na kutawaliwa kwa njia mbalimbali. Kama ilivyo kwa South Africa
 
Hauwezi kuona kosa maana ndivyo ulivyo fundishwa. Bakia huku huku kwenye lugha unayoiweza. Hata huko matumizi ya "full stop, comma n.k." ni mtihani.

Amandla...
 

Kwa kiasi kikubwa Sana Rais Nelson Mandela alikuwa yupo sahihi kabisa kufanya hivyo, anawafahamu vizuri Sana Watu weusi wenzake
Endapo kama angeruhusu utwaaji wa Ardhi hiyo inayomilikiwa na Wazungu basi matokeo yake ya utekelezaji wa Sera hiyo yangekuwa mabaya sana.

Mathalani, Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe wakati huo alipokuwa anawapokonya Ardhi raia Wazungu kwenye nchi hiyo alikuja na Sera yake iliyokuwa ikisema kwamba Mtu mmoja anapaswa amiliki shamba moja tu na wala siyo zaidi, yaani: "One Man One Farm." Lakini matokeo yake yeye mwenyewe Mugabe alijitwalia na kujigawia Mashamba mengi yapatayo 28 nchi nzima hali iliyosababisha manung'uniko katika jamii na yeye Rais kuingia kwenye migogoro mikubwa na washirika wake wa karibu Sana kama vile Mwanasheria Mkuu wa Serikali yake na Mkuu wake wa Majeshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…