Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Sijajua hiki Chama kinatumia wabunifu gani kwenye masuala yake , bali itoshe kusema ina watu makini mno ! Unajua kitu cha kwanza kwenye jambo lolote linaloletwa kwa mara ya kwanza kwa watu kwa ajili ya kulitambulisha ni MVUTO .
Kwenye kipengere hiki CHADEMA nimewavulia kofia , hivi ninavyoandika hapa ni kwamba hili balaa la CHADEMA DIGITAL linashika nafasi ya pili kwa kutumika na watanzania , Nafasi ya kwanza bado inashikiliwa na OXYGEN ambayo kila mtu anaivuta , lakini nafasi ya pili ni CHADEMA DIGITAL.