Nembo ya CHADEMA digital yawavutia wengi

Kitu cha kushangaza sana. Yaani huyo Diamond haturuhusiwi kumjadili humu? 😳😳😳
Maxence Melo
Hata mimi siuoni , nadhani moderator amepokea maagizo kutoka juu , tunaendelea kusisitiza KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE , kimsingi mtu anatakiwa akale alikopeleka mboga
 
Kitu cha kushangaza sana. Yaani huyo Diamond haturuhusiwi kumjadili humu? 😳😳😳
Maxence Melo
Yaani unalilia kumjadili mwanaume mwenzako, tena katika hali ambayo hailigusi taifa katika nyanja muhimu? Daaah..! wanaume tunazidi kupungua aiseeh 😂😂.
 
Msingi wa hoja unauelewa ?
 
Siasa za nchi Hui sasa hivi hazieleweki,yule kichaa wa chato alizivuruga sana na mapoliccm yake
 
Msingi wa hoja unauelewa ?
Simaanishi kwamba nasupport uzi wako kufutwa ila nimeshangaaMwanaume kulilia swala la kumjadili Diamond,Yeye ni nani kwenye nchi hii, mpaka ampe attention kiasi hicho?
 
unajua hawa vijana tunapowaambia shetani hana rafiki huwa hawaelewi , wanashirikiana na ccm ambaye ndio chanzo cha dhuluma zote za nchi hii , lakini maji yakiwafika shingoni wanakuja kwa wale wale walioteswa kuomba huruma , hatutakubali
 
Kuna mambo wanaletaga bavicha humu unabaki kusikitika tu.

Hivi dada yale maandamano yenu bwacha ya kuwatoa kina mdee bungeni yaliishia wapi?
wanaubavu wa kuandamana?kelele za nyuma ya keyboard tuhao wanajambajambatu
 
unajua hawa vijana tunapowaambia shetani hana rafiki huwa hawaelewi , wanashirikiana na ccm ambaye ndio chanzo cha dhuluma zote za nchi hii , lakini maji yakiwafika shingoni wanakuja kwa wale wale walioteswa kuomba huruma , hatutakubali
hivi nyie nani awafuate genge la wahuni
 
unajua hawa vijana tunapowaambia shetani hana rafiki huwa hawaelewi , wanashirikiana na ccm ambaye ndio chanzo cha dhuluma zote za nchi hii , lakini maji yakiwafika shingoni wanakuja kwa wale wale walioteswa kuomba huruma , hatutakubali
Nimekuelewa mkuu.
 
Tunahitaji sera za chadema zenye mvuto unaoashiria kuwaunganisha watanzani kujiletea maendeleo bila matabaka.

Mkuu, hapa siwaachii hata kidogo.
 
Back
Top Bottom