Nembo ya CHADEMA digital yawavutia wengi

Iko vizuri sana, hata mimi nimeidownload.
Screenshot_20210530-181027_Contacts.jpg
 
Sijajua hiki Chama kinatumia wabunifu gani kwenye masuala yake , bali itoshe kusema ina watu makini mno ! Unajua kitu cha kwanza kwenye jambo lolote linaloletwa kwa mara ya kwanza kwa watu kwa ajili ya kulitambulisha ni MVUTO .

Kwenye kipengere hiki CHADEMA nimewavulia kofia , hivi ninavyoandika hapa ni kwamba hili balaa la CHADEMA DIGITAL linashika nafasi ya pili kwa kutumika na watanzania , Nafasi ya kwanza bado inashikiliwa na OXYGEN ambayo kila mtu anaivuta , lakini nafasi ya pili ni CHADEMA DIGITAL

View attachment 1802599
CHADEMA ina watu smart sana ndo maana mwendazake kapigania kuhakikisha lina kufa badala yake kumbe ana pambana na mfupa alioushinda fisi hadi kajifia mwenyewe masikini bado chadema inasonga tu mbele kidijitali,ifike mahali watawala waelewe chedema ni ya watanzania wafanye siasa bila kubughudhiwa
 
Hili Taifa sijui litapumua lini maana siasa za kiuanaharakati haziishi watu tukajikita kwenye ujenzi wa Taifa,

Kila siku ni porojo tu watu hawataki kuwajibika wanawaza upigaji tu.
 
CHADEMA Haipokei Hata Senti Moja Ya Ruzuku (Tumekataa Kupokea Ruzuku Ya Mil 140 Kwa Mwezi) Lakini Tunazindua Ujenzi Wa Ofisi Za Chama Mikoa Yote Na Sasa Tuko Kwenye Operation Ya Kuzunguka Nchi Nzima. Cha Ajabu Ni Kwamba Kuna Vyama Vinapokea Ruzuku Na Bado Havisikiki.

Tupo hivi lakini mnatuongpa kinoma. Na bado
Mkuu nani wana kuogopa?
 
Sijajua hiki Chama kinatumia wabunifu gani kwenye masuala yake , bali itoshe kusema ina watu makini mno ! Unajua kitu cha kwanza kwenye jambo lolote linaloletwa kwa mara ya kwanza kwa watu kwa ajili ya kulitambulisha ni MVUTO .

Kwenye kipengere hiki CHADEMA nimewavulia kofia , hivi ninavyoandika hapa ni kwamba hili balaa la CHADEMA DIGITAL linashika nafasi ya pili kwa kutumika na watanzania , Nafasi ya kwanza bado inashikiliwa na OXYGEN ambayo kila mtu anaivuta , lakini nafasi ya pili ni CHADEMA DIGITAL.

View attachment 1802599
2025 Mgombea Urais wa CHADEMA atatoka CCM ama ACT?

Nijuze hili kwanza
 
Sijajua hiki Chama kinatumia wabunifu gani kwenye masuala yake , bali itoshe kusema ina watu makini mno ! Unajua kitu cha kwanza kwenye jambo lolote linaloletwa kwa mara ya kwanza kwa watu kwa ajili ya kulitambulisha ni MVUTO .

Kwenye kipengere hiki CHADEMA nimewavulia kofia , hivi ninavyoandika hapa ni kwamba hili balaa la CHADEMA DIGITAL linashika nafasi ya pili kwa kutumika na watanzania , Nafasi ya kwanza bado inashikiliwa na OXYGEN ambayo kila mtu anaivuta , lakini nafasi ya pili ni CHADEMA DIGITAL.

View attachment 1802599
Ni nzuri.
 
Nembo ipo vyema!
 
Kuna mambo wanaletaga bavicha humu unabaki kusikitika tu.

Hivi dada yale maandamano yenu bwacha ya kuwatoa kina mdee bungeni yaliishia wapi?
Jikite kwenye hoja wewe mjane. Jadili hiyo nembo wewe msukule wa mataga
 
Sijajua hiki Chama kinatumia wabunifu gani kwenye masuala yake , bali itoshe kusema ina watu makini mno ! Unajua kitu cha kwanza kwenye jambo lolote linaloletwa kwa mara ya kwanza kwa watu kwa ajili ya kulitambulisha ni MVUTO .

Kwenye kipengere hiki CHADEMA nimewavulia kofia , hivi ninavyoandika hapa ni kwamba hili balaa la CHADEMA DIGITAL linashika nafasi ya pili kwa kutumika na watanzania , Nafasi ya kwanza bado inashikiliwa na OXYGEN ambayo kila mtu anaivuta , lakini nafasi ya pili ni CHADEMA DIGITAL.

View attachment 1802599
imekaa kisasa zaidi
 
Back
Top Bottom