Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Karibu sana mkuuKuna mambo wanaletaga bavicha humu unabaki kusikitika tu.
Hivi dada yale maandamano yenu bwacha ya kuwatoa kina mdee bungeni yaliishia wapi?
Hukumbuki kama mlinzi wao alikosa usingizi aliposikia habari hiyo ,hata akaandaa bakora nyingi za kuwatosha wote waliokuwa wakiwaza hilo.Kuna mambo wanaletaga bavicha humu unabaki kusikitika tu.
Hivi dada yale maandamano yenu bwacha ya kuwatoa kina mdee bungeni yaliishia wapi?
Wasira alisema Chadema itakufa mwaka 2017 naona kila dalili za yeye kuondoka aiache. Yule mungu wenu tayari alishaiachaKuna mambo wanaletaga bavicha humu unabaki kusikitika tu.
Hivi dada yale maandamano yenu bwacha ya kuwatoa kina mdee bungeni yaliishia wapi?
Yes. Very attractive indeed. Nevertheless, naive minded individuals will despise it.Sijajua hiki Chama kinatumia wabunifu gani kwenye masuala yake , bali itoshe kusema ina watu makini mno ! Unajua kitu cha kwanza kwenye jambo lolote linaloletwa kwa mara ya kwanza kwa watu kwa ajili ya kulitambulisha ni MVUTO .
Kwenye kipengere hiki CHADEMA nimewavulia kofia , hivi ninavyoandika hapa ni kwamba hili balaa la CHADEMA DIGITAL linashika nafasi ya pili kwa kutumika na watanzania , Nafasi ya kwanza bado inashikiliwa na OXYGEN ambayo kila mtu anaivuta , lakini nafasi ya pili ni CHADEMA DIGITAL
View attachment 1802599
Ila uchwara wa siasa zao haujafikia hata robo ya ile enzi yako pendwa.Vijana wa bavicha naona mpo na siasa zenu uchwara
CHADEMA Haipokei Hata Senti Moja Ya Ruzuku (Tumekataa Kupokea Ruzuku Ya Mil 140 Kwa Mwezi) Lakini Tunazindua Ujenzi Wa Ofisi Za Chama Mikoa Yote Na Sasa Tuko Kwenye Operation Ya Kuzunguka Nchi Nzima. Cha Ajabu Ni Kwamba Kuna Vyama Vinapokea Ruzuku Na Bado Havisikiki.Kuna mambo wanaletaga bavicha humu unabaki kusikitika tu.
Hivi dada yale maandamano yenu bwacha ya kuwatoa kina mdee bungeni yaliishia wapi?
Itabidi SimbA SC na YangA SC wawatumie kubuni nembo za vilabu, maana kule huwa wanaboronga.Sijajua hiki Chama kinatumia wabunifu gani kwenye masuala yake , bali itoshe kusema ina watu makini mno ! Unajua kitu cha kwanza kwenye jambo lolote linaloletwa kwa mara ya kwanza kwa watu kwa ajili ya kulitambulisha ni MVUTO .
Kwenye kipengere hiki CHADEMA nimewavulia kofia , hivi ninavyoandika hapa ni kwamba hili balaa la CHADEMA DIGITAL linashika nafasi ya pili kwa kutumika na watanzania , Nafasi ya kwanza bado inashikiliwa na OXYGEN ambayo kila mtu anaivuta , lakini nafasi ya pili ni CHADEMA DIGITAL
View attachment 1802599
Wewe ni mtoto mdogo sana pale chadema!CHADEMA Haipokei Hata Senti Moja Ya Ruzuku (Tumekataa Kupokea Ruzuku Ya Mil 140 Kwa Mwezi) Lakini Tunazindua Ujenzi Wa Ofisi Za Chama Mikoa Yote Na Sasa Tuko Kwenye Operation Ya Kuzunguka Nchi Nzima. Cha Ajabu Ni Kwamba Kuna Vyama Vinapokea Ruzuku Na Bado Havisikiki.
Tupo hivi lakini mnatuongpa kinoma. Na bado
Sijajua hiki Chama kinatumia wabunifu gani kwenye masuala yake , bali itoshe kusema ina watu makini mno ! Unajua kitu cha kwanza kwenye jambo lolote linaloletwa kwa mara ya kwanza kwa watu kwa ajili ya kulitambulisha ni MVUTO .
Kwenye kipengere hiki CHADEMA nimewavulia kofia , hivi ninavyoandika hapa ni kwamba hili balaa la CHADEMA DIGITAL linashika nafasi ya pili kwa kutumika na watanzania , Nafasi ya kwanza bado inashikiliwa na OXYGEN ambayo kila mtu anaivuta , lakini nafasi ya pili ni CHADEMA DIGITAL
View attachment 1802599
Kama ya Toyota!Sijajua hiki Chama kinatumia wabunifu gani kwenye masuala yake , bali itoshe kusema ina watu makini mno ! Unajua kitu cha kwanza kwenye jambo lolote linaloletwa kwa mara ya kwanza kwa watu kwa ajili ya kulitambulisha ni MVUTO .
Kwenye kipengere hiki CHADEMA nimewavulia kofia , hivi ninavyoandika hapa ni kwamba hili balaa la CHADEMA DIGITAL linashika nafasi ya pili kwa kutumika na watanzania , Nafasi ya kwanza bado inashikiliwa na OXYGEN ambayo kila mtu anaivuta , lakini nafasi ya pili ni CHADEMA DIGITAL
View attachment 1802599
Mkuu Sasa viongozi washushe jezi na combat,kofia n.k zenye nembo watu tuvae mpaka ccm wakome na jezi yao ya Zama za kale,Sijajua hiki Chama kinatumia wabunifu gani kwenye masuala yake , bali itoshe kusema ina watu makini mno ! Unajua kitu cha kwanza kwenye jambo lolote linaloletwa kwa mara ya kwanza kwa watu kwa ajili ya kulitambulisha ni MVUTO .