Nembo ya CHADEMA digital yawavutia wengi

CHADEMA ina watu smart sana ndo maana mwendazake kapigania kuhakikisha lina kufa badala yake kumbe ana pambana na mfupa alioushinda fisi hadi kajifia mwenyewe masikini bado chadema inasonga tu mbele kidijitali,ifike mahali watawala waelewe chedema ni ya watanzania wafanye siasa bila kubughudhiwa
 
Hili Taifa sijui litapumua lini maana siasa za kiuanaharakati haziishi watu tukajikita kwenye ujenzi wa Taifa,

Kila siku ni porojo tu watu hawataki kuwajibika wanawaza upigaji tu.
 
Mkuu nani wana kuogopa?
 
2025 Mgombea Urais wa CHADEMA atatoka CCM ama ACT?

Nijuze hili kwanza
 
Ni nzuri.
 
Nembo ipo vyema!
 
Kuna mambo wanaletaga bavicha humu unabaki kusikitika tu.

Hivi dada yale maandamano yenu bwacha ya kuwatoa kina mdee bungeni yaliishia wapi?
Jikite kwenye hoja wewe mjane. Jadili hiyo nembo wewe msukule wa mataga
 
imekaa kisasa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…