Nembo ya "Kenya Bureau of Halal Certification" ina maana gani katika bidhaa ya kitanzania? Nchi yetu haina hiyo Taasisi?

BAKWATA - TANZANIA walikuwa hawana au hawajajiandaa kuhakiki vyakula halal kwa soko kubwa la hala products hapa nchini hivyo wafanyabiashara wakubwa waliozalisha walitafuta huduma hiyo kutoka nchi jirani ya kenya kwa nia nzuri za kiuchumi ili kukidhi matakwa ya halal products katika soko la tanzania. KWA SASA BAKWATA WAMEANZA KUTOA HUDUMA HIYO
 
Leo ndo nimeelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…