Kisoda James
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 1,114
- 813
Good reasoning Infantry Soldier mdogo wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks comradeGood reasoning Infantry Soldier mdogo wangu
Ila kweliVipi Kama sisi makatekishta tukiamua ku boycott any product attached with religious things of our opposite side of faith.
Je, mtakunywa wenyewe [emoji2]
Religious extremists Wana tabu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni kujazana ujinga wabongo.KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA
BAKWATA - TANZANIA walikuwa hawana au hawajajiandaa kuhakiki vyakula halal kwa soko kubwa la hala products hapa nchini hivyo wafanyabiashara wakubwa waliozalisha walitafuta huduma hiyo kutoka nchi jirani ya kenya kwa nia nzuri za kiuchumi ili kukidhi matakwa ya halal products katika soko la tanzania. KWA SASA BAKWATA WAMEANZA KUTOA HUDUMA HIYOShikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Eti ndugu zangu;
Logo ya "KENYA BUREAU OF HALAL CERTIFICATION" ina maana gani katika bidhaa ya kitanzania? Nchi yetu haina hiyo taasisi?
View attachment 1355019
Tazama hilo kopo chini ya QR (Quick Response) Codes
View attachment 1355020
Kenya Bureau of Halal Certification (KBHC) is a Not-for Profit making entity whose aim is to ensure that all products comply with maximum hygienic and humanitarian standards required by Islamic dietary laws. KBHC monitors these products at every point, from the source to the consumer.
This is done by means of thorough inspection and continuous checks by KBHC trained inspectors , thereby eliminating doubts and granting the general public full confidence and assurance when choosing to buy ‘Halal' products.
Consuming Halal is an order from God (Allah SWT) therefore it is important for a consumer to have full confidence that the product he/she intends to buy is ‘Halal' (permissible), ‘Tayyib' (pure) and does not contain anything doubtful. KBHC was born and operates essentially out of one concern only: to be able to provide assurance that what we are consuming is HALAL.
NB: Uislamu ni dini safi kama ulivyo ukristo. Sote kwa pamoja tukemee wanaoeneza chuki za kidini kwa njia mbalimbali kama vile kuchana Quran pamoja na vitabu vingine vitakatifu.
OUR MOTTO: USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Ujinga upi tena huo boss?Acheni kujazana ujinga wabongo.
Ngoja nitarudiKaka, kwani Hala Bureau ya Kenya pamoja na Halal Bureau ya Tanzania wanatumia sheria tofauti?
Madaraja,barabara, umeme nk yanarahisisha maisha kwa kupunguza gharama za usafiri Kwahiyo October tunampigia kura Magufuli kwa 98% Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania.Ujinga upi tena huo boss?
Hapana mkuu.Hivi nyama ya mbwa ilopikwa vizuri ni halal?
KwaniniHapana mkuu
Leo ndo nimeelewa.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Eti ndugu zangu;
Logo ya "KENYA BUREAU OF HALAL CERTIFICATION" ina maana gani katika bidhaa ya kitanzania? Nchi yetu haina hiyo taasisi?
View attachment 1355019
Tazama hilo kopo chini ya QR (Quick Response) Codes
View attachment 1355020
Kenya Bureau of Halal Certification (KBHC) is a Not-for Profit making entity whose aim is to ensure that all products comply with maximum hygienic and humanitarian standards required by Islamic dietary laws. KBHC monitors these products at every point, from the source to the consumer.
This is done by means of thorough inspection and continuous checks by KBHC trained inspectors , thereby eliminating doubts and granting the general public full confidence and assurance when choosing to buy ‘Halal' products.
Consuming Halal is an order from God (Allah SWT) therefore it is important for a consumer to have full confidence that the product he/she intends to buy is ‘Halal' (permissible), ‘Tayyib' (pure) and does not contain anything doubtful. KBHC was born and operates essentially out of one concern only: to be able to provide assurance that what we are consuming is HALAL.
NB: Uislamu ni dini safi kama ulivyo ukristo. Sote kwa pamoja tukemee wanaoeneza chuki za kidini kwa njia mbalimbali kama vile kuchana Quran pamoja na vitabu vingine vitakatifu.
OUR MOTTO: USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Sawa mkuuLeo ndo nimeelewa.
Ucha chuki ya dini. African we are together.Halaal Certificate Ni Mtaji wa Heoa za Kufadhili Ugaidi.. hauna maana yeyote Ile kwa Secular States.
Unadhani "lile kundi" linajiendeshaje? HalaalUcha chuki ya dini.african we are together
DuuuhUnadhani "lile kundi" linajiendeshaje? Halaal
Unashangaa? Habari ndio hiyo mkuuDuuuh
Sidhani kama upo sahihi smart boyHuku sisi tayari tuna certification nyingi sana...