Tafuta njia nyingine, hii imesha rasimishwa hivyoMh sasa sie tulozowea kuweka rough dreads si tutawekwa kundi moja jamani, hii sio bhana
Kama yule Dotto Magari.Mh sasa sie tulozowea kuweka rough dreads si tutawekwa kundi moja jamani, hii sio bhana
Kama namuona Dr. Vicensia Shule ndugu Dr. Mariposa !Mh sasa sie tulozowea kuweka rough dreads si tutawekwa kundi moja jamani, hii sio bhana
Kila siku! Shule yako ya kuunga unga ni shida
Wameingilia style yetu ila tutajitofautisha na waoMh sasa sie tulozowea kuweka rough dreads si tutawekwa kundi moja jamani, hii sio bhana
Hatutanyoa ndevu Wala mustachTatzo wengne tuna upara alooo
mambo mengine ni nonsense kupindukia ndugu wafuata mkumbo 🤣Hakuna KUCHANA wala KUNYOA nywele mpaka Lisu aachiwe!
Wote wapiganaji kuanzia sasa mpaka hapo atakapo achiwa LISU ndiyo mtindo wa kutunza Nywele. HAKUNA KUCHANA WALA KUNYOA NYWELE KICHWANI.
Good idea, ila kama umeajiliwa usijaribu CCM watakufuta kazi kwa kigezo cha maadili.Hakuna KUCHANA wala KUNYOA nywele mpaka Lisu aachiwe!
Wote wapiganaji kuanzia sasa mpaka hapo atakapo achiwa LISU ndiyo mtindo wa kutunza Nywele. HAKUNA KUCHANA WALA KUNYOA NYWELE KICHWANI.
Mkuu huwa mnalipwa Kiasi gani nataka na mimi nimsuport mamaNyumbu kama kaawaida zitaiga huu upuuzi wa Sugu bila kujua Sugu ni mfanyabiashara na mnufaika wa michango yao.
Akikujibu ni TagMkuu huwa mnalipwa Kiasi gani nataka na mimi nimsuport mama