Said Stuard Shily
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 2,396
- 2,108
Sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua elimu yangu ni lower class haina thamani kwako lakini nakuambia jinsi sheria ya mazingira inavyosema kwa sasa, labda hapo itakapobadilishwa baadae. Hebu na wewe mwenye elimu kubwa jielimishe sheria na kanuni zake zinavyosema kuhusu mchakato wa tathmini ya athari kwa mazingira hapa nchini na duniani.Arrogan
I do understood you na sikulaumu kwa hilo haya ndio matokeo ya ccm kuharibu mfumo wa kielimu na tunaishia kupata middle class kama wewe,yes mradi kama ni wa TANESCO,kisheria ilitakiwa wapeleke kwanza ripoti yao kuhusu athari ya mazingira kwa mradi huu na pia hawa watu wa mazingira ilitakiwa nao wajiridhishe kuwa mazingira yataathiriwa vipi na ripoti hizi sio siri na public wana haki ya kujua;