NEMC: Kunywa bia na kufanya sherehe na matamasha kwenye fukwe ni makosa kisheria

Najua elimu yangu ni lower class haina thamani kwako lakini nakuambia jinsi sheria ya mazingira inavyosema kwa sasa, labda hapo itakapobadilishwa baadae. Hebu na wewe mwenye elimu kubwa jielimishe sheria na kanuni zake zinavyosema kuhusu mchakato wa tathmini ya athari kwa mazingira hapa nchini na duniani.

Na hata huko unakosema kwenye high education siyo kila kitu kinawekwa wazi kijana, jitahidi na wewe ujielimishe kwa hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…