NEMC wamedhamiria kuua baishara ya baa na sanaa kwa ujumla. Baa itaendeshwa vipi bila muziki? Liquid Bar wamezuiwa kupiga muziki

karibu nami nishike mkono
unatoka wapi na unaitwa nani
 
Tena baada ya hapo wapige marufuku makanisa yote yanayokesha na makelele spika wanafungulia hadi mwisho na kuweka flash ya kwaya huku wao wamakwenda kulala na kusumbua wagonjwa na watoto wasisinzie na kupumzika.
Kinacho niuma anaweka flash ya nyimbo Temboni yeye anaenda kulala Goba usingizi mtamu
 
Kutokujua sheria au kanuni si kinga, ata utashi wa kawaida unaweza kukupa taarifa kuwa hiki ninachofanya si sawa.
 
Adhana ni muito wa ibada. Hata wewe inakuhusu adhana na ungeifurahia kama ungejua tafsiri ya maneno yanayotamkwa. Karibu kwenye uislam
Adhana inapiga kelele sana, italazimika wapunguze sauti...mimi nimelala kupumzisha akile alafu nasikia adhana.
 
Wafunge bar, wafunge makanisa na misikiti inayopiga kelele kama lengo kuu ni kupunguza na kuondoa kelele.
 
Sheria ya uharibifu wa mazingira kwa makelele ipo hata Rais Samia hajawa makamu wa Rais.
 
Tunaokaa karibu na hizo baa zinazopiga muziki kwa sauti ya juu Ndio tunajua kero yake
 
Adhana ni muito wa ibada. Hata wewe inakuhusu adhana na ungeifurahia kama ungejua tafsiri ya maneno yanayotamkwa. Karibu kwenye uislam
Kwanini usiweke alarm kwenye simu yako ikakukumbusha dunia imeshasogea sana hata kiswaswadu kina alarm
 
Funga zote daadeki zao na wale wauza K wote peleka jela wakalime mahindi jirani kenya hawana chakula kwa sauti ya JIWE
 
Bar sio mahali sahihi kisheria kupiga muziki, kama unataka kupiga muziki, fuata utaratibu huu.
1. Tafuta eneo sahihi mbali na makazi ya watu, kisha jenga ukumbi wa kupigia muziki.
2. Omba kibali cha kufanya hiyo biashara.
3. Tengeneza mfumo madhubutu wa kuzuia muziki wako kutoka nje ya ukumbi. (Sound proof system)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…