NEMC wamethubutu kuanza kudhibiti kelele, wasivunjwe moyo na Mamlaka zingine za serikali zenye viongozi wasiotumia busara

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Wale ambao hamukerwi na kelele endelei kunyamaza hivyohivyo!

Juzi niliwashauri NEMC kupitia Uzi

Kwamba; Walipaswa kuenenda kwa umakini sana kwenye zoezi lao la kutokomeza SPIKA NZIGE MTAANI zinazozalisha kelele nyingi!

Niliwashauri NEMC kwamba badala ya kuwafungia wenye baa badala yake wapokonye spika na kuziteketeza kwa utaratibu!

Nilishauri hivyo ili kuepusha kuibua ugomvi mwingine wa mamlaka zingine za walevi wataokuja kuwateatea wenye baa kwa visingizio vya ajira na mapato!

Nilishauri watumie style ya kutaifisha spika popote zinaporipotiwa kupiga kelele kinyume na usajili/utaratibu

Leo tume ya viwanda ya biashara na uwekezaji Wameibuka hadharani kulaani maamuzi yaliyofanywa na NEMC!

Kwamba NEMC walikosea kufunga baa zinazopiga kelele mtaani hivyo wameagiza zifunguliwe mara moja ziendelee kupiga kelele!

Yamkini hao tume wako sahihi lakini watambue kwamba hawajatumia BUSARA hata kidogo!

Kama waliliona hilo walitakiwa kuwasiliana na NEMC kimya kimya ili Nemc iliyofunga ndiyo watangaze kufungua kwa utaratibu pasipo kuonyesha KUAMRISHWA.

Mamlaka za zingine za serikali wajifunze kutumia busara wanapotekeleza majukumu yao kwasababu mamlaka zote nchini zipo kwa maslahi ya wananchi wenyewe!

NEMC wametumia gharama kubwa sana kufanya misheni ya operesheni tanzania nzima haitakiwi kuzimwa kijinga kijinga baadhi ya watendaji wajinga!

Wananchi wanaokerwa na kelele wasiposaidiwa ipo siku makanisa, misikiti na baa zinazopiga kelele zitaanza kuchomwa moto na wanaokereka kwasababu mamlaka zimeshindwa!
 
Niliwashauri NEMC kwamba badala ya kuwafungia wenye baa badala yake wapokonye spika na kuteketeza kwa utaratibu!

Nilishauri hivyo ili kuepusha kuibua ugomvi wa mamlaka zingine za walevi wataokuja kuwateatea wenye baa kwa visingizio vya ajira na mapato!
Nawashauri NEMC waweke namba za simu za kikosi kazi chao ili tuwalengeshe maeneo mengi zaidi wakachukue fine, naungana nao kwa mchakato wanaoendelea nao wapo sahihi
 
Mamlaka ya viwanda na biashara wamepinga waziwazi badala wangeishauri NEMC namna ya kuenenda!
Walichokifanya ni kuwapa kiburi wafanya biashara ili waendelee kupiga kelele!
 
Inabidi uangalie upande mwingine wa shillingi kuna ajira za watu zinakosekana pamoja na kudumaza mzunguko wa hela kwenye jamii
 
Makanisa ya walokole yamefunguka kwa Kasi sasa ni wanapiga kelele spika inasikika hadi mtaa wa 7/8 huko jamaa wamechachamaa sijaelewa kwanini,
Tunakoelekea mtakuja kushuhudia baa na makanisa yatachomwa kwa kero ya kelele! Halafu haki za binadam na serikali ndipo mtaingilia kati kufuata utaratibu
 
Inabidi uangalie upande mwingine wa shillingi kuna ajira za watu zinakosekana pamoja na kudumaza mzunguko wa hela kwenye jamii
Wangewashauri NEMC kimya kimya pasipo kuitisha press kupinga juhudi za NEMC
 
Mamlaka ya viwanda na biashara wamepinga waziwazi badala wangeishauri NEMC namna ya kuenenda!
Walichokifanya ni kuwapa kiburi wafanya biashara ili waendelee kupiga kelele!
Nyuma ya pazia asilimia kubwa ya kumbi zinamilikiwa na haohao wenye mamlaka serikalini. Na asilimia kubwa ya wamiliki huwa hawaishi maeneo zilipo kumbi zao hivyo wao adha ya kelele hawaipati.

Ni suala la kuacha ulimbukeni tu wa sauti kubwa kila kitu kitakaa sawa.
 
Kabisa mkuu
 
Wale ambao hamukerwi na kelele endelei kunyamaza hivyohivyo!

Juzi niliwashauri NEMC kupitia Uzi

Kwamba; Walipaswa kuenenda kwa umakini sana kwenye zoezi lao la kutokomeza SPIKA NZIGE MTAANI zinazozalisha kelele nyingi!

Niliwashauri NEMC kwamba badala ya kuwafungia wenye baa badala yake wapokonye spika na kuziteketeza kwa utaratibu!

Nilishauri hivyo ili kuepusha kuibua ugomvi mwingine wa mamlaka zingine za walevi wataokuja kuwateatea wenye baa kwa visingizio vya ajira na mapato!

Nilishauri watumie style ya kutaifisha spika popote zinaporipotiwa kupiga kelele kinyume na usajili/utaratibu

Leo tume ya viwanda ya biashara na uwekezaji Wameibuka hadharani kulaani maamuzi yaliyofanywa na NEMC!

Kwamba NEMC walikosea kufunga baa zinazopiga kelele mtaani hivyo wameagiza zifunguliwe mara moja ziendelee kupiga kelele!

Yamkini hao tume wako sahihi lakini watambue kwamba hawajatumia BUSARA hata kidogo!

Kama waliliona hilo walitakiwa kuwasiliana na NEMC kimya kimya ili Nemc iliyofunga ndiyo watangaze kufungua kwa utaratibu pasipo kuonyesha KUAMRISHWA.

Mamlaka za zingine za serikali wajifunze kutumia busara wanapotekeleza majukumu yao kwasababu mamlaka zote nchini zipo kwa maslahi ya wananchi wenyewe!

NEMC wametumia gharama kubwa sana kufanya misheni ya operesheni tanzania nzima haitakiwi kuzimwa kijinga kijinga baadhi ya watendaji wajinga!

Wananchi wanaokerwa na kelele wasiposaidiwa ipo siku makanisa, misikiti na baa zinazopiga kelele zitaanza kuchomwa moto na wanaokereka kwasababu mamlaka zimeshindwa!
Hao TUME ya walevi wamezingua
 
Nyuma ya pazia asilimia kubwa ya kumbi zinamilikiwa na haohao wenye mamlaka serikalini. Na asilimia kubwa ya wamiliki huwa hawaishi maeneo zilipo kumbi zao hivyo wao adha ya kelele hawaipati.

Ni suala la kuacha ulimbukeni tu wa sauti kubwa kila kitu kitakaa sawa.
Madufuli angewatumbua
 
Kwa Asiyejua Viwango Vya Kelele Vilivyopitishwa na NEMC 😁👆👆
 
Ziko sawa
 
Nadhani NEMC tazameni pande zote kuna majitu yapiga subwoofer all the night katika +vol. na nyimbo zenyewe hata hazina upako zaidi ya mitusi tu.
 
Hakuna tena Tanzania taasisi ya hovyo kama NEMC ni aibu kuiweka chini ya Makamu wa Rais. Nemc imekuwa ndio kikwazo cha maendeleo Tanzania. Ile sheria walicopy Ulaya wanatuletea hapa
 
Back
Top Bottom