Wale ambao hamukerwi na kelele endelei kunyamaza hivyohivyo!
Juzi niliwashauri NEMC kupitia Uzi
www.jamiiforums.com
Kwamba; Walipaswa kuenenda kwa umakini sana kwenye zoezi lao la kutokomeza SPIKA NZIGE MTAANI zinazozalisha kelele nyingi!
Niliwashauri NEMC kwamba badala ya kuwafungia wenye baa badala yake wapokonye spika na kuziteketeza kwa utaratibu!
Nilishauri hivyo ili kuepusha kuibua ugomvi mwingine wa mamlaka zingine za walevi wataokuja kuwateatea wenye baa kwa visingizio vya ajira na mapato!
Nilishauri watumie style ya kutaifisha spika popote zinaporipotiwa kupiga kelele kinyume na usajili/utaratibu
Leo tume ya viwanda ya biashara na uwekezaji Wameibuka hadharani kulaani maamuzi yaliyofanywa na NEMC!
Kwamba NEMC walikosea kufunga baa zinazopiga kelele mtaani hivyo wameagiza zifunguliwe mara moja ziendelee kupiga kelele!
Yamkini hao tume wako sahihi lakini watambue kwamba hawajatumia BUSARA hata kidogo!
Kama waliliona hilo walitakiwa kuwasiliana na NEMC kimya kimya ili Nemc iliyofunga ndiyo watangaze kufungua kwa utaratibu pasipo kuonyesha KUAMRISHWA.
Mamlaka za zingine za serikali wajifunze kutumia busara wanapotekeleza majukumu yao kwasababu mamlaka zote nchini zipo kwa maslahi ya wananchi wenyewe!
NEMC wametumia gharama kubwa sana kufanya misheni ya operesheni tanzania nzima haitakiwi kuzimwa kijinga kijinga baadhi ya watendaji wajinga!
Wananchi wanaokerwa na kelele wasiposaidiwa ipo siku makanisa, misikiti na baa zinazopiga kelele zitaanza kuchomwa moto na wanaokereka kwasababu mamlaka zimeshindwa!
Juzi niliwashauri NEMC kupitia Uzi
Hongereni sana NEMC kwa kuanza udhibiti kelele kwenye bar lakini fanyeni haya kuboresha zoezi
Nawapa pongezi sana kwa mwanzo huu! NEMC Mkiamua mnaweza! Mmefanikiwa kufungia bar chache zinazopiga miziki mikubwa! Ni jambo jema sana! Naomba kushauri jambo moja ndugu zetu NEMC! Kuna msemo Wataalam wanasema "Good approach, Bring best Result" Hakika mmethubutu kuwaonya hawa watu wanakela...