Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Sio kila mtu anaamka muda huo kuwah unaoita usafiriHazizidi dakika 5 pia ni saa nzuri utuamsha mapema kuwahi usafiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kila mtu anaamka muda huo kuwah unaoita usafiriHazizidi dakika 5 pia ni saa nzuri utuamsha mapema kuwahi usafiri
Kwahiyo kama ni dakika 2 ni ruksa kupigia wengine makelele?Kwani zile ni dakika ngapi? Sana sana haizidi dakika 2...
Rushwa on the fleekMkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Samuel Gwamaka amesema jumla ya baa na kumbi za starehe 89 zimefungiwa baada ya kubaini kupiga kelele na mitetemo iliyozidi viwango vinavyotakiwa.
Dkt. Gwamaka amesema baa na kumbi hizo za starehe zimebainika katika operesheni iliyofanyika ndani ya wiki moja katika majiji ya Dar es Salaam, Mwanza na Dodoma.
Ameeleza hayo leo Jumatatu, Mei 8, 2023 wakati akitoa mrejesho wa msako walioufanya kati ya NEMC na jeshi la polisi kubaini baa na kumbi za starehe zinazopiga muziki kwa sauti ya juu ambayo ni kinyume cha sheria ya mazingira ya mwaka 2014.
"Tumebaini na kufunga baa na kumbi za starehe 19 za Kinondoni, 25 Ilala, Kigamboni 22 na Temeke 12, jijini Dodoma ni tano na Mwanza ni sita. Maeneo haya tulioyafunga ni sugu na haikuwa mara kwanza kuwaonya hawa tuliowafungia,” amesema
Huku akiongeza kusema, "Huko nyuma tulishawaonya na kuwaadhibu kwa kuwapiga faini, lakini waliendelea kukaidi, miongoni baa sugu ni Bodroom, Wavuvi Camp, Wherehouse, Avoco, Kitambaa Cheupe.Wengine ni Element, Chako ni Chako, Rainbow Gentlemen, Liquid na Soweto."
Kwa mujibu wa bosi huyo wa NEMC, wamefikia uamuzi wa kuwafungia kwa sababu sio mara kwanza kwa baa na kumbi hizo kufanya makosa hayo, licha ya NEMC kuwaonya kwa nyakati tofauti.
Amesema baada ya kuwafungia baadhi ya wamiliki wa baa na kumbi wamefika ofisi za NEMC kuomba msamaha.
MWANANCHI
NakaziaSema uzuri wakishazifungia bei elekezi huwa inashuka pia
Kwa nini wenye Bar wasi comply?View attachment 2614510
Muktasari:
Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Samuel Gwamaka amesema jumla ya baa na kumbi za starehe 89 zimefungiwa baada ya kubaini kupiga kelele na mitetemo iliyozidi viwango vinavyotakiwa.
- NEMC yatangaza kuzifungia baa na kumbi za starehe zilizokiuka utaratibu baada ya kubainika kupiga muziki uliozidi viwango, mkoa wa Dar es Salaam waongoza.
Dk Gwamaka amesema baa na kumbi hizo za starehe zimebainika katika operesheni iliyofanyika ndani ya wiki moja katika majiji ya Dar es Salaam, Mwanza na Dodoma.
Ameeleza hayo leo Jumatatu, Mei 8, 2023 wakati akitoa mrejesho wa msako walioufanya kati ya NEMC na jeshi la polisi kubaini baa na kumbi za starehe zinazopiga muziki kwa sauti ya juu ambayo ni kinyume cha sheria ya mazingira ya mwaka 2014.
"Tumebaini na kufunga baa na kumbi za starehe 19 za Kinondoni, 25 Ilala, Kigamboni 22 na Temeke 12, jijini Dodoma ni tano na Mwanza ni sita. Maeneo haya tulioyafunga ni sugu na haikuwa mara kwanza kuwaonya hawa tuliowafungia,” amesema
Huku akiongeza kusema, "Huko nyuma tulishawaonya na kuwaadhibu kwa kuwapiga faini, lakini waliendelea kukaidi, miongoni baa sugu ni Bodroom, Wavuvi Camp, Wherehouse, Avoco, Kitambaa Cheupe.Wengine ni Element, Chako ni Chako, Rainbow Gentlemen, Liquid na Soweto."
Kwa mujibu wa bosi huyo wa NEMC, wamefikia uamuzi wa kuwafungia kwa sababu sio mara kwanza kwa baa na kumbi hizo kufanya makosa hayo, licha ya NEMC kuwaonya kwa nyakati tofauti.
Amesema baada ya kuwafungia baadhi ya wamiliki wa baa na kumbi wamefika ofisi za NEMC kuomba msamaha.
Hapo mwishoni mwa taarifa naona kuna nafasi ya mazungumzo na kusamehewaAsante kwa taarifa, japo hakuna jipya.
Hapo mwishoni mwa taarifa naona kuna nafasi ya mazungumzo na kusamehewaKwa nini wenye Bar wasi comply?
Hapo kwenye samaki nimecheka🤣🤣🤣🤣sasa wavuvi camp kule wanampigia kelele nani? Samaki? Kibaya zaidi huo muziki wao si wa sauti kubwa mpaka kufikia kufungiwa.
Huu naona ni mwendelezo wa kumwandama yule jamaa ambaye amewekeza hapo na bado analipa kodi, zengwe la kwanza mpaka jamaa alitangaza anapafunga pale ila baadae kuliendelea.
Mara watu walaumu eti mabinti wanavyovaa si kwa staha haifai vile, yaani kama vile ufukweni watu wanatakiwa kuvaa majuba vile.
Basi hao watakapoteza ajira, muwachukue mkawalishe majumbani mwenu
Kumbe mkiamua mnawezaHuku akiongeza kusema, "Huko nyuma tulishawaonya na kuwaadhibu kwa kuwapiga faini, lakini waliendelea kukaidi, miongoni baa sugu ni Bodroom, Wavuvi Camp, Wherehouse, Avoco, Kitambaa Cheupe.Wengine ni Element, Chako ni Chako, Rainbow Gentlemen, Liquid na Soweto."
Kwa mujibu wa bosi huyo wa NEMC, wamefikia uamuzi wa kuwafungia kwa sababu sio mara kwanza kwa baa na kumbi hizo kufanya makosa hayo, licha ya NEMC kuwaonya kwa nyakati tofauti.
Bro umewahi kuishi karibu na msikiti?Kwani zile ni dakika ngapi? Sana sana haizidi dakika 2...
Mpmbv ni wewe,muwe mna controlAcha upumbavu wakifunga waambie na serikali Yako wasije kudai mapato kwenye hizo bar