mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Hiyo ndy inatakiwa...wajifungie ndani wale kelele zaoWafunge sound proof
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ndy inatakiwa...wajifungie ndani wale kelele zaoWafunge sound proof
Nguvu ya soda hiyo,mbona unasema makanisa sababu nayo yanapinga kelele za mtetemo kuliko mabaa na vigodoro na makampuni ya cm na mikesha ya mwenge nyiyi mnasngalia mabaa tu hizo sehemu nyingine mnafiata mkia sioView attachment 2614510
Muktasari:
Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Samuel Gwamaka amesema jumla ya baa na kumbi za starehe 89 zimefungiwa baada ya kubaini kupiga kelele na mitetemo iliyozidi viwango vinavyotakiwa.
- NEMC yatangaza kuzifungia baa na kumbi za starehe zilizokiuka utaratibu baada ya kubainika kupiga muziki uliozidi viwango, mkoa wa Dar es Salaam waongoza.
Dk Gwamaka amesema baa na kumbi hizo za starehe zimebainika katika operesheni iliyofanyika ndani ya wiki moja katika majiji ya Dar es Salaam, Mwanza na Dodoma.
Ameeleza hayo leo Jumatatu, Mei 8, 2023 wakati akitoa mrejesho wa msako walioufanya kati ya NEMC na jeshi la polisi kubaini baa na kumbi za starehe zinazopiga muziki kwa sauti ya juu ambayo ni kinyume cha sheria ya mazingira ya mwaka 2014.
"Tumebaini na kufunga baa na kumbi za starehe 19 za Kinondoni, 25 Ilala, Kigamboni 22 na Temeke 12, jijini Dodoma ni tano na Mwanza ni sita. Maeneo haya tulioyafunga ni sugu na haikuwa mara kwanza kuwaonya hawa tuliowafungia,” amesema
Huku akiongeza kusema, "Huko nyuma tulishawaonya na kuwaadhibu kwa kuwapiga faini, lakini waliendelea kukaidi, miongoni baa sugu ni Bodroom, Wavuvi Camp, Wherehouse, Avoco, Kitambaa Cheupe.Wengine ni Element, Chako ni Chako, Rainbow Gentlemen, Liquid na Soweto."
Kwa mujibu wa bosi huyo wa NEMC, wamefikia uamuzi wa kuwafungia kwa sababu sio mara kwanza kwa baa na kumbi hizo kufanya makosa hayo, licha ya NEMC kuwaonya kwa nyakati tofauti.
Amesema baada ya kuwafungia baadhi ya wamiliki wa baa na kumbi wamefika ofisi za NEMC kuomba msamaha.
Amesema baada ya kuwafungia baadhi ya wamiliki wa baa na kumbi wamefika ofisi za NEMC kuomba msamaha.[emoji23]View attachment 2614510

Unaishi bongo hii? Ikiwekwa milioni mbili ni kwamba rushwa inakuwa kubwa zaidi.Kama walikuwa sugu na walipigwa faini sasa inatakiwa ijulikane faini ilikuwa kiasi gani
Maana kama unampiga mtu faini asilimia ndogo sana ya kipato chake hapo hatajali ila ukimuumiza sana mfuko wake basi atashika adabu
Ongezeni faini na iwe kuanzia 2m bila kikomo kutokana na kosa ifike hata 10
Hapo watatoa pesa/rushwa ili wasamehewe kisha wapewe muda wa kufanya marekebisho kuweka soundproof. Na hilo hawatalitangaza.Amesema baada ya kuwafungia baadhi ya wamiliki wa baa na kumbi wamefika ofisi za NEMC kuomba msamaha.[emoji23]
Nchi hizi tulipata uhuru tangu 1961 iweje awamu ya sita ituyumbishe kwa sababu zao za Udini?View attachment 2614510
Muktasari:
Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Samuel Gwamaka amesema jumla ya baa na kumbi za starehe 89 zimefungiwa baada ya kubaini kupiga kelele na mitetemo iliyozidi viwango vinavyotakiwa.
- NEMC yatangaza kuzifungia baa na kumbi za starehe zilizokiuka utaratibu baada ya kubainika kupiga muziki uliozidi viwango, mkoa wa Dar es Salaam waongoza.
Dk Gwamaka amesema baa na kumbi hizo za starehe zimebainika katika operesheni iliyofanyika ndani ya wiki moja katika majiji ya Dar es Salaam, Mwanza na Dodoma.
Ameeleza hayo leo Jumatatu, Mei 8, 2023 wakati akitoa mrejesho wa msako walioufanya kati ya NEMC na jeshi la polisi kubaini baa na kumbi za starehe zinazopiga muziki kwa sauti ya juu ambayo ni kinyume cha sheria ya mazingira ya mwaka 2014.
"Tumebaini na kufunga baa na kumbi za starehe 19 za Kinondoni, 25 Ilala, Kigamboni 22 na Temeke 12, jijini Dodoma ni tano na Mwanza ni sita. Maeneo haya tulioyafunga ni sugu na haikuwa mara kwanza kuwaonya hawa tuliowafungia,” amesema
Huku akiongeza kusema, "Huko nyuma tulishawaonya na kuwaadhibu kwa kuwapiga faini, lakini waliendelea kukaidi, miongoni baa sugu ni Bodroom, Wavuvi Camp, Wherehouse, Avoco, Kitambaa Cheupe.Wengine ni Element, Chako ni Chako, Rainbow Gentlemen, Liquid na Soweto."
Kwa mujibu wa bosi huyo wa NEMC, wamefikia uamuzi wa kuwafungia kwa sababu sio mara kwanza kwa baa na kumbi hizo kufanya makosa hayo, licha ya NEMC kuwaonya kwa nyakati tofauti.
Amesema baada ya kuwafungia baadhi ya wamiliki wa baa na kumbi wamefika ofisi za NEMC kuomba msamaha.
Back to square oneHapo mwishoni mwa taarifa naona kuna nafasi ya mazungumzo na kusamehewa
Hapana mkuuUnaishi bongo hii? Ikiwekwa milioni mbili ni kwamba rushwa inakuwa kubwa zaidi.
Unajua thamani ya usingizi wa mtu!? [emoji848]Kwani zile ni dakika ngapi? Sana sana haizidi dakika 2...
Wapigwe faini tu na sio kufunga biasharaMkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Samuel Gwamaka amesema jumla ya baa na kumbi za starehe 89 zimefungiwa baada ya kubaini kupiga kelele na mitetemo iliyozidi viwango vinavyotakiwa.
Dkt. Gwamaka amesema baa na kumbi hizo za starehe zimebainika katika operesheni iliyofanyika ndani ya wiki moja katika majiji ya Dar es Salaam, Mwanza na Dodoma.
Ameeleza hayo leo Jumatatu, Mei 8, 2023 wakati akitoa mrejesho wa msako walioufanya kati ya NEMC na jeshi la polisi kubaini baa na kumbi za starehe zinazopiga muziki kwa sauti ya juu ambayo ni kinyume cha sheria ya mazingira ya mwaka 2014.
"Tumebaini na kufunga baa na kumbi za starehe 19 za Kinondoni, 25 Ilala, Kigamboni 22 na Temeke 12, jijini Dodoma ni tano na Mwanza ni sita. Maeneo haya tulioyafunga ni sugu na haikuwa mara kwanza kuwaonya hawa tuliowafungia,” amesema
Huku akiongeza kusema, "Huko nyuma tulishawaonya na kuwaadhibu kwa kuwapiga faini, lakini waliendelea kukaidi, miongoni baa sugu ni Bodroom, Wavuvi Camp, Wherehouse, Avoco, Kitambaa Cheupe.Wengine ni Element, Chako ni Chako, Rainbow Gentlemen, Liquid na Soweto."
Kwa mujibu wa bosi huyo wa NEMC, wamefikia uamuzi wa kuwafungia kwa sababu sio mara kwanza kwa baa na kumbi hizo kufanya makosa hayo, licha ya NEMC kuwaonya kwa nyakati tofauti.
Amesema baada ya kuwafungia baadhi ya wamiliki wa baa na kumbi wamefika ofisi za NEMC kuomba msamaha.
MWANANCHI
Safi sana
Zoezi liendele mpk wenye hizo bar wanyooke
Ova
Ni Kweli tra wasije kudai ila na nyinyi acheni kufungua Hadi kwenye makaz ya watu mashuhuri kma mm ,ddm ilazo pale zipo ila zinafung up sauti za chini snaaAcha upumbavu wakifunga waambie na serikali Yako wasije kudai mapato kwenye hizo bar