NEMC yazifungia Bar, Kumbi za Starehe 89 zikiwemo Wavuvi Kempu, Boardroom, Ware House

Nguvu ya soda hiyo,mbona unasema makanisa sababu nayo yanapinga kelele za mtetemo kuliko mabaa na vigodoro na makampuni ya cm na mikesha ya mwenge nyiyi mnasngalia mabaa tu hizo sehemu nyingine mnafiata mkia sio
 
Amesema baada ya kuwafungia baadhi ya wamiliki wa baa na kumbi wamefika ofisi za NEMC kuomba msamaha.[emoji23]
 
Duh hadi Boadroom, I used to go there mara zote huwa nakuta sauti ya Mziki ipo Chini.

Labda kwa kuwa huwa naenda Mchana kwaajili ya Lunch, lakini hayo makelele sijawahi kuyasikia.

Isije kuwa kuna ushindani wa biashara ikapelekea yote haya.
 
Unaishi bongo hii? Ikiwekwa milioni mbili ni kwamba rushwa inakuwa kubwa zaidi.
 
Amesema baada ya kuwafungia baadhi ya wamiliki wa baa na kumbi wamefika ofisi za NEMC kuomba msamaha.[emoji23]
Hapo watatoa pesa/rushwa ili wasamehewe kisha wapewe muda wa kufanya marekebisho kuweka soundproof. Na hilo hawatalitangaza.
 
Nchi hizi tulipata uhuru tangu 1961 iweje awamu ya sita ituyumbishe kwa sababu zao za Udini?
 
Hv kwanini mpaka msubiri matamko ya wanasiasa ndio mchukue maamuzi. Nakumbuka juzi juzi tu hapo kama sijakosea bungeni aliliongelea Zungu kuhusu watu wanaopiga miziki kwa sauti kubwa na nyie ndio mkaibuka
 
 
Wapigwe faini tu na sio kufunga biashara
 
Safi sana

Zoezi liendele mpk wenye hizo bar wanyooke

Ova

Hayo ndio tulikua tunalilia haiwezekani nyimbo zenyewe hazina maadili watoto wanazisikiza muda wote wanaishi kuiga ujinga, bar zote wafuate sheria za mazingira maana hapo Rwanda tu hakuna ujinga kama huo,
 
Acha upumbavu wakifunga waambie na serikali Yako wasije kudai mapato kwenye hizo bar
Ni Kweli tra wasije kudai ila na nyinyi acheni kufungua Hadi kwenye makaz ya watu mashuhuri kma mm ,ddm ilazo pale zipo ila zinafung up sauti za chini snaa
 
Alfu itabidi niwajulishe waje ddm ilazo Happ kuja kufungia ki grocery fln kina piga kelele mbay mbovu sijui wanadjani wakipiga kelel ndio wateja watakuja ama nn ni ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…