Jamani samaki nao wanahitaji utulivu ili wazaliane wawe wengi tupate mboga ya kutosha, Sasa mkiwa mnawapigia kelele hawatapata utulivu,na hawatazaliana kwa wingi,au wanaweza wakahama na bahari yenyewe kwa makelele yenu!![emoji3][emoji23][emoji23][emoji1787]