Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Mungu yupo,ni Hila za shetani watu wamkatae Mungu,hata shetani anaamini Mungu yupo.Kumeibuka kwa Wimbi la watu wenye kiburi cha uzima wanajiita "atheist" na kujizolea umaarufu! Ukweli ni kwamba kama hujui kuwa kuna Mungu na hujawahi kumuona maishani mwako wewe ni mpumbavu na mjinga wa kiwango cha juu!
Kwa wakristo tunakumbuka Mithali 14:1 "Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema"
Sasa nawauliza hao ambao Biblia takatifu imewaita "wapumbavu" wakija kusikia watoto wao waliowazaa na kuingia gharama kubwa kuwalea na kuwakuza mpaka wakajitambua alafu waseme "maisha yangu niliyonayo ni kwa nguvu zangu na wala hakuna cha baba wala mama aliyenisaidia" watajisikiaje!
Uzi wako umeuandika kwa makasiriko makubwa sanaKumeibuka kwa Wimbi la watu wenye kiburi cha uzima wanajiita "atheist" na kujizolea umaarufu! Ukweli ni kwamba kama hujui kuwa kuna Mungu na hujawahi kumuona maishani mwako wewe ni mpumbavu na mjinga wa kiwango cha juu!
Kwa wakristo tunakumbuka Mithali 14:1 "Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema"
Sasa nawauliza hao ambao Biblia takatifu imewaita "wapumbavu" wakija kusikia watoto wao waliowazaa na kuingia gharama kubwa kuwalea na kuwakuza mpaka wakajitambua alafu waseme "maisha yangu niliyonayo ni kwa nguvu zangu na wala hakuna cha baba wala mama aliyenisaidia" watajisikiaje!
Kwaiyo wahindi, wachina na wajapan na jamii yingine ambazo hazijui chochote kuhusu biblia hawana akili timam ila wewe ndo unazo?Kumeibuka kwa Wimbi la watu wenye kiburi cha uzima wanajiita "atheist" na kujizolea umaarufu! Ukweli ni kwamba kama hujui kuwa kuna Mungu na hujawahi kumuona maishani mwako wewe ni mpumbavu na mjinga wa kiwango cha juu!
Kwa wakristo tunakumbuka Mithali 14:1 "Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema"
Sasa nawauliza hao ambao Biblia takatifu imewaita "wapumbavu" wakija kusikia watoto wao waliowazaa na kuingia gharama kubwa kuwalea na kuwakuza mpaka wakajitambua alafu waseme "maisha yangu niliyonayo ni kwa nguvu zangu na wala hakuna cha baba wala mama aliyenisaidia" watajisikiaje!
Thibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo.Kumeibuka kwa Wimbi la watu wenye kiburi cha uzima wanajiita "atheist" na kujizolea umaarufu! Ukweli ni kwamba kama hujui kuwa kuna Mungu na hujawahi kumuona maishani mwako wewe ni mpumbavu na mjinga wa kiwango cha juu!
Kwa wakristo tunakumbuka Mithali 14:1 "Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema"
Sasa nawauliza hao ambao Biblia takatifu imewaita "wapumbavu" wakija kusikia watoto wao waliowazaa na kuingia gharama kubwa kuwalea na kuwakuza mpaka wakajitambua alafu waseme "maisha yangu niliyonayo ni kwa nguvu zangu na wala hakuna cha baba wala mama aliyenisaidia" watajisikiaje!
Mpumbavu atabaki kuwa mpumbavu hata umfanye nini upumbavu wake hauwezi kumtoka.Ukweli ni kwamba kama hujui kuwa kuna Mungu na hujawahi kumuona maishani mwako wewe ni mpumbavu na mjinga wa kiwango cha juu!
Uwepo wa MUNGU unajithibitisha wenyewe wala haihitajiki kiumbe mwingine yeyote yule kuthibitisha.Thibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote yupo.
Uwepo wa MUNGU unajithibitisha wenyewe wala haihitajiki kiumbe mwingine yeyote yule kuthibitisha.
Hata Mbwa wanajua uwepo wa MUNGU. Ni Mwanadamu mpumbavu pekee atakayekataa uwepo wa MUNGU.