Nenda Sabaya lakini bila wewe haya yasingewezekana kutokea wilaya ya Hai

Mkoa wa Simiyu umepiga hatua nyingi sana kimaendeleo,mpaka kuishinda mikoa mingi tuu mikongwe na ya zamani. Je RC wake Antony Mtaka aliyesimamia hayo yote ana makandokando kama ya huyo unayemtetea? Jokate na Julius Mtatiro pia wamefanya mazuri sana ya kimaendeleo kwenye wilaya zao vipi na wenyewe wako gereza la Kisongo kwa uporaji na unyang'anyi wa kutumia silaha? Nauliza tuu....
Simiyu nayo ilikuwa ngome ya Mbowe?
 
Ameondoka kwa kasi ileile aliyokuja nayo. Nadhani akiongea tena na 'Clouds' atafafanua vizuri sana kwa machozi ya kutubu. AMEN
Sabaya amekuwa diwani wa ccm Arusha enzi hizo ikiwa ngome ya Dk Slaa
 
Huo ndio ukweli, Sabaya ni mfungwa wa kisiasa. Kinachouma ni kusalitiwa na mkuu mpya wa chama na rais wa jamhuri.

Hivi inakuwaje kijana una nguvu na akili zako na umesoma unaamua kuwa jambazi?? Halafu mwisho wa siku mnasingizia eti amefungwa Kisiasa, really?? Mbona kwenye kujitetea hakusema ni kesi ya Kisiasa ila kakumbuka tuu mchumba aliyemtolea mahari??
 
Ebooh,kwa hiyo unatabiri 2025 samia atapoteza na atakuja rais mwingine atakayemtoa kifungoni sabaya!!?
 
Ni kweli chadema na wapinzani wengi wameshangilia sana kifungo cha Lengai Ole Sabaya cha miaka 30 jela lakini ukweli ambao hausemwi ni kwamba wana ccm wengi wamehuzunishwa na kuchukizwa mno na kifungo cha Sabaya.
Kwenye macho ya wazalendo wa nchi hii ,Sabaya ni mzalendo wa kweli aliyejitoa kuleta mabadiliko kwa vitendo na siyo maneno kama wanavyofanya wengi.

Bila Lengai Ole Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai haya yangeweza kutokea kwenye wilaya hii.
1.Wilaya ya Hai kupanda kwa ukusanyaji mapato kutoka ya mwisho hadi kuwa ya nne kitaifa. Kabla ya Sabaya wilaya hii ilikuwa imekithiri kwa rushwa, ukwepaji kodi na ufyatuaji wa fedha bandia. Leo fedha bandia zimeadimika nchini sababu ya wewe Sabaya kukamata mnyororo wote wa wafanyabiashara wa kichaga waliokuwa na mitambo ya kutengeneza pesa bandia.

2. Mbunge na madiwani wa ccm kushinda na kuongoza Halmashauri.
Wilaya hii ilikuwa ngome ya Chadema kwa miaka mingi na kila aliyejaribu alikiona cha mtema kuni kutoka kwa Mbowe na genge lake.
Lakini kupitia Sabaya sasa jimbo la Hai ni ngome ya ccm na itawachukua miaka mingi Chadema kulirudisha tena hasa baada ya Mbowe kuwa gaidi na kupoteza imani kwa wananchi wengi.
Lakini pia Mbowe ametangaza kuachana na siasa za majukwaani.
Kwa kifupi mbunge ,madiwani na wenyeviti mbalimbali wa wilaya ya Hai wanakula kupitia jasho la Sabaya.

3. Kurejeshwa kwa aridhi ya waislamu iliyoporwa kwa miaka mingi.
Wilaya ya Hai wamepita wakuu wa wilaya wengi lakini hakuna aliyefanikiwa kumaliza mgogoro huo mpaka Lengai Ole Sabaya alipofika na kumaliza kadhia hiyo.

NB. Sabaya ni mfungwa wa kisiasa na wafungwa wa kisiasa huwa hawamalizi vifungo vyao, hata asipotolewa na rais Samia atakuja rais mwingine atamtoa na kumpa cheo.
Kamsaidie angalau sabuni huyo gaidi na jambazi mwenzio. Acha kutupigia kelele hapa jukwaani bure.
 
Mwenzio anafirwa pale Kisongo wewe unapayuka mitandaoni,Akili zako zipo Matakoni na si kichwani,jitahidi umpelekee Nyembe za kunyolea vuzi,Sabuni nk
 
Mwenzio ameshapigwa na upara tayari wewe unapayuka mitandaoni,unaona Ugali anaopewa ale ulivyo???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]akila tu nae Marinda yanatolewa,What Goes Around Comes Around,imeisha hiyo,hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums-1877252103_415x512.jpg
JamiiForums445387824_540x540.jpg
 
Babu Seya alihukumiwa maisha jela lakini leo yuko wapi?

Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi, halafu ana kesi ya pili, na pengine ya tatu, sitashangaa akipigwa jumla miaka 50 au 60. Kumbuka time is money hata akikaa miaka 15 jela na akaachiwa kama Babu Seya tayari atakuta na Mchumba ana watoto na dunia imesonga sanaaaa....Anaweza kukuta nchi iko mikononi mwa ACT Wazalendo au Rais ni Lissu wa Chadema hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....
 
Nimekutukana matusi yote.
Ccm nyie ni wauaji, wachawi na majambazi
 
Mbona mtu wa TRA alikataa kuwa Sabaya hakutumwa kuksannya mapato ya serikali? sasa yalipandaje (inawezekana pia yangepanda zaidi ila kiasi fulani kilipigwa)

Juu wa CCM kushinda madiwani na Mbunge - hicho kiinimacho kilikuwa nchi nzima si Hai peke yake
 
Ni kweli chadema na wapinzani wengi wameshangilia sana kifungo cha Lengai Ole Sabaya cha miaka 30 jela lakini ukweli ambao hausemwi ni kwamba wana ccm wengi wamehuzunishwa na kuchukizwa mno na kifungo cha Sabaya.
Kwenye macho ya wazalendo wa nchi hii ,Sabaya ni mzalendo wa kweli aliyejitoa kuleta mabadiliko kwa vitendo na siyo maneno kama wanavyofanya wengi.

Bila Lengai Ole Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai haya yangeweza kutokea kwenye wilaya hii.
1.Wilaya ya Hai kupanda kwa ukusanyaji mapato kutoka ya mwisho hadi kuwa ya nne kitaifa. Kabla ya Sabaya wilaya hii ilikuwa imekithiri kwa rushwa, ukwepaji kodi na ufyatuaji wa fedha bandia. Leo fedha bandia zimeadimika nchini sababu ya wewe Sabaya kukamata mnyororo wote wa wafanyabiashara wa kichaga waliokuwa na mitambo ya kutengeneza pesa bandia.

2. Mbunge na madiwani wa ccm kushinda na kuongoza Halmashauri.
Wilaya hii ilikuwa ngome ya Chadema kwa miaka mingi na kila aliyejaribu alikiona cha mtema kuni kutoka kwa Mbowe na genge lake.
Lakini kupitia Sabaya sasa jimbo la Hai ni ngome ya ccm na itawachukua miaka mingi Chadema kulirudisha tena hasa baada ya Mbowe kuwa gaidi na kupoteza imani kwa wananchi wengi.
Lakini pia Mbowe ametangaza kuachana na siasa za majukwaani.
Kwa kifupi mbunge ,madiwani na wenyeviti mbalimbali wa wilaya ya Hai wanakula kupitia jasho la Sabaya.

3. Kurejeshwa kwa aridhi ya waislamu iliyoporwa kwa miaka mingi.
Wilaya ya Hai wamepita wakuu wa wilaya wengi lakini hakuna aliyefanikiwa kumaliza mgogoro huo mpaka Lengai Ole Sabaya alipofika na kumaliza kadhia hiyo.

NB. Sabaya ni mfungwa wa kisiasa na wafungwa wa kisiasa huwa hawamalizi vifungo vyao, hata asipotolewa na rais Samia atakuja rais mwingine atamtoa na kumpa cheo.

Umeandika maneno tu bila data,weka data tuone mapato yalipanda kutoka wapi mpaka wapi!
 
Labda magufuli afufuke
 
Mbona mtu wa TRA alikataa kuwa Sabaya hakutumwa kuksannya mapato ya serikali? sasa yalipandaje (inawezekana pia yangepanda zaidi ila kiasi fulani kilipigwa)

Juu wa CCM kushinda madiwani na Mbunge - hicho kiinimacho kilikuwa nchi nzima si Hai peke yake
Hao TRA wamehongwa na Mbowe
 
Back
Top Bottom