Simiyu nayo ilikuwa ngome ya Mbowe?Mkoa wa Simiyu umepiga hatua nyingi sana kimaendeleo,mpaka kuishinda mikoa mingi tuu mikongwe na ya zamani. Je RC wake Antony Mtaka aliyesimamia hayo yote ana makandokando kama ya huyo unayemtetea? Jokate na Julius Mtatiro pia wamefanya mazuri sana ya kimaendeleo kwenye wilaya zao vipi na wenyewe wako gereza la Kisongo kwa uporaji na unyang'anyi wa kutumia silaha? Nauliza tuu....
Huo ndio ukweli, Sabaya ni mfungwa wa kisiasa. Kinachouma ni kusalitiwa na mkuu mpya wa chama na rais wa jamhuri.
Kamsaidie angalau sabuni huyo gaidi na jambazi mwenzio. Acha kutupigia kelele hapa jukwaani bure.Ni kweli chadema na wapinzani wengi wameshangilia sana kifungo cha Lengai Ole Sabaya cha miaka 30 jela lakini ukweli ambao hausemwi ni kwamba wana ccm wengi wamehuzunishwa na kuchukizwa mno na kifungo cha Sabaya.
Kwenye macho ya wazalendo wa nchi hii ,Sabaya ni mzalendo wa kweli aliyejitoa kuleta mabadiliko kwa vitendo na siyo maneno kama wanavyofanya wengi.
Bila Lengai Ole Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai haya yangeweza kutokea kwenye wilaya hii.
1.Wilaya ya Hai kupanda kwa ukusanyaji mapato kutoka ya mwisho hadi kuwa ya nne kitaifa. Kabla ya Sabaya wilaya hii ilikuwa imekithiri kwa rushwa, ukwepaji kodi na ufyatuaji wa fedha bandia. Leo fedha bandia zimeadimika nchini sababu ya wewe Sabaya kukamata mnyororo wote wa wafanyabiashara wa kichaga waliokuwa na mitambo ya kutengeneza pesa bandia.
2. Mbunge na madiwani wa ccm kushinda na kuongoza Halmashauri.
Wilaya hii ilikuwa ngome ya Chadema kwa miaka mingi na kila aliyejaribu alikiona cha mtema kuni kutoka kwa Mbowe na genge lake.
Lakini kupitia Sabaya sasa jimbo la Hai ni ngome ya ccm na itawachukua miaka mingi Chadema kulirudisha tena hasa baada ya Mbowe kuwa gaidi na kupoteza imani kwa wananchi wengi.
Lakini pia Mbowe ametangaza kuachana na siasa za majukwaani.
Kwa kifupi mbunge ,madiwani na wenyeviti mbalimbali wa wilaya ya Hai wanakula kupitia jasho la Sabaya.
3. Kurejeshwa kwa aridhi ya waislamu iliyoporwa kwa miaka mingi.
Wilaya ya Hai wamepita wakuu wa wilaya wengi lakini hakuna aliyefanikiwa kumaliza mgogoro huo mpaka Lengai Ole Sabaya alipofika na kumaliza kadhia hiyo.
NB. Sabaya ni mfungwa wa kisiasa na wafungwa wa kisiasa huwa hawamalizi vifungo vyao, hata asipotolewa na rais Samia atakuja rais mwingine atamtoa na kumpa cheo.
Ficha ujinga wakoHuo ndio ukweli, Sabaya ni mfungwa wa kisiasa. Kinachouma ni kusalitiwa na mkuu mpya wa chama na rais wa jamhuri.
Babu Seya alihukumiwa maisha jela lakini leo yuko wapi?
Mcharuko ule wakati wa uDC ulitokea wapi?Sabaya amekuwa diwani wa ccm Arusha enzi hizo ikiwa ngome ya Dk Slaa
Labda kwa malaika wa shetani kama alivyo mwendazakeNa Sabaya atarudi kuwa kiongozi tena
Kuna ushindi au uporaji wa uchaguzi nchi nzima..Bila Sabaya mbunge wa ccm angemshinda Mbowe?
Ni kweli chadema na wapinzani wengi wameshangilia sana kifungo cha Lengai Ole Sabaya cha miaka 30 jela lakini ukweli ambao hausemwi ni kwamba wana ccm wengi wamehuzunishwa na kuchukizwa mno na kifungo cha Sabaya.
Kwenye macho ya wazalendo wa nchi hii ,Sabaya ni mzalendo wa kweli aliyejitoa kuleta mabadiliko kwa vitendo na siyo maneno kama wanavyofanya wengi.
Bila Lengai Ole Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai haya yangeweza kutokea kwenye wilaya hii.
1.Wilaya ya Hai kupanda kwa ukusanyaji mapato kutoka ya mwisho hadi kuwa ya nne kitaifa. Kabla ya Sabaya wilaya hii ilikuwa imekithiri kwa rushwa, ukwepaji kodi na ufyatuaji wa fedha bandia. Leo fedha bandia zimeadimika nchini sababu ya wewe Sabaya kukamata mnyororo wote wa wafanyabiashara wa kichaga waliokuwa na mitambo ya kutengeneza pesa bandia.
2. Mbunge na madiwani wa ccm kushinda na kuongoza Halmashauri.
Wilaya hii ilikuwa ngome ya Chadema kwa miaka mingi na kila aliyejaribu alikiona cha mtema kuni kutoka kwa Mbowe na genge lake.
Lakini kupitia Sabaya sasa jimbo la Hai ni ngome ya ccm na itawachukua miaka mingi Chadema kulirudisha tena hasa baada ya Mbowe kuwa gaidi na kupoteza imani kwa wananchi wengi.
Lakini pia Mbowe ametangaza kuachana na siasa za majukwaani.
Kwa kifupi mbunge ,madiwani na wenyeviti mbalimbali wa wilaya ya Hai wanakula kupitia jasho la Sabaya.
3. Kurejeshwa kwa aridhi ya waislamu iliyoporwa kwa miaka mingi.
Wilaya ya Hai wamepita wakuu wa wilaya wengi lakini hakuna aliyefanikiwa kumaliza mgogoro huo mpaka Lengai Ole Sabaya alipofika na kumaliza kadhia hiyo.
NB. Sabaya ni mfungwa wa kisiasa na wafungwa wa kisiasa huwa hawamalizi vifungo vyao, hata asipotolewa na rais Samia atakuja rais mwingine atamtoa na kumpa cheo.
Labda magufuli afufukeNi kweli chadema na wapinzani wengi wameshangilia sana kifungo cha Lengai Ole Sabaya cha miaka 30 jela lakini ukweli ambao hausemwi ni kwamba wana ccm wengi wamehuzunishwa na kuchukizwa mno na kifungo cha Sabaya.
Kwenye macho ya wazalendo wa nchi hii ,Sabaya ni mzalendo wa kweli aliyejitoa kuleta mabadiliko kwa vitendo na siyo maneno kama wanavyofanya wengi.
Bila Lengai Ole Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai haya yangeweza kutokea kwenye wilaya hii.
1.Wilaya ya Hai kupanda kwa ukusanyaji mapato kutoka ya mwisho hadi kuwa ya nne kitaifa. Kabla ya Sabaya wilaya hii ilikuwa imekithiri kwa rushwa, ukwepaji kodi na ufyatuaji wa fedha bandia. Leo fedha bandia zimeadimika nchini sababu ya wewe Sabaya kukamata mnyororo wote wa wafanyabiashara wa kichaga waliokuwa na mitambo ya kutengeneza pesa bandia.
2. Mbunge na madiwani wa ccm kushinda na kuongoza Halmashauri.
Wilaya hii ilikuwa ngome ya Chadema kwa miaka mingi na kila aliyejaribu alikiona cha mtema kuni kutoka kwa Mbowe na genge lake.
Lakini kupitia Sabaya sasa jimbo la Hai ni ngome ya ccm na itawachukua miaka mingi Chadema kulirudisha tena hasa baada ya Mbowe kuwa gaidi na kupoteza imani kwa wananchi wengi.
Lakini pia Mbowe ametangaza kuachana na siasa za majukwaani.
Kwa kifupi mbunge ,madiwani na wenyeviti mbalimbali wa wilaya ya Hai wanakula kupitia jasho la Sabaya.
3. Kurejeshwa kwa aridhi ya waislamu iliyoporwa kwa miaka mingi.
Wilaya ya Hai wamepita wakuu wa wilaya wengi lakini hakuna aliyefanikiwa kumaliza mgogoro huo mpaka Lengai Ole Sabaya alipofika na kumaliza kadhia hiyo.
NB. Sabaya ni mfungwa wa kisiasa na wafungwa wa kisiasa huwa hawamalizi vifungo vyao, hata asipotolewa na rais Samia atakuja rais mwingine atamtoa na kumpa cheo.
Hao TRA wamehongwa na MboweMbona mtu wa TRA alikataa kuwa Sabaya hakutumwa kuksannya mapato ya serikali? sasa yalipandaje (inawezekana pia yangepanda zaidi ila kiasi fulani kilipigwa)
Juu wa CCM kushinda madiwani na Mbunge - hicho kiinimacho kilikuwa nchi nzima si Hai peke yake