Nenda Sabaya lakini bila wewe haya yasingewezekana kutokea wilaya ya Hai

Kweli nchi hii ilikuwa imeenda mbio sana yaani alikuwa anatekeleza maagizo toka juu ya kubaka,kupora,kwa kutumia genge lake na mibunduki kweli???utawala uliofitinika aisee!!!!
Alikubaka mara ngapi kalio lako?
 
Wewe utakuwa umepakatwa na sabaya sasa unaumia kukosa MTU wa kukutunza
 
Jamani lazima tujifunze nini maana uongozi na nini kitegemewe kwa kiongozi:

  • Kusimamia mapato ya halmashauri ni wajibu wa kiongozi na hajafanya cha ziada
  • Kupata idadi kubwa ya madiwani hadi kuongoza halmashauri ni sawa, ila uwanja ulikuwa level " a level playing field" kwa vyama vyote? Madiwani wangapi walinunuliwa, ruzuku ilikuwa sawa? Wanainchi hawakutishwa kwamba mkichagua opposition msahau maendeleo?
 
Hata kuwa gaidi nao ni wajibu wa mhalifu
 
Nimeshasema tena na tena kuna hukumu nyingine inaenda kutolewa kwa majinuni wakubwa hukumu hii itafanana na ile iliyotangazwa March 17. Mchomoko mwingine mkubwa waja!
Kama ile hukumu iliyompata marehemu Charles Mbowe?
 
Mungu bado anaishi twakuombea sabaya utoke tupo nyuma yako , ya binadam ndo yalivyo hutazama mabovu bila kuangalia wema licha ya ugaid kuna wengine ni wakubwa ktk nchi hii ila wana laana za kutoxha tu kwa mambo maovu walioyafanya .
 
Nakuunga mkono kuwa bila Sabaya hatungepata hayo uliyoorodhesha. sisi watu wa Hai tunaelewa na tunasikitika sana kufungwa kwake. Najua wale wa upande mwingine hapa hai wamefurahi na kunywa sana bia na vipombe vikali. Atatoaka na atakuwa shujaa. Mungu yko nae
 
Asante sana mkuu
 
Tena mahakama imemsaidia sana kumfunga
Wangemwacha mtaani watu walivyo na hasira naye, wangemfanya kitu mbaya sana
 
Nani huyu mjinga anamtetea jambazi mkubwa?!!!!! Acheni ushenzi jamani.
 
Mapato yalipo panda Hai kipi kikaongezeka Hai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…