Hii ni Fursa adhimu kwa Vijana na Wazee wenye Maono ya kutumia Wananchi wao.Usisubiri hadi 2025 ifike ndio ukurupuke kutafuta kadi ya CHADEMA hasa kama unataka kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya CDM.
Ng'ombe hanenepi siku ya mnada, chukua nafasi yako mapema kabla hujachelewa. Nenda kwenye tawi lolote la CHADEMA lililo karibu na wewe, chukua kadi ya uanachama!
Baada ya hapo shiriki kwenye mambo yote ha uenezi wa chama hiki cha upinzani kilichobaki kwenye ulingo wa siasa za upinzani Tanzania.
Na sijui anasubiri niniHivi kuna Mtanzania hana kadi ya Chadema hadi leo ?
Kabisa yaaniNa sijui anasubiri nini
Endelea na maisha yakoKatika vitu siwezi kufanya maisha yangu yote ni kumiliki kadi ya chama chochote cha siasa hapa duniani au nje ya dunia.
HatunaHivi kuna Mtanzania hana kadi ya Chadema hadi leo ?
Wapo mfano mimi.. soon nitachukuaHivi kuna Mtanzania hana kadi ya Chadema hadi leo ?
mbona zimezagaa mtaani tu kila mahali zimetupwa πUsisubiri hadi 2025 ifike ndio ukurupuke kutafuta kadi ya CHADEMA hasa kama unataka kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya CDM.
Ng'ombe hanenepi siku ya mnada, chukua nafasi yako mapema kabla hujachelewa. Nenda kwenye tawi lolote la CHADEMA lililo karibu na wewe, chukua kadi ya uanachama!
Baada ya hapo shiriki kwenye mambo yote ha uenezi wa chama hiki cha upinzani kilichobaki kwenye ulingo wa siasa za upinzani Tanzania.
Za CCM...mbona zimezagaa mtaani tu kila mahali zimetupwa π
za hiyo Chama huwezi kuona kirahisi huwa ni lulu ya Taifa hiyo, inahifadhiwa sirini mahala salama mno πZa CCM...
Sahihi matawi mengi ya Chadema yalifungwa mara baada ya Lowassa kushindwa uchaguzi 2015Chadema ina ofisi za TAWI?πΌ
Au tukachukue Ufipa st? π
Tusio na vyama mnatuonaje ati!Hivi kuna Mtanzania hana kadi ya Chadema hadi leo ?
Siku hizi tunapata kadi na kuilipia online. Siyo lazima uende kwenye tawi kupata kadi au kulipia michango mingine. Download app ya chadema ndio kila kituUsisubiri hadi 2025 ifike ndio ukurupuke kutafuta kadi ya CHADEMA hasa kama unataka kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya CDM.
Ng'ombe hanenepi siku ya mnada, chukua nafasi yako mapema kabla hujachelewa. Nenda kwenye tawi lolote la CHADEMA lililo karibu na wewe, chukua kadi ya uanachama!
Baada ya hapo shiriki kwenye mambo yote ha uenezi wa chama hiki cha upinzani kilichobaki kwenye ulingo wa siasa za upinzani Tanzania.
Kila.mkoa na kila wilaya na kila Kata Zipo..Chadema ina ofisi za TAWI?πΌ
Au tukachukue Ufipa st? π
Kwa hiyo na wapiga kura mnao wa online tu?Siku hizi tunapata kadi na kuilipia online. Siyo lazima uende kwenye tawi kupata kadi au kulipia michango mingine. Download app ya chadema ndio kila kitu