Nenda tawi lolote la CHADEMA lililo karibu na wewe chukua kadi ya uanachama mapema utafurahi 2025

Usisubiri hadi 2025 ifike ndio ukurupuke kutafuta kadi ya CHADEMA hasa kama unataka kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya CDM.

Ng'ombe hanenepi siku ya mnada, chukua nafasi yako mapema kabla hujachelewa. Nenda kwenye tawi lolote la CHADEMA lililo karibu na wewe, chukua kadi ya uanachama!

Baada ya hapo shiriki kwenye mambo yote ha uenezi wa chama hiki cha upinzani kilichobaki kwenye ulingo wa siasa za upinzani Tanzania.
Ili tumtengenezee mbowe ruzuku ya kula na vimada vyake pumbufu
 
Bila ya tume huru vyama vya upinzani vitasubiri sana - Kingunge Ngombare Mwiru RIP
 
Sahihi matawi mengi ya Chadema yalifungwa mara baada ya Lowassa kushindwa uchaguzi 2015
Yaliibuka kama uyoga yakafungwa kama uyoga hadi leo
Sisi TAWI letu lilikuwa pale Mwananyamala kwa Mama Zakaria lakini lilishafungwa tangu 2017
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Usisubiri hadi 2025 ifike ndio ukurupuke kutafuta kadi ya CHADEMA hasa kama unataka kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya CDM.

Ng'ombe hanenepi siku ya mnada, chukua nafasi yako mapema kabla hujachelewa. Nenda kwenye tawi lolote la CHADEMA lililo karibu na wewe, chukua kadi ya uanachama!

Baada ya hapo shiriki kwenye mambo yote ha uenezi wa chama hiki cha upinzani kilichobaki kwenye ulingo wa siasa za upinzani Tanzania.
Usisubiri hadi 2025 ifike ndio ukurupuke kutafuta kadi ya CHADEMA hasa kama unataka kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya CDM.[emoji419][emoji375]
 
Sahihi matawi mengi ya Chadema yalifungwa mara baada ya Lowassa kushindwa uchaguzi 2015
Yaliibuka kama uyoga yakafungwa kama uyoga hadi leo
Siyo kweli hata kidogo. Itikadi ya mtu haijengwi na jengo la ofisi.
 
Kuna rafiki yangu alinishawishi siku moja nikachukue kadi ya chama, nilivyofika pale nikajaza kila kitu walipoanza kuniomba kadi yangu ya kupigia kura nikawajibu subiri nikawafatie baada ya hapo sikurudi tena 🤣🤣🤣
 
Matapeli hao
 
Back
Top Bottom