Nenda tawi lolote la CHADEMA lililo karibu na wewe chukua kadi ya uanachama mapema utafurahi 2025

Usisubiri hadi 2025 ifike ndio ukurupuke kutafuta kadi ya CHADEMA hasa kama unataka kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya CDM.

Ng'ombe hanenepi siku ya mnada, chukua nafasi yako mapema kabla hujachelewa. Nenda kwenye tawi lolote la CHADEMA lililo karibu na wewe, chukua kadi ya uanachama!

Baada ya hapo shiriki kwenye mambo yote ha uenezi wa chama hiki cha upinzani kilichobaki kwenye ulingo wa siasa za upinzani Tanzania.
Pambambane kwenye tume ya uchaguzi hapo ndiyo kitanzi
 
Usisubiri hadi 2025 ifike ndio ukurupuke kutafuta kadi ya CHADEMA hasa kama unataka kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya CDM.

Ng'ombe hanenepi siku ya mnada, chukua nafasi yako mapema kabla hujachelewa. Nenda kwenye tawi lolote la CHADEMA lililo karibu na wewe, chukua kadi ya uanachama!

Baada ya hapo shiriki kwenye mambo yote ha uenezi wa chama hiki cha upinzani kilichobaki kwenye ulingo wa siasa za upinzani Tanzania.
Hakika
 
Hapo ujue umewatangazia wanaccm fursa ya kupata Kadi hizo halafu kwenye mikutano yao wajifanye ni wanachadema wameamua kuunga juhudi na hela watavuta
 
Back
Top Bottom