Nendeni mkatende haki kwenye mchujo. Lakini type za ama Gwajima muyaache nje. Haki gani hiyo ??

Buyaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
1,781
Reaction score
2,079
Alianza kwa kusema nawaombeni. Halafu akasema au sijui niagizeee ?

Nendeni mkatende haki kwenye mchujo. Lakini Ma Gwajima tuyaache nje.

Jamani, ndivyo alivyosema Mwenyekiti.

Sasaaa...... logic yake hapa mimi sijamuelewa.

Haki hapa ni kumkata mwana CCM asubuhi na mapema au kumpa chance mtu yeyote kwa kumpima, kumsikiliza, na kumshindanisha na wengine ????

Kwani ni wanyonge gani anawaongelea Mwenyekiti ambao walikuwa haki zao za mchujoni ziko hatarini kupokwa na akina Gwajima types ???
 
Machinja chija
 
Mods, hakuna namna ya kuweza kurekebisha typos kwenye mada hata ndani ya dakika 2
baada ya ku posti mada ???
 
Alianza kwa kusema nawaombeni. Halafu akasema au sijui niagizeee ?

Nendeni mkatende haki kwenye mchujo. Lakini Ma Gwajima tuyaache nje.

Jamani, ndivyo alivyosema Mwenyekiti.

Sasaaa...... logic yake hapa mimi sijamuelewa.

Haki hapa ni kumkata mwana CCM asubuhi na mapema au kumpa chance mtu yeyote kwa kumpima, kumsikiliza, na kumshindanisha na wengine ????

Kwani ni wanyonge gani anawaongelea Mwenyekiti ambao walikuwa haki zao za mchujoni ziko hatarini kupokwa na akina Gwajima types ???
Fair

Haki imeenda na wajibu
 
Unatendaje haki wakati umetoa maagizo hata Gwajima akishinda kura ya maoni akatwe na yoyote mzalendo mwenye ushauri, maoni, rais asiyoyapenda asipitishwe?
 
Sidhani kama watakubali Gwajima achukue fomu ya CCM Kawe.

Na hata wakimpa, hawatamtangaza kashinda kura ya maoni. Wana maagizo ya wazi tayari ya kumtupa nje.
 
Alianza kwa kusema nawaombeni. Halafu akasema au sijui niagizeee ?

Nendeni mkatende haki kwenye mchujo. Lakini Ma Gwajima tuyaache nje.

Jamani, ndivyo alivyosema Mwenyekiti.

Sasaaa...... logic yake hapa mimi sijamuelewa.

Haki hapa ni kumkata mwana CCM asubuhi na mapema au kumpa chance mtu yeyote kwa kumpima, kumsikiliza, na kumshindanisha na wengine ????

Kwani ni wanyonge gani anawaongelea Mwenyekiti ambao walikuwa haki zao za mchujoni ziko hatarini kupokwa na akina Gwajima types ???
Namshangaa kutumia neno hilo "HAKI".
Nina mashaka hajui linahusu nini hilo neno. Huyu sasa amezoeleka kutamka maneno tu bila kuwa na lengo la maana ya maneno husika.
Matokeo yake hotuba zake hazina maana yoyote; ni mipasho tu!
 
Kwahy ukiwa hufai unataka usikilizwe na ushindanishwe wakati tayari ushajiweka kwenye kundi la wasiofaa?
 
Mtu anaambiwa akatende haki. Lakini anaambiwa asichague wanaohoji
 
Sidhani kama watakubali Gwajima achukue fomu ya CCM Kawe.

Na hata wakimpa, hawatamtangaza kashinda kura ya maoni. Wana maagizo ya wazi tayari ya kumtupa nje.
Maagizo yametolewa live mbele ya Taifa lote. Kauli ya Rais ni kama amri kwenye chama chake. Amesema wazi wote wenye kushauri vizuri taifa kama Gwajima watupwe nje.
 
Alianza kwa kusema nawaombeni. Halafu akasema au sijui niagizeee ?

Nendeni mkatende haki kwenye mchujo. Lakini Ma Gwajima tuyaache nje.

Jamani, ndivyo alivyosema Mwenyekiti.

Sasaaa...... logic yake hapa mimi sijamuelewa.

Haki hapa ni kumkata mwana CCM asubuhi na mapema au kumpa chance mtu yeyote kwa kumpima, kumsikiliza, na kumshindanisha na wengine ????

Kwani ni wanyonge gani anawaongelea Mwenyekiti ambao walikuwa haki zao za mchujoni ziko hatarini kupokwa na akina Gwajima types ???

Common sense is not common broda
 
Back
Top Bottom