Mr fantastic_
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 1,152
- 1,360
Hakika nimeamini akili zake ni ndogo kama za kuku🤣Alianza kwa kusema nawaombeni. Halafu akasema au sijui niagizeee ?
Nendeni mkatende haki kwenye mchujo. Lakini Ma Gwajima tuyaache nje.
Jamani, ndivyo alivyosema Mwenyekiti.
Sasaaa...... logic yake hapa mimi sijamuelewa.
Haki hapa ni kumkata mwana CCM asubuhi na mapema au kumpa chance mtu yeyote kwa kumpima, kumsikiliza, na kumshindanisha na wengine ????
Kwani ni wanyonge gani anawaongelea Mwenyekiti ambao walikuwa haki zao za mchujoni ziko hatarini kupokwa na akina Gwajima types ???