Machinja chijaAlianza kwa kusema nawaombeni. Halafu akasema au sijui niagizeee ?
Nendeni mkatende haki kwenye mchujo. Lakini Ma Gwajima tuyaache nje.
Jamani, ndivyo alivyosema Mwenyekiti.
Sasaaa...... logic yake hapa mimi sijamuelewa.
Haki hapa ni kumkata mwana CCM asubuhi na mapema au kumpa chance mtu yeyote kwa kumpima, kumsikiliza, na kumshindanisha na wengine ????
Kwani ni wanyonge gani anawaongelea Mwenyekiti ambao walikuwa haki zao za mchujoni ziko hatarini kupokwa na akina Gwajima types ???
FairAlianza kwa kusema nawaombeni. Halafu akasema au sijui niagizeee ?
Nendeni mkatende haki kwenye mchujo. Lakini Ma Gwajima tuyaache nje.
Jamani, ndivyo alivyosema Mwenyekiti.
Sasaaa...... logic yake hapa mimi sijamuelewa.
Haki hapa ni kumkata mwana CCM asubuhi na mapema au kumpa chance mtu yeyote kwa kumpima, kumsikiliza, na kumshindanisha na wengine ????
Kwani ni wanyonge gani anawaongelea Mwenyekiti ambao walikuwa haki zao za mchujoni ziko hatarini kupokwa na akina Gwajima types ???
Fair Kwa chamaFair kwa Gwajima ?
Au kwa wagombea wenzake waliopewa ahueni kwa kumkata Gwajima ??
Unatendaje haki wakati umetoa maagizo hata Gwajima akishinda kura ya maoni akatwe na yoyote mzalendo mwenye ushauri, maoni, rais asiyoyapenda asipitishwe?Alianza kwa kusema nawaombeni. Halafu akasema au sijui niagizeee ?
Nendeni mkatende haki kwenye mchujo. Lakini Ma Gwajima tuyaache nje.
Jamani, ndivyo alivyosema Mwenyekiti.
Sasaaa...... logic yake hapa mimi sijamuelewa.
Haki hapa ni kumkata mwana CCM asubuhi na mapema au kumpa chance mtu yeyote kwa kumpima, kumsikiliza, na kumshindanisha na wengine ????
Kwani ni wanyonge gani anawaongelea Mwenyekiti ambao walikuwa haki zao za mchujoni ziko hatarini kupokwa na akina Gwajima types ???
Watakaopitishwa wote watakuwa machawa, wasifiaji. Ukiwa na maoni tofauti kidogo inaonekana hupiti.Niambie ndugu yangu
Watakaopitishwa wote watakuwa machawa, wasifiaji. Ukiwa na maoni tofauti kidogo inaonekana hupiti.
Hii nchi itaangamia vibaya sana ikitegemea akili ya Samia kuongozwa.
Ishaangamia
Sidhani kama watakubali Gwajima achukue fomu ya CCM Kawe.Unatendaje haki wakati umetoa maagizo hata Gwajima akishinda kura ya maoni akatwe na yoyote mzalendo mwenye ushauri, maoni, rais asiyoyapenda asipitishwe?
Namshangaa kutumia neno hilo "HAKI".Alianza kwa kusema nawaombeni. Halafu akasema au sijui niagizeee ?
Nendeni mkatende haki kwenye mchujo. Lakini Ma Gwajima tuyaache nje.
Jamani, ndivyo alivyosema Mwenyekiti.
Sasaaa...... logic yake hapa mimi sijamuelewa.
Haki hapa ni kumkata mwana CCM asubuhi na mapema au kumpa chance mtu yeyote kwa kumpima, kumsikiliza, na kumshindanisha na wengine ????
Kwani ni wanyonge gani anawaongelea Mwenyekiti ambao walikuwa haki zao za mchujoni ziko hatarini kupokwa na akina Gwajima types ???
Maagizo yametolewa live mbele ya Taifa lote. Kauli ya Rais ni kama amri kwenye chama chake. Amesema wazi wote wenye kushauri vizuri taifa kama Gwajima watupwe nje.Sidhani kama watakubali Gwajima achukue fomu ya CCM Kawe.
Na hata wakimpa, hawatamtangaza kashinda kura ya maoni. Wana maagizo ya wazi tayari ya kumtupa nje.
Alianza kwa kusema nawaombeni. Halafu akasema au sijui niagizeee ?