Hii inayoitwa "wedding" Ina somo kubwa kwa wanawake, wanaume na ndugu za maharusi.
Nenga alimpenda Nandy kitambo sana, lakini ndugu wa Nandy walimtema na kumdisi Nenga kuwa ni mhuni na hana hela. Nandy akachumbiwa na Ruge Mutahaba ambaye bahati mbaya akaitwa na Mungu.
Nenga akamrejea Nandy na leo wameoana. Nenga ndiyo anastahili kupongezwa kwa moyo wa kutokata tamaa na nafsi yake kutochafukwa na kufuta upendo kwa Nandy.
Kitu ambacho mimi siwezi kukifanya wala kukubaliana nacho.