Nenga ana roho ngumu sana. Mimi siwezi kuachwa na mwanamke achumbiwe na mwingine, halafu baadaye anirudie nimuoe

Nenga ana roho ngumu sana. Mimi siwezi kuachwa na mwanamke achumbiwe na mwingine, halafu baadaye anirudie nimuoe

Okushaba eshabile nigo mainale! Tibalikunuga! Omuhaya koshwekla Enyailya Tolamya!
Abaziba mkashobya mazima, Sasa hapa inahusianaje! Nandy hajawahi kuolewa Wala kuzaa na mtu mwingine wangekuwa uhayani huyo kijana (billinas) angelamya vizuri tu,,

Halafu mnajadili kwa kilugha,, nyodo kibao baadhi yenu mnajionaga km miungu watu acheni hizo huu sio uungwana,

Tujifunze kuheshimu maamuzi ya mtu na maisha yake msijifanye nyie mko perfect sana kumbe ni utopolo tu
 
Lkn inaleta kinyaa. Ndiyo maana kuna wivu wa mapenzi
Kama rijali huwezi kuona kinyaa labda kama mtu katoka kung'oa mjegejeo hapo hapo lakini kama ni historia tu kuwa fulani aliwahi kuzatika hapo,suala la kinyaa halipo.
 
Back
Top Bottom