Nenga ana roho ngumu sana. Mimi siwezi kuachwa na mwanamke achumbiwe na mwingine, halafu baadaye anirudie nimuoe

Nenga ana roho ngumu sana. Mimi siwezi kuachwa na mwanamke achumbiwe na mwingine, halafu baadaye anirudie nimuoe

Nililiwaza hili kuwa pesa ni mwanaharam yani nandy alienda kwa ruge kimaslahi ili nyota isianguke maana clouds ndio waliomtoa kimuziki

Sometime baadhi ya wanawake linapokuja swala la kufight kutoka kimaisha huwa wanaweza kukukimbia hata kama wanakupenda vipi
Nakazia kwa herufi KUBWA..!
 
Mzee mimi nikiona mtu anashangaa ukimwi karne hii namshangaa yeye kwa sababu now ukimwi sio ishu unaweza pata katika mazingira usiyotarajia hasa walio kwenye ndoa ndo wapo lwenye hatari zaidi kama mmoja sio muaminifu.

Ruge anaweza akawa kawapitia hao kweli lakini wasiambukizwe..na kama ingekua rahisi hivyo basi Bongo fleva wote wagonjwa.
Mtu anaetumia dozi hua ngumu kuambukiza viral load yake inakua ipo chini
 
Mimi nina Swali Moja tu Kwao Wanandoa hawa je, walipima VVU na Kujiridhisha 100% na Matokeo ya Vipimo? Nimesikitika sana, ila naomba tu niishie hapa tafadhali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Genta bhana, uwiiiih
 
Everything has a price to pay.
Congratulations Bill Bass you made the right choice
 
Everything has a price to pay.
Congratulations Bill Bass you made the right choice
Price zingine zinahitaji kujitoa ufahamu. Yaani mtu akuteme, akajibebishe kwa mwingine kisha apigwe miti ya kutosha mpk ajengewe nyumba. Mungu afanye take huko ndipo anirudie???!
 
Hii inayoitwa "wedding" Ina somo kubwa kwa wanawake, wanaume na ndugu za maharusi.

Nenga alimpenda Nandy kitambo sana, lakini ndugu wa Nandy walimtema na kumdisi Nenga kuwa ni mhuni na hana hela. Nandy akachumbiwa na Ruge Mutahaba ambaye bahati mbaya akaitwa na Mungu.

Nenga akamrejea Nandy na leo wameoana. Nenga ndiyo anastahili kupongezwa kwa moyo wa kutokata tamaa na nafsi yake kutochafukwa na kufuta upendo kwa Nandy.

Kitu ambacho mimi siwezi kukifanya wala kukubaliana nacho.

Je! Ujio wa kofiolomide haukuimarisha zaidi uhusiano wa wa wanandoa hao?
 
Waswahili ndiyo zeu kuoa makayamba. Huku kwetu na pwani, sifa ya mwanamke ni kuwa na VYUO vingi , aliyekubuhu, limeachwa mara kama tano halafu unaoa ndiyo zenu!
"Kushaba Eshabile"
"Okushwela enyahilya". Mambo ya waswahili hayo.
 
Yaani sasa hivi maisha yao yapo katika sport light kuliko mwanzo...mfano wakipatwa na baya kuna watu watasema nilijua tu
 
Price zingine zinahitaji kujitoa ufahamu. Yaani mtu akuteme, akajibebishe kwa mwingine kisha apigwe miti ya kutosha mpk ajengewe nyumba. Mungu afanye take huko ndipo anirudie???!
Huwezi jua mipango yao ilikuaje mzeiyaa. Nass mtt wa kili ukute alikubali kiroho safi akimwambia bibie akiwa anaparua huko awe anatuma tu kwenye mpesa 😀😀😀
 
Back
Top Bottom